Hata Watoto Wetu Hawapo Salama Chini Ya Ubepari
بسم الله الرحمن الرحيم
Habari:
Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania imetoa takwimu mpya kuhusu ukatili kwa watoto nchini kuanzia Januari mpaka Septemba 2021. Kwa mujibu wa wizara, jumla ya watoto 6,168 walifanyiwa ukatili na miongoni mwao 3,524 walibakwa.
Maoni:
Maoni hayajaruhusiwa.