Vyombo Dhalimu Vya Kiusalama Vya Jordan Vyawateka Nyara Makundi Ya Vijana Wa Hizb ut Tahrir Kwa Kutaka Kwao Yapelekwe Majeshi Kuwanusuru Watu Wa Ghazza

بسم الله الرحمن الرحيم

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari

Vyombo Dhalimu vya Kiusalama vya Jordan Vyawateka nyara Makundi ya Vijana wa Hizb ut Tahrir kwa Kutaka Kwao Yapelekwe Majeshi Kuwanusuru Watu wa Ghazza
Leo vyombo vya dhalimu vya kiusalama vya Jordan vimewakamata vijana wa Hizb ut Tahrir baada ya Swala ya Ijumaa na kuwapeleka kusikojuulikana.
Hii ni baada ya vijana hao kugawa toleo katika Misikiti mingi ya Jordan, likiwa na anuani : Enyi Maaskari katika Majeshi ya Waislamu, hivi Hakuna Miongoni Mwenu Mtu (yoyote) Mwema “ أَلَيْسَ مِنْكُمْ رَجُلٌ رَشِيدٌ (هود:78
Toleo hilo limewaelezea Maaskari katika Majeshi ya Waislamu kwa kusema: “ Hivi hamuathiriki na Damu za ndugu zenu ambazo zinamwagwa Ghazza? Hivi hamhamasishwi na Vilio vya Watoto wadogo na Mayowe ya wanawake na wazee, wote wakitaka msaada na muwanusuru “
Toleo likaendelea kuwakhutubia wanajeshi:
“ Hivi kumtii Allah ni bora au kuwatii watawala wenu ambao wanampiga vita Allah na Mtume wake ? ! na wanawaunga Mkono Maadui wa Allah na Mtume wake?
Na pia toleo likaongeza kwa kasema: “Hakika Mazayuni sio watu wenye uwezo wa kupigana, na wala sio watu wa vita. Wao ni waoga tu na wamepigwa chapa ya udhalili na Umasikini …. nanyi mnawaona ndugu zenu vijana wa Kiislamu wakiwa na silaha duni, lakini pamoja na hayo wanawapiga mayahudi kweli kweli. They [Jews] flee from them, resort to planes to protect them”.
Toleo likamalizia kwa Kukumbusha kwa kusema :
Ënyi Maaskari katika majeshi ya Waislamu, Hivi hakuna miongoni mwenu mtu mwema atakayekuongozeni kumnusuru Allah na Mtume wake?! Hakuna miongoni mwenu mtu mwema wa kukuongozeni kwenye Nusra kutoka kwa Allah na Ushidi ulio karibu ?!
أَلَيْسَ مِنْكُمْ رَجُلٌ رَشِيْدٌ
“Hakuna miongoni mwenu mtu mwema”
نَصْرٌ مِنَ اللهِ وَفَتْحٌ قَرِيْبٌ
“Nusra kutoka kwa Allah na Ushidi ulio karibu ?!”
(Toleo likawaita wanajeshi) Njooni Muitikie Umma,Umma unakuiteni
Njooni Muinusuru Ardhi yenye Baraka, ardhi inakuombeni Nusra. Allah Taala Anasema:
يَاأَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنْ تَنْصُرُوا اللهَ يَنْصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ
وَالَّذِينَ كَفَرُوا فَتَعْسًا لَهُمْ وَأَضَلَّ أَعْمَالَهُمْ
(Enyi Mlioamini Mkimnusuru Allah (Dini ya Allah) naye Atakunusuruni na Ataithibitisha miguu yenu ………… Na wale waliokufuru basi kwao ni maangamizo na ataviondosha patupu vitendo vyao .. (TMQ : 47 : 6 -7)
Je umekuwa ukumbusho huu na ukumbusho wa maneno ya Allah na kubainisha wajibu wa kisheria ambao umeeleekezwa na Sharia ya kuwapiga mayahudi na kuwanusuru Waislamu ambao wanaangamizwa mbele ya macho na kusikika ulimwengu kote, isipokuwa watawala wa nchi za Waislamu, waliowaacha watu wa Ghaza pweke,
