Majmu’a ya Udugu Kwa Maimamu, Walimu wa Madrasa na Masheikh

بسم الله الرحمن الرحيم

Mada ya kwanza: Jukumu la wenye elimu katika Uislamu.

Mzungumzaji: Sheikh Mussa Kileo, Mwenyekiti Kamati ya Mawasiliano Hizb ut Tahrir Tanzania

 akizungumza na Masheikh, Maimamu na walimu wa madrasa katika MAJMU’A YA UDUGU iliyofanyika Madrasa Ummuh Atfal iliyopo Machimbo Yombo Temeke Dar es Salaam.
(a) Kusomesha
(b) Kufanya kazi ya ulinganizi
(c) Tareekh za badhi ya wanavyuoni mukhilisina
Mada ya pili: Mwezi wa Dhul Hijah unatufundisha kujifunga na wahyi
Mzungumzaji: Masoud Msellem, Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania akizungumza na Masheikh mbalimbali, Maimamu wa Misikiti mbalimbali ya Dar es Salaam na walimu wