Uwongo Wa Mchana Wa Demokrasia

Raisi Al-Sisi wa Misri alipindua serikali halali ya kidemokrasia, Umoja wa Afrika kimya !! akakamata, kutesa na kuuwa wafungwa wa kisiasa kwa maelfu na bado anaendelea, Umoja wa Afrika uko kimya !! . Akafanya uchaguzi wa udanganyifu. Umoja wa Afrika kimya ! Na karibuni Umoja huo umempa uwenyekiti wa Afrika kamwe na anaendelea kutesa na kunyonga wafungwa wa kisiasa wa serikali halali aliyoipindua.

Umoja wa Afrika ni tawi la kumakinisha sera za Marekani ambayo haina demokrasia wala haki za binadamu penye maslahi yake yawe ya kimfumo au kiuchumi.

(Pichani ni Waislamu wa Misri, wafungwa wa kisiasa ambao wengi wao hunyongwa)

 

Maoni hayajaruhusiwa.