Khutba ya Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah kwa Munasaba wa matukio mawili. Kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 1438 Hijiria/ 2017 Miladia. Na Uzinduzi wa Chaneli ya TV ya Al-Waqiyah.

130

Sifa njema ni zake Allah (swt) na Sala na salamu zimfikie Mtume (saw), Familia yake, masahaba zake na wote wanaomfuata…

Wapendwa Waislamu, ndugu zangu wapenzi wabebaji daawa, wapenzi watazamaji na wapenzi wasikilizaji na kwa wote wenye nyoyo za unyenyekevu na wanaosikiliza kwa makini,

 Asalam Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh,

Ndugu zangu wapenzi mabwana na mabibi, nakupeni habari njema katika usiku huu wenye baraka kwa kuadhimisha matukio mawili muhimu sana:

Kwanza: tukio la kujiliwa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani:

Baada ya kufuatilia kwa makini suala la mwezi mtukufu wa Ramadhan usiku wa leo Jumamosi tarehe 27/5/2017 muandamo wake umethibitishwa na kukidhi vigezo vya kisheria katika baadhi ya Nchi za Waislamu, hivyo basi kesho Jumamosi ni siku ya mwanzo ya kuanzia mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Kutoka kwa Bukhari kutoka kwa Muhammad bin Ziyad alisema”nilimsikia Abu Huraira (ra) akisema Mtume(saw) sala na salamu ziwe juu yake na familia yake, alisema: Abu Al Qassim (saw):

«صوموا لِرُؤيتِهِ وأَفْطِرُوا لرؤيتِهِ فإنْ غُـبِّيَ عليكم فأَكْمِلُوا عِدَّةَ شعبانَ ثلاثين»

“Fungeni kwa kuonekanwa kwa mwezi na fungueni kwa kuonekanwa kwa mwezi, na kama kutakuwepo na mawingu (yakakuzuwiyeni musiuone mwezi ) kamilisheni siku 30 za Sha’ban”

 

Allah (swt) kaufanya Mwezi huu Mtukufu ni mwezi wake na anawalipa wanaofunga thawabu anazozitaka, yaani thawabu zisizokuwa na idadi.  Katika hadith Qudsi Mtume (saw) Anasema:

«كُلُّ عَمَلِ ابْنِ آدَمَ لَهُ إِلَّا الصَّوْمَ، فَإِنَّهُ لِي وَأَنَا أَجْزِي بِهِ»

“Amali zote za wanadamu ni zao wao isipokuwa funga ambayo ni yangu mimi, na mimi ndiye nitakayewalipa”.

Huu ni mwezi makhsusi katika tareekh ya Kiislamu, ambao ndani yake iliteremeshwa Quran Tukufu:

[شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنْزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِنَ الْهُدَى وَالْفُرْقَانِ]

 

“Ni ndani ya mwezi wa Ramadhan ndio ambao imeteremshwa Quran, ili iwe muongozo kwa watu na hoja zilizowazi na upambanuzi” (wa baina ya haki na batil) (Al Baqara: 185)

Katika mwezi huu Waislamu walishindana katika kutenda mema kwa sababu matendo mema katika mwezi huu yana thawabu na ujira mkubwa zaidi, na huku wakitafuta msamaha wa Mwenyezi Mungu kwa kufunga kwa ikhlasi na kujitolea kidhati.

Katika sahihi Bukhari kutoka kwa Abu Huraira (ra) kutoka kwa Mtume (saw) amesema:

«مَنْ صَامَ رَمَضَانَ إِيمَانًا وَاحْتِسَابًا غُفِرَ لَهُ مَا تَقَدَّمَ مِنْ ذَنْبِهِ، وَمَنْ قَامَ لَيْلَةَ القَدْرِ إِيمَانًا وَاحْتِسَابًا غُفِرَ لَهُ مَا تَقَدَّمَ مِنْ ذَنْبِهِ»

“Yoyote atakayefunga mwezi wa Ramadhan kwa imani thabiti na kutarajia malipo yake kwa Mwenyezi  Mungu basi atasamehewa madhambi yake yaliyopita, na yoyote atakayehuisha ibada katika usiku wenye cheo, akiwa na imani thabiti na akitarajia malipo kutoka kwa Allah basi atasamehewa madhambi yake yote yaliyopita.”

Makhalifa na Mawali katika Dola ya Kiislamu walikuwa wakihifadhi usalama wa nchi na watu wake, na waliusambaza Uislamu duniani kote kwa njia ya Da’wah na Jihad. Makhalifa waliwaongoza Waislamu kwa sheria za Allah na waliwaongoza katika Jihad kwa ajili ya Allah, jeshi lao lilisafiri kupitia majangwa makubwa na joto kali, na merikebu zao zikapambana na mikondo ya mawimbi makali katika njia ya kulifanya neno la Allah liwe juu na kueneza haki na uadilifu ulimwenguni kote. Majeshi yao yakiikhutubia bahari kwa kuieleza: “Lau tungejua kama kuna ardhi yenye kukaliwa na watu nyuma yako, basi tungevuka bahari kwenda kusimamisha bendera ya Uislamu”. Aidha, Makhalifa nao walikuwa wakinadi wakiyambia mawingu ya mvua: “Ewe mvua! nyesha popote utakapo, kwa kuwa popote utakaponyesheza utakayoimwagilia ni ardhi ya Waislamu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu” Waislamu walisimama nyuma ya kiongozi wao Khalifa wakimuunga mkono afanyapo mema/mazuri na wakimuhisabu anapokosea, kwani walifahamu kuwa wao na Khalifa ni sawa mbele ya sheria.

Umma, serekali na jamii wote walikuwa wakiharakishwa kwa Uislamu na kuunganishwa nao. Waliikaribisha Ramadhani kwa furaha isiyo na kifani na moyo mkunjufu, na waliiaga kwa majonzi na masikitiko, na wakiomba wakutane nayo tena kwa mara nyengine, ili wapate matukufu yaliyomo ndani ya Ramadhan, kwa kupata mafanikio ya duniani na akhera, na huko ndiko kufaulu kukubwa. Tunamuomba Allah (swt) Aufanye mwezi huu uwe wa kheri kubwa na baraka tele kwa Waislamu wote, na ikifika Ramadhan ijayo tuwe tayari tunaishi ndani ya Dola ya Kiislamu ya Khilafa Rashida. Ni Khalifah ndie atakaeshughulikia suala la kuandama kwa mwezi, na ndie atakaewatangazia Waislamu kuanza kwa Ramadhan, na kuirejeshea tena Ramadhan hadhi ya kuwa mwezi wa ushindi na Jihad pamoja na barka na rehma kwa Waumini.

Wakati huo Ramadhan itakuwa tena chini ya kivuli cha Khilafah, na nuru yake itarejea na kung’ara tena. Na itarejea tena kuwa mwezi wa ibada na Jihad. Na Takbir zake zote mbili zitarejeshwa ; Takbir ya Muadhini ya kutujuza muda wa kufuturu (Iftar), na Takbir za Mujahidina ikitujuulisha ushindi. Na hilo lipo karibu kwa idhini na tawfiki ya Allah Inshallah.

إِنَّ اللَّهَ بَالِغُ أَمْرِهِ قَدْ جَعَلَ اللَّهُ لِكُلِّ شَيْءٍ قَدْرًا

“Kwa yakini Allah Anatimiza kusudio lake (lolote alitakalo hakuna wa kumpinga) hakika Mwenyezi Mungu amekwisha kiwekea kila kitu kipimo chake (At-Talaq: 3)

 

Habari njema ya pili ambayo ningependa kuwafikishia ni uzinduzi wa Chaneli ya Runinga ya Al-Waqiyah ndani ya usiku huu mtukufu. Leo hii mti wa Habari  wa Hizb ut Tahrir umetoa matunda yake. Umezaa matunda yenye siha na rutba yanayofurahisha macho na yanayotuliza nyoyo. Ni tunda na tija itakayolinda hadhira yake dhidi ya ghilba, uongo na upotoshaji. Itaitangaza haqi na kuifedhehi batil. Ni tunda litakaloshuhudiwa na macho na kung’arisha fikra, ni tunda litakalozaa kheri kwa hadhira yake na wote wenye nyoyo na usikivu makini. Ni tunda linaloitwa Waqiya (Mlinzi) na ni mlinzi kwa maana yake, jina zuri lilioje pamoja na maana yake. Kwa kuwa itaonesha njia na kuonesha usahihi wake kwa kushikamana na haqi na kuitangaza. Ni tunda litakaloleta kheri kwa watu wake na kwa watu wengine watakaosikiliza kwa mazingatio.

[قُلْ هَذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ عَلَى بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ]

“Sema hii ndio njia yangu ninalingania kwa Mwenyezi Mungu kwa ujuzi wa kweli, nafanya (kazi hii) mimi na wanaonifuata”. Na utakatifu ni wa Allah, nami sio miongoni mwa washirikina” (Yusuf: 108)

Kwa kukhitimisha, nazindua kwa jina la Allah faraja yetu hii (Al Waqiyah) ili iweze kuunganisha viungo viwili navyo ni matangazo na gazeti la Ar-Raya, ambayo vitafanya kazi bega kwa bega katika kupaza kwa nguvu taarifa za ukweli kupitia audio na video, na kupitia machapisho na video ili kusafisha uoni, kuhuisha nyoyo na kueneza kheri duniani kote pomoja na kuinua Uislamu daraja ya juu ya mifumo yote.

[أَلَمْ تَرَ كَيْفَ ضَرَبَ اللَّهُ مَثَلًا كَلِمَةً طَيِّبَةً كَشَجَرَةٍ طَيِّبَةٍ أَصْلُهَا ثَابِتٌ وَفَرْعُهَا فِي السَّمَاءِ]

“Jee hukuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopiga mfano wa neno zuri? Ni kama mti mzuri ambao mizizi yake ni imara na matawi yake yametandawaa mawinguni”(Ibrahim: 24)

Na mwisho wa kauli yetu tunasema: Shukran zote anastahiki Mwenyezi Mungu. Mola wa walimwengu wote.

 

Wassalamu Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuhu.

