Hijra ni Mapinduzi ya Kimfumo na Sio Njiwa Manga na Buibui

بسم الله الرحمن الرحيم

Katika kuazimisha mwaka mpya wa kiislamu 1444 Hijiriya, wanaharakati wa Hizb ut Tahriri Tanzania wamefanya amali mbalimbali kuwakumbusha ummah wa kiislamu kuhusu unyeti wa tarekhe ya kiislamu pamoja na tukio la Hijra.

Mihadhara mikubwa ya Muharram 1444 Hijiriya

1. Masjid Rahma Buguruni kwa Madenge Dar es Salaam

Ufunguzi wa Muhadhara kwa usomaji Quran.

Ust. Abdallah Chaurembo

 

Wazungumzaji.

Mzungumzaji 1: Masoud Msellem, Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania

Mzungumzaji 2: Sheikh Mussa Kileo, Mwenyekiti kamati ya Mawasiliano Hizb ut Tahrir Tanzania.

 

Nasaha fupi.

Na. Sheikh Ramadhan Moshi

 

2. Mskiti wa Mchangani (Kwa Shekhe Alyaan)

Mzungumzaji: Masoud Msellem, Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania

Picha ya Pamoja

Visimamo na Mabango

Kichangani Dar es Salaam

 

Maoni hayajaruhusiwa.