Mauaji Kwa Walinganizi wa Uislamu.

Mnamo tarehe 17/08/2018 Vyombo vya Ujasusi vya Turkmenistan vilimemteka nyara kijana mdogo (24), mfuasi wa Hizb ut-Tahrir.

Kijana huyo alimaliza masomo yake mwaka jana (2017) katika Chuo Kikuu cha Bashkortostan. Akiwa mtoo wa pekee kwa wazazi wake wawili ambao walikua wameshatayarisha harusi kwa ajili yake iliyopangwa kufanyika 24 /09/2018.

Mwili wa kijana huyo ulipatikana 18/08/2018 akiwa ameuwawa, huku kichwa chake kikiwa kimejeruhiwa vibaya, mkono wake umevunjwa na mikono yake ikiwa imefungwa kwa nyuma! Na alama za mateso zikidhihirika wazi wazi katika mwili wake.

Twamuomba Allah SW awape subra familia yake, na Amrehemu ndugu yetu na kumtakabalia shahada yake. Ameen

Chanzo : Osman Bakhash, Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari Hizb Ut-Tahrir

Imefasiriwa na Ustadh Mahdi :

https://web.facebook.com/ustadh.mahdi?tn-str=

Maoni hayajaruhusiwa.