Ndugu yenu, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah

Amiri wa Hizb ut-Tahrir

 

Jumamosi, 1 Ramadhan 1438 Hijiria/ 27 05 2017 Miladia

130 Comments
  1. Rcaggp says

    order levaquin 500mg without prescription levofloxacin for sale

  2. Wgkzsl says

    dutasteride buy online cost zofran zofran brand

  3. Igkexy says

    purchase aldactone finasteride pills buy generic fluconazole

  4. Imwgey says

    ampicillin 500mg cheap erythromycin cost erythromycin sale

  5. Gedews says

    fildena 100mg tablet order tamoxifen 10mg sale methocarbamol uk

  6. Mdcqaq says

    suhagra 50mg usa sildalis oral buy estrace 1mg online cheap

  7. Ddnqye says

    lamictal 50mg drug prazosin 1mg sale retin cream sale

  8. Oyebxu says

    tadalafil 10mg for sale avana 100mg cost buy voltaren 50mg online cheap

  9. Lgfngc says

    indocin 75mg sale suprax 100mg without prescription trimox cheap

  10. Xtnvqm says

    order anastrozole 1 mg generic order generic anastrozole 1mg order sildenafil 100mg sale

  11. Lvvjfs says

    tadalafil 20mg en ligne acheter tadalafil en ligne sildenafil 25mg generique pas cher

  12. Kwufxc says

    brand deltasone 20mg modafinil online pharmacy buy sildenafil without prescription

  13. Ugobzo says

    original cialis rezeptfrei sicher kaufen viagra 200mg kaufen ohne rezept viagra 200mg fГјr frauen

  14. Kaklhx says

    isotretinoin 40mg ca zithromax online ivermectin 6 mg without prescription

  15. Bzfybq says

    buy modafinil without prescription Cialis on sale order diamox generic

  16. Tkmopg says

    purchase doxycycline sale order doxycycline 200mg for sale lasix 100mg price

  17. Nnxern says

    oral ramipril 10mg generic altace order astelin online

  18. Xrdkoo says

    order buspar 5mg online order ditropan 5mg online cheap order ditropan 2.5mg without prescription

  19. Lnvlcj says

    cheap hytrin leflunomide 10mg cost sulfasalazine 500 mg pills

  20. Gjnvhs says

    fosamax 70mg pill pepcid 20mg over the counter famotidine 20mg us

  21. Yhqtxf says

    buy olmesartan pills acetazolamide sale diamox online buy

  22. Xfgkzc says

    tacrolimus 1mg canada prograf 5mg pills generic urso 150mg

  23. Ejmyrb says

    imdur online buy azathioprine generic cost micardis 80mg

  24. Soddwv says

    order bupropion 150 mg sale oral zyrtec order generic seroquel 50mg

  25. Laoait says

    buy molnunat pill naproxen generic cost prevacid 15mg

  26. Fgwsjq says

    salbutamol 100mcg over the counter order imuran 100mcg for sale sildenafil canada

  27. Fsvmgm says

    cialis on line purchase cialis generic order amantadine 100 mg generic

  28. Dceqrn says

    medroxyprogesterone 5mg canada cyproheptadine 4 mg tablet cyproheptadine online buy

  29. Rxcasg says

    buy modafinil 200mg generic stromectol tablet ivermectin dosage

  30. Djvvml says

    generic fluvoxamine 100mg cymbalta 20mg without prescription buy glipizide 10mg without prescription

  31. Dxzfjf says

    accutane medication prednisone 5mg us deltasone 40mg ca

  32. Srdjku says

    nootropil 800mg brand order piracetam 800mg pills order viagra 100mg without prescription

  33. Judziq says

    cialis 5mg without prescription cialis 10mg over the counter sildenafil without prescription

  34. Oihibg says

    generic furosemide 40mg order doxycycline 100mg generic plaquenil uk

  35. Clckgb says

    cialis 20 betamethasone order online buy anafranil 25mg online

  36. Alflov says

    order chloroquine online cheap buy cenforce 50mg generic buy olumiant without prescription

  37. Uvnibg says

    purchase itraconazole for sale buy itraconazole 100mg generic buy tindamax 500mg sale

  38. Bzbygp says

    metformin 1000mg us glucophage canada buy tadalafil 40mg pill

  39. Ctgglg says

    order olanzapine pills buy nebivolol 5mg pills order valsartan 80mg online

  40. Rdltsk says

    order clozapine for sale buy decadron 0,5 mg sale buy decadron

  41. Uzbfnx says

    sildenafil citrate 50 mg female viagra purchase lisinopril pills

  42. Dugpes says

    zyvox price real money slots free spins no deposit best online gambling

  43. Mxokrz says

    prilosec order order prilosec 10mg without prescription casino online games for real money

  44. Ehckyi says

    order metoprolol 50mg generic buy atenolol 100mg for sale purchase vardenafil generic

  45. Cqcfmj says

    professional research paper writers play poker online real money real casino slots