Je imekuwa kwa serikali ya Jordan hitajio lake (wakati huu) ni kuwakamata vijana wa Hizb ut Tahrir, vijana wenye imani ambao hawakuweza kukaa kimya na kuwafikishia wenye nguvu tamko la Kiislamu la kuwanusuru wanaoteswa?
Bila ya shaka hii inaonyesha wazi kuwa utawala huu ni jamaa na Mayahudi, na unawalindia mipaka yake , jambo ambalo watu wote wa Jordan wanalijua sasa na wanatamka hilo kiwazi wazi usiku na mchana.
Hakika utawala wa Jordan kama utawala mwingine katika tawala zinazotawala Biladi za Kiislaamu,zinatishwa na mwito wa kutaka Nusra kwa majeshi, na wanatishwa na fikra ya kuwanusuru waliodhulumiwa kupitia watu wenye nguvu, kwani wanajua kuwa Da’wah hii itaondoa utawala wao. Wao ni kama utawala wa kiwadhifa tu (bandia) kwa ajili ya kulinda kijiutawala cha Mazayuni na kulinda mipaka yake. Kwa ajili hiyo, wanajaribu kunyamazisha kila sauti inayoapazwa kwa watu juu ya suluhisho la hakika na la kisheria juu ya kuinusuru Palestina.
Na hakika sisi kama unavyotujua Ummah wa Kiislamu kuwa ni Kiongozi asiyedanganya watu wake, na kwa hakika kamatakamata hii na ukatili wao huu katu hautotuzuiya kuitangaza haki na kubainisha upotofu wao hawa wahawara, na ufuasi wao kwa makafiri wakoloni. Na tunasisitiza kuwa kamata kamata hizi hazipiti bure kwa wabebaji da’wah na hazitowazidishia isipokuwa Umadhubuti na uthabiti kwa Allah Subhaanahu wataalah na kuthibiti katika njia ya haki, na wala hazitawazidishia isipokuwa Yaqini kwa nusra ya Allah kwa waja wake Waumini tena kwa muda wa karibuni
. . ﴿أَلَا إِنَّ نَصْرَ اللهِ قَرِيبٌ﴾
‘Jueni kuwa Nusra ya Allah ipo karibu’ 2 : 214 )
Na wakati huo huo, hakika sisi tunaibebesha dhima ya Usalama wa Vijana wa Hizb ut Tahrir waliokamatwa kwa Utawala wa Jordan, tunaitaka iwaachie huru mara moja. Vivyo hivyo tunautaka Umma wa Kiislaamu usimame msimamo thabiti Anaouridhia Allah na Mtume wake… wa kusimama pamoja na wabeba dawah walioshikwa na vyombo vya usalama hadi waachiwe huru. Kamwe msiawache pweke, msiwabwage chini, na msiwatelekeze kwa udhalimu wa vyombo vya dola nchini jordan, bali amkeni muwatetee hadi waachiwe huru kama alivyosema Mtume (s.a.w )
، : «الْمُسْلِمُ أَخُو الْمُسْلِمِ، لَا يَظْلِمُهُ وَلَايَخْذُلُهُ وَلَايُسْلِمُهُ».
( ‘Muislam ndugu yake ni Muislamu, hamdhulumu na wala hamuachi pweke, na wala hamkamatishi (kwa maadui)
Vijana hao ni wachamungu wema na wala sisi hatumtakasi mtu kwa Allah Taala, bali ni vijana wanaofanya kazi katika safu za Hizb ut Tahrir na wanafanya kazi pamoja nayo ili kurejesha tena Dola ya Khilafah Rashidah ambayo alama zake zimeanza kuangaza katika anga na ambayo itaondoa chombo cha mazayuni (Israel) na kumuwajibisha kila aliyeuacha (Ummah) pweke, na hapo watajua Makafiri Madhalimu …
﴿وَسَيَعْلَمُ الَّذِينَ ظَلَمُوا أَيَّ مُنقَلَبٍ يَنقَلِبُونَ
“Na hivi karibuni Madhalimu watajua ni mgeuko (Mpinduko) wa namna gani watakaogeuka (watakaopindukia)” TMQ: 26 :227
Kumb No: 1445 / 04
Ijumaa 10 Novemba 2023 M / 26 Rabi’ II 1445 H
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Wilaya ya Jordan

Maoni hayajaruhusiwa.