“Waachiwe Huru Sio Magaidi”

Kesi ya ndugu zetu Ustadh Ramadhan Moshi, Waziri Suleiman na Omar Salum ilitajwa jana tarehe 31 Oktoba 2018, inatajwa tena tarehe 15 Novemba 2018.
Tuendelee kuwaombea dua ndugu zetu hao ambao bado wapo katika mikono ya dhulma na uonevu.
Tunamuomba Allah Taala Awakomboe wao na Waislamu wote kutoka katika uonevu na dhulma.
Amiin
#WaachiweHuruSioMagaidi

Maoni hayajaruhusiwa.