  46. Vilajy says

    custom written papers mba essay service purchase sildenafil pill

  47. Hxpjje says

    order clomid 50mg generic clomid for sale online free spins no deposit canada

  48. Qfrqfq says

    purchase aristocort pills desloratadine 5mg brand desloratadine 5mg tablet

  49. Ogehil says

    order generic priligy 90mg buy synthroid 75mcg sale cheap generic synthroid

  50. Hsbnhm says

    orlistat online buy xenical online cheap buy generic acyclovir 400mg

  51. Pdxqpr says

    order cialis 20mg order plavix pill order plavix online

  52. Kvvknu says

    allopurinol over the counter buy allopurinol generic order zetia 10mg online

  53. Fzczvj says

    order methotrexate 2.5mg online generic methotrexate 5mg buy reglan 20mg generic

  54. Dpficq says

    buy domperidone 10mg without prescription flexeril 15mg usa flexeril 15mg us

  55. Atjiae says

    cheap losartan 50mg order generic losartan order topamax 200mg online

  56. Dbxnfl says

    baclofen 10mg pills zanaflex over the counter toradol oral

  57. Zfbgyf says

    gloperba cheap slot machine online slots

  58. Yidrfu says

    zantac 300mg oral purchase celecoxib online celebrex 200mg us

  59. Olxhso says

    buy tadalafil 20mg cipro oral purchase cipro generic

  60. Ngvfod says

    zocor medication propecia online order propecia 5mg ca

  61. Kjjucv says

    metronidazole 200mg without prescription augmentin 625mg cost buy trimethoprim online

  62. Ssfelj says

    keflex 250mg cheap order erythromycin 500mg without prescription order generic erythromycin 500mg

  63. Ratjmr says

    buy ceftin 250mg pills ceftin canada robaxin 500mg price

  64. Wptqva says

    no deposit free spins casino play for real online casino games buy tadalafil 5mg pill

  65. Tgfimp says

    order desyrel for sale sildenafil 50mg cheap aurogra over the counter

  66. Tdaoxa says

    sildalis online order lamotrigine canada lamotrigine 200mg uk

  67. Ithirw says

    brand deltasone 40mg deltasone 5mg oral buy amoxicillin 250mg pills

  68. Aumlao says

    buy sildenafil 100mg generic viagra 100mg us us cialis

  69. Rlgfiq says

    azithromycin drug azithromycin 500mg pill generic gabapentin

  70. Tfbwcs says

    best casino slot games casinos online order tadalafil

  71. emedanidE says

    Това е шансът ти да спасиш красива принцеса изпаднала в беда от папите на зъл магьосник, който я е скрил в подземието на замъка си – значи е време да се впуснеш в приключение с Book of Fortune. Book of Fortune е Amatic slot игра с 5 барабана, както и една от най-страхотните слотове с 10 линии. Може спокойно да се доверите на опита, с който ние, от Kazino Igri, разполагаме в хазартната сфера, докато играете на разнообразните ни ротативки с кристално ясна картина и звук, висококачествени анимации и невероятното хазартно усещане за непредсказуемост и адреналин! И всичко това е напълно безплатно! https://thebaldcommunity.com/forum/profile/deneseruff0398/ Избери си своя бонус в Winbet; безплатни залози, безплатни врътки или чист кеш! Регистрирай се сега! NetBet Poker набира позиции в Германия, операторът използва PlayTech софтуер, за да предложи най-модерна визия, която ще намерите онлайн. Букмейкъра Bwin предлага бонуси за покер, спортни залози и казино игри. Може да изберете някой от бонусите и да го активирате до 7 дни след вашата регистрация. Имайте предвид, че ако активирате бонус за покер, няма да може да го използвате за спорт или казино. Същото се отнася за всички видове бонуси.

  72. Speepewew says

    πιτσιρίκος © 2022. All Rights Reserved. Ναι, στον χώρο του Golden Nugget Las Vegas Hotel & Casino, Λας Βέγκας, υπάρχει εστιατόριο. Στο κατάλυμα υπάρχει και μπαρ. Ποια είναι τα μεγαλύτερα καζίνο στο Λας Βέγκας; Θα τα βρείτε εδώ στο kazinokazino.com. Τα μεγαλύτερα καζίνο ξενοδοχεία στο Λας Βέγκας σε αριθμό δωματίων και τα μεγαλύτερα καζίνο στο Λας Βέγκας…περισσότερα Γυμναστήριο Μάθετε για το πρόγραμμα Hotels.com Rewards commons.wikimedia.orgΤο Μουσείο Atomic Testing 1905: Ιδρύεται στη Νεβάδα το Λας Βέγκας, το οποίο θα εξελιχθεί σε πρωτεύουσα του τζόγου. https://reignersworld.org/amogcamp2022/forums/profile/jakelawrence038/ Τα free slots πέραν της διασκέδασης που μπορούν να προσφέρουν, αποτελούν πολλές φορές και κομμάτι μιας πολύ καλής στρατηγικής. Αν κάποιος θέλει να δοκιμάσει την τύχη του σε κάποιους κουλοχέρηδες, είναι παραπάνω από θεμιτό να επιλέξει πρώτα να παίξει τα συγκεκριμένα φρουτάκια χωρίς χρήματα. Οι κλασικοί κουλοχέρηδες έχουν συνδεθεί και με την θεματολογία της θάλασσας και δεν θα μπορούσαν να λείπουν από την συλλογή μας φρουτάκια με θέμα τον βυθό και τα ψάρια. Πολύχρωμα σχέδια, αστερίες, ψαράκια, καρχαρίες, κάβουρες, μα και ο θεός της θάλασσας Ποσειδώνας, συνθέτουν ένα πολύ όμορφο σκηνικό.

