Waachwe Huru Dada Zetu, Romana na Dr. Roshan

#WaachweHurudadazetu #AachwehurudadaRomana #AachweHuruDr.Roshan

Viongozi waovu wa Pakistani wameendelea kuwalazimisha mawakala wa Amerika nchini Pakistani kuwanyanyasa waislamu, haswa wanachama wa Hizb ut Tahrir na wale wanaowaunga mkono, na sasa wanaendeleza mbinu zao chafu za kuteka wanawake!

Dada Romana Hussein , mwalimu maarufu mwenye shahada ya uzamivu katika masomo ya kiislamu alitekwa. Usiku wa jumatatu, 13 / 08/ 2018 mamlaka ya ulinzi ya Pakistan iliizunguka nyumba ya Dr. Roshana na kumteka nyara yeye na mme wake, sababu kubwa niwao kusema Allah ndio Mola wetu…ambao wamesahau au kujifanya kama hawaoni maneno ya mkubwa mwenye nguvu

[إِنَّ الَّذِينَ فَتَنُوا الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَتُوبُوا فَلَهُمْ عَذَابُ جَهَنَّمَ وَلَهُمْ عَذَابُ الْحَرِيقِ]

“Hakika wale wanaowaadhibu walioamini (waislamu) wanaume na wanawaka ,kisha wasitubie, basi watapata adhabu ya jahannamu na watapata adhabu ya kuungua.”

[Surah Al-Buruj 85:10].

Na mtume  (saaw) anasema:

ومن عادى أولياء الله فقد بارز الله بالمحاربة

“Yule ambae ataonyesha uadui kwa awliya wa Allah atapambana na Allah.”

(imepokewa na Hakim kama ilivyosimuliwa katika Sahih kutoka kwa  Mu’aadh bin Jabal.na katika hadithi  Qudsi, imesimuliwa,

قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «إِنَّ اللَّهَ قَالَ مَنْ عَادَى لِي وَلِيًّا فَقَدْ آذَنْتُهُ بِالْحَرْبِ

“Mtume wa  Allah (saaw) amesema mwenye kumfanyia uadui walii wangu nitatangaza vita dhidi yake’ …”

[Bukhari].

Allah amuachie #DadaRomana na  #dadaRoshan na mme wake,na Allah atawatia adabu madhwaalim!

Kwa kutizamia vitendo hivi, kituo cha ofisi ya habari ya Hizb ut Tahrir imeanzisha kampeni ya kamataifa inayojulikana kama “has launched an international campaign entitled: #FreeOurSisters #AachwehuruRomana” #AachwehuruDr.Roshan katika namna ya kujibu vitendo viovu vinavyofanywa na utawala muovu wa Pakistani dhidi ya wanamama madhubuti wa kiislamu wanaofanya kazi bega kwa bega na Hizb ut Tahrir ya kusimamisha dola ya Khilafah kwa kupitia njia ya Utume. O waislamu tunawaita na tunawaalika mje kufanya kazi na Hizb tahrir kupitia njia ya Mtume wetu amani iwe juu yake katika kusimamisha dola , Hii ndio njia ya sawa na ya kweli itakayotupelekea kuridhiwa Allah (swt). Allah amesema:

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اسْتَجِيبُوا لِلَّهِ وَلِلرَّسُولِ إِذَا دَعَاكُمْ لِمَا يُحْيِيكُمْ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ يَحُولُ بَيْنَ الْمَرْءِ وَقَلْبِهِ وَأَنَّهُ إِلَيْهِ تُحْشَرُونَ

“O Enyi mlioamini , muitikieni allah na mtume wake anapokuiteni katika yale yatakayokupeni uhai mzuri.Na mjue kwamba allah huingia kati ya mtu na moyo wake na kwake yeye mtakusanywa.

[Al-Anfal: 24]

O Allah, tunakuomba msaada wako uwalinde dada zetu Romana na dada Roshan na mme wake katika ulinzi wako na waislamu wale waliofungwa katika majela ya madhwaalimu. O Allah, tunakuomba utuletee siku hiyo ambayo watakua chini ya utawala wa kiislamu katika dunia na uwaadhibu wale ambao waliwashambulia watoto wa ummah wetu, ameen.

#UislamNiHadharaMbadala

Maoni hayajaruhusiwa.