  73. Uajgrk says

    buy lasix 100mg without prescription plaquenil us buy plaquenil sale

  74. Nutegb says

    order deltasone 5mg pill order prazosin for sale order vermox 100mg generic

  75. Fex says

    To find the best no wagering bonus for yourself might require some legwork, most generous online casinos in the industry provide no wagering or low wagering bonuses. We at Casinoleader have listed all the no wagering bonuses, so you can select from free spins, welcome bonus, and cashback no wagering bonuses. New Spins With No Wagering Keep Your WinningsThe following online casino sites have either recently started with a no wagering requirement approach to their free spins or have just announced a new no wagering free spins promotion. In any case, you’ve probably never seen the bonus spins deals listed below, so take advantage of them while they’re still available, and remember that everything you win is yours to keep. The best no wager casinos offers have many advantages and feature a few drawbacks. These casino promotions aren’t as common as those featuring playthrough requirements. Claiming bonuses on no wagering casino sites may restrict you to lower conversions, specific titles and websites. Here are the three primary cons of a no wagering casino:
    https://felixbqeu764319.bloggosite.com/18981705/european-roulette-simulator
    The best online poker site depends on what features you value as a player. However, according to various poker players, some of the best sites include GG Poker and Pokerstars. Poker is undeniably one of the most exciting card games in the world. And, whether you’re a high-roller or beginner there’s always a reason to brush up on your poker skills. Here you’ll find a list of the best tested poker sites in the industry, free online poker games to play, top tips on poker strategy, bonuses, hand rankings and more. Deposit your money securely. Once you’ve figured out the basics of poker and mastered your skills, it’s about time to step up to real money poker plays. When it comes to depositing money, you should make sure that you can transact successfully without the risk of exposing your personal information to the public. Fortunately, you can find established online casinos that provide safe and secure transaction each time you make a deposit or even a withdrawal.

  76. vom says

    Welches Video dieser App kannst du anderen Besuchern empfehlen? Um ein neues Konto zu eröffnen, öffnen Sie die PokerStars-App und wählen Sie die Option “Neu bei PokerStars? Anmelden”. Ihr Stars-Konto ist nach nur wenigen Schritten eröffnet. Sie müssen eine gültige E-Mail-Adresse eingeben und einen Benutzernamen wählen. Stimmen Sie der Endnutzer-Lizenzvereinbarung zu und wählen Sie “Fertigstellen”. Sie suchen größte Mobilität – auch beim Pokern? Dann holen Sie sich jetzt PokerStars Mobile Poker und spielen Sie mit – wo Sie wollen, wann Sie wollen. Neben der Freundlichkeit und den gebotenen Supportzeiten, am besten 24/7, interessiert mich vor allem die Qualität der Antworten. Denn am Ende ist für gute Online Casinos entscheidend, dass ihr eine befriedigende Antwort auf eure Frage erhaltet. Hier trennt sich häufig die Spreu vom Weizen und bei kniffligen Fragen, bekommt man leider all zu oft irgendwelche Antworten, aber nicht die auf die eigentliche Frage. Deshalb unterschätzt diesen Punkt nicht, denn irgendwann werdet ihr froh sein ein Top Online Casino mit einem guten Support in der Hinterhand zu haben.
    https://archergkwd605045.anchor-blog.com/14979341/arcade-automaten-kaufen
    “Replay Poker wird von einem Team aus Pokerspielern betrieben, die zusammen über mehr als 75 Jahre Geschäftserfahrung verfügen. Da wir ehemalige Mitarbeiter von PokerStars an Bord haben, sind wir bestens aufgestellt, Spielern eine Social Poker Seite zu bieten, die Spaß bringt und sich von anderen abhebt. Wir folgen dem Free-to-Play Modell mit der Option, Chips zu kaufen. Daher können wir Social Poker Spielern immer eine Bleibe bieten, selbst wenn andere Seiten das kostenlose Spiel einstellen.“ Ihr seht es nicht zwingend notwendig bei PokerStars zu spielen. Ehrlich gesagt verschenkt ihr sogar Geld, wenn ihr dort spielt. Es gibt so viele guter seriöse Anbieter auf dem Markt, die euch sehr viel Freude bringen werden. Wir haben euch hier mal einige Anbieter aufgelistet.

  77. Dfegay says

    buy retin cream without prescription order tadalis for sale avana for sale

  78. bruic says

    Seit dem Oktober 2020 gibt es für Glückspielanbieter unter Berücksichtigung strenger Auflagen sowie Reglementierungen die Möglichkeit, eine Lizenz für den deutschen Markt zu erhalten. Die 5-Sekunden-Regel ist teil dieser Lizenzvorgaben und mit Sicherheit der unangenehmste Einschnitt für alle Online-Casinos. Die Regel wurde eingeführt, um die Zeitdauer zwischen einzelnen Spins bewusst zu verlängern. Dies soll Spieler dazu bewegen, nicht zu viel Kapital innerhalb des Casinos auszugeben, was wiederum Gewinneinbußen für die Anbieter zur Folge hat, dafür aber die Lizenz ermöglicht. Casinos, welche sich nicht an die neue Regelung halten wollen, bekommen auch keine Lizenz für Deutschland. Seit dem Juli 2019 hat das Casino in GTA Online geöffnet – hier dreht sich alles um Geld. Mit schlauen Einsätzen könnt ihr hier richtig viel Geld verdienen. Auch dazu haben wir einige Tipps parat.
    https://troyyvoh433210.blog-gold.com/19080452/internet-kasino
    PokerStars Texas Holdem Poker Ja. GGPoker ist seit 2014 in Betrieb. Sie sind vollständig von der UK Gambling Commission lizenziert und in einer Reihe von Ländern auf der ganzen Welt legal tätig. The new 6-Max Sit & Gold games are a significant new addition to the GGPoker schedule. While not unique in the industry, they represent an innovation in the LSNG format, one that slots nicely into the existing GGPoker landscape. Der GGPoker Deposit Bonus hat die folgenden Bedingungen: Du musst mindestens 18 Jahre alt sein und kannst nur als neuer Spieler an dieser Aktion teilnehmen. Die Mindesteinzahlung für den GGPoker Deposit Bonus beträgt 20 €. Alle Pokerspiele zählen für die Freischaltung des Bonusguthabens. Aus diesem Grund sieht es Koon als besondere Ehre an, beim Integritätsrat dabei sein zu dürfen. Weitere bekannte Pokerspieler, die für den Rat engagiert wurden, lauten: Fedor Holz, Andrew Lichtenberger, Seth Davies und Nick Petrangelo. Letzterer ist ebenfalls ein sehr guter Pokerspieler, der in seiner bisherigen Laufbahn als Pokerspieler 24 Millionen Dollar gewonnen hat.

  79. Apkrhn says

    order lamisil 250mg for sale purchase terbinafine amoxicillin 500mg for sale

  80. Ubhcaz says

    albuterol sale buy proventil order ciprofloxacin 1000mg for sale

  81. lasertest says

    Greate article. Keep posting such kind of information on your blog.
    Im really impressed by your blog.
    Hey there, You’ve performed a great job.
    I’ll definitely digg it and individually suggest
    to my friends. I’m confident they will be
    benefited from this website.

  82. Olgbky says

    singulair 10mg price sildenafil cost buy viagra 100mg without prescription

  83. Tdzahx says

    buy pioglitazone 15mg pill order viagra 50mg generic viagra 100mg pills for sale

  84. Suuqcx says

    buy tadalafil 20mg for sale Buy online cialis cheapest cialis online

  85. Unyhky says

    cialis buy online Buy cialis low price casino slots free

  86. Lusvon says

    ivermectin 3mg tablets stromectol cheap dapsone 100mg for sale

  87. Okfbiy says

    live blackjack play roulette slot game

  88. Zrhvcu says

    buy nifedipine 10mg without prescription perindopril us buy fexofenadine online

  89. Kwyxsa says

    free blackjack games us blackjack online online casino gambling

  90. Gpnshj says

    buy ramipril 5mg generic amaryl canada arcoxia generic

  91. Zmaafl says

    online poker real money need help writing a paper cheap essay writer

  92. Yqkbim says

    doxycycline tablet buy cleocin 300mg pills buy clindamycin

  93. Kyyfai says

    write essays for money order arava 10mg without prescription order sulfasalazine 500mg sale

  94. Soize says

    JOIN NOW JOIN NOW All Match time is in your local timezone(+00:00). You can also view all of this weekend’s fixtures. The Nigerian international joined Saudi Arabia’s Al Shabab from the Chinese Super League side Shanghai Shenhua in 2021. Ighalo scored 10 league goals in 19 appearances for Shanghai Shenhua. Odion made his debut in 2005 and moved to Europe in 2008 where he joined Udinese. The Nigerian international joined Watford during the 2014-15 and scored 36 league goals in 90 appearances for the club. Peter Rufai, as well as Emmanuel Okala, were the goalkeepers that day. It was an unforgettable day and a football match that ended India’s football journey as they were banned by FIFA, the world football governing body, for scoring too many goals, allegedly for using voodoo in a friendly soccer match.
    https://elliottoevf692469.bluxeblog.com/46105257/score-of-the-red-sox-game
    Both team captains, players, match officials and commentators will wear pink ribbons over the course of the match The PSL 7 will be held from January 27 to February 27, with Karachi hosting 15 matches in the first leg and Lahore hosting the remaining 19 matches. The PSL 7 Draft for the 2022 tournament will be held on Sunday, December 12 at 3 PM at the High-Performance Centre in Lahore. Keep checking back for the most up-to-date information on Pakistan’s biggest cricket tournament. Webcric Live Cricket Streaming Match starts in 5 hrs 20 mins Get PSL cricket score and ball by ball commentary of all the matches are available here for the cricket fans. The live scores and PSL live commentary of every game are placed below. It should be noted that this is the second time that the two sides faced each other in this year’s PSL, with Sultans toppling Qalandars when they first met in Karachi.

  95. Cmtprp says

    purchase asacol sale purchase astelin online avapro 150mg pills

  96. Kecdfi says

    benicar canada cost calan order generic divalproex 250mg

  97. Npxxeo says

    buy temovate cream buy buspirone online cheap amiodarone 200mg pills

  98. Frbxnn says

    diamox online buy imuran over the counter imuran tablet

  99. Xfkyet says

    order lanoxin 250mg digoxin uk buy molnunat 200 mg

  100. Ouuwdr says

    amoxicillin online amoxicillin us ivermectin pill cost

  101. Ogkscl says

    coreg 6.25mg ca buy coreg 6.25mg pill order elavil 50mg without prescription

  102. Bmkwps says

    buy priligy 90mg pill avana 200mg canada buy motilium pill

  103. Jvbexr says

    buy fosamax for sale nitrofurantoin 100mg over the counter ibuprofen 400mg cost

  104. Xzbmzr says

    purchase indomethacin online cheap order cenforce generic buy cenforce 100mg generic

  105. Iiaugy says

    buy nortriptyline 25mg paracetamol us order generic paxil 10mg

  106. Webjdu says

    brand doxycycline 100mg methylprednisolone 4 mg tablets medrol 8mg without prescription

  107. Coenpw says

    pepcid generic tacrolimus canada mirtazapine 15mg ca

  108. Lqxxte says

    tadacip 10mg usa order tadalafil online cheap trimox 500mg cost

  109. Qqdtau says

    ropinirole 2mg usa buy requip pill trandate 100mg usa

  110. Craxqn says

    esomeprazole 40mg usa buy lasix 40mg online oral lasix 100mg

  111. Riltpz says

    buy tricor 200mg pills order fenofibrate 200mg sale purchase viagra sale

  112. Jrpgap says

    buy tadalafil 10mg pills sildenafil australia buy sildenafil 100mg without prescription

  113. Joulrg says

    order metformin pills purchase nolvadex for sale cheap tamoxifen

  114. Ljuynq says

    purchase cialis for sale Canadian generic cialis ed pills for sale

  115. Tpesvo says

    serophene us order prednisolone 5mg online cheap order prednisolone for sale

  116. Yqzfyt says

    order generic modafinil 200mg purchase phenergan online phenergan online

  117. Dix says

    Kolejną atrakcją generatorów zasobów jest to, że są naprawdę proste w obsłudze . Wystarczy wykonać kilka prostych kroków i zweryfikować prośbę o zasoby. Te pojawią się na Twoim koncie automatycznie. Generatory są zwykle bezpłatne, bezpieczne i działają doskonale, bez oszukiwania. Ostateczna decyzja o tym, czy go użyć, czy nie, należy do Ciebie, ponieważ ostatecznym celem tych generatorów jest to, abyś dobrze się bawił, bez żadnych lukratywnych interesów. Chociaż na pierwszy rzut oka, z brzmienia tego przepisu wydaje się nie wynikać żaden związek z łamaniem zaakceptowanego przez nas regulaminu, to należy pamiętać, że regulamin to umowa, a więc akceptując go – zobowiązujemy się do jego przestrzegania. W takiej sytuacji jasne jest już, że jeśli w wypadku niewykonania lub nienależytego wykonania zobowiązania powstanie dla producenta gry szkoda, będziemy musieli ją naprawić na mocy tego przepisu.
    https://wiki-saloon.win/index.php?title=Internetowe_kasyno
    Godziny otwarcia Gry hazardowe za darmo jednoreki bandyta goście hotelowi mogą zamówić obsługę pokoju przez całą dobę, że możesz uzyskać dostęp do prawie całego kasyna z telefonu lub tabletu. Uwielbiam program telewizyjny i jestem pod wrażeniem wersji gry w automatach, która w istocie odnosi się do tego. Jest również znany jako bonus free spins round, ruletka na żywo kasyna online bez rejestracji ile pieniędzy automat wypłaci graczom w ciągu swojego życia. Jeśli kasyno lub Grupa kasyn oferuje duże progresywne jackpoty lub regularne promocje na duże pieniądze, masz ponad tysiąc witryn kasyn do wyboru.

  118. Dix says

    Przyznanie pożyczki zależy od wyniku oceny zdolności kredytowej wnioskodawcy, ale już bez przesady. Maszyny rolnicze gry dla dzieci swojego oburzenia sprawą nie kryje poseł, założę drugi wątek. Ona również łapie za siano, wynalazł ponownie automat Operator Bell. Maszyny rolnicze gry dla dzieci w takim wypadku składając wniosek o Kindergeld, w II kwartale 2006 r. Gra kasyno empik zwrotu w tej sprawie po wyjeździe parlamentarzystów nie oczekuje też premier Donald Tusk, aby wszyscy gracze przegrywali. No to właśnie mi o takie relacje chodziło, ale jak najwięcej grali. Samo pisanie książki nie było aż tak trudne. Trudniej było żyć z nią przez cały ten czas. Ta cholerna historia, dzień po dniu, była po prostu udręką, ciągłym źródłem niepokoju, czymś męczącym, otępiającym i strasznie smutnym.
    https://andyhjig973074.topbloghub.com/22415458/imprezy-kasyno-huta-centrum-administracyjne-andrzejki
    Inspektorzy kazali wjechać kierowcy na wagę, a gdy zobaczyli na wyświetlaczu wyniki, to przecierali oczy ze zdumienia. Protest w Wodkanie przebiega jednomyślnie, popiera go 160 pracowników i zarząd spółki. Co najważniejsze firma nie zamierza nawet na moment wstrzymać normalnego trybu pracy. Wszystkie awarie będą usuwane na bieżąco, będą realizowane nowe przyłączenia do sieci, a do mieszkańców będzie dostarczana czysta woda i będą odbierane ścieki. Punkty obsługi klientów także funkcjonować mają bez zmian. Tak może powiedzieć wyłącznie osoba niemająca pojęcia na czym polega oczyszczanie ścieków, ile kosztuje chociażby doprowadzenie ich do oczyszczalni, a gdzie sam proces oczyszczania itd. Gmina Raszków płaci 13 zł, więc gdzie tu wołanie o pomstę do nieba. Zanim coś napiszesz, pomyśl. Warto

  119. rm99 says

    It’s very effortless to find out any matter on net as compared
    to books, as I found this piece of writing at this web site.

  120. Dhofir says

    buy accutane 20mg without prescription isotretinoin 40mg usa buy acillin pills

  121. bip says

    With a price decline of -49.50% in the last 7 days, Freedom. Jobs. Business ($FJB) is underperforming the global cryptocurrency market which is up 8.60%, while underperforming when compared to similar BNB Chain Ecosystem cryptocurrencies which are up 2.90%. This, combined with forcing users into an 8% donation to the project on every transfer, could be used to scrape profit from investors. Freedom. Jobs. Business’s current price is $0.000057 and witnessed a 0.97% increase in the past 24 hours. $FJB/BTC pair saw a 4.56% increase in the past 24 hours. De la Rouviere presented a scenario in which FJB’s admins restrict certain addresses from selling when FJB’s price is collapsing, giving them ample time to dump their crypto first.
    https://zanderjpug074226.csublogs.com/22167684/cryptocom-interest
    © 2023 CNBC LLC. All Rights Reserved. A Division of NBCUniversal As you can see, if you multiply the exchange rate with the amount of bitcoins , the units of the right side will be reduced to , which is what we are looking for. Note: Often ‘Capital B’ Bitcoin refers to the protocol or the system. ‘Lowercase b” bitcoin refers to the currency unit. 0.00000.0000LowThese are the lowest points the exchange rate has been at in the last 30 and 90-day periods. I will explain how to calculate the value of some amount of bitcoins in terms of USD, but obviously the USD can be replaced by any other currency, and the corresponding exchange rate. Every 210,000 blocks — roughly every 4 years — the block reward is reduced by half, an event often referred to as the “the halvening” or “the halving.” When Bitcoin launched in 2009, the initial block reward was 50 bitcoin. On November 25, 2012, the first halvening occured, halving the block reward from 50 to 25 bitcoin. On July 10, 2016, the second halvening occured, halving the block reward from 25 to 12.5 bitcoin. The third halvening is expected to happen in May, 2020 and will reduce the block reward from 12.5 to 6.25 bitcoin.

  122. Tlftwv says

    stromectol ireland oral prednisone 5mg buy deltasone 40mg

  123. 네이버 아이디 판매 says

    The ID used on the NAVER platform is being sold.I think everyone is well aware of the impact of online advertising in today's era, and there is no need to talk about how important online advertising is.In particular, NAVER is the most basic. 네이버 아이디 판매The reason is undoubtedly because it is the most popular tablet product in China.

  124. One of the main benefits of purchasing Viagra without a prescription is convenience.처방전필요없는비아그라 Many online pharmacies sell Viagra without a doctor's visit or prescription.

  125. 비아그라 says

    When buying Viagra, it's important to get the genuine product from a trusted source. Please carefully check the information on purchase safety, authenticity guarantee, shipping information,비아그라etc. provided on the website, and in case of any problem, we will keep in touch with our customer support team to help you solve the problem.

  126. 비아그라 says

    비아그라는 1998년에 미국 식품의약국(FDA)에 의해 허가된 후, 전 세계적으로 남성들의 성기능 개선을 위해 사용되고 있습니다.

  127. If you wish for to increase your know-how only keep visiting this web site and be updated with the newest
    gossip posted here.

  128. glow4d login says

    Its such as you read my thoughts! You appear to understand a lot about this, such as you wrote the book in it or
    something. I think that you just could do with some % to drive
    the message home a bit, however other than that,
    this is wonderful blog. A fantastic read. I will definitely be
    back.

  129. Tunisia says

    Howdy! This blog post couldn’t be written any better! Reading through this article reminds me of my previous
    roommate! He always kept talking about this.
    I most certainly will forward this article to him. Fairly certain he will
    have a good read. Many thanks for sharing!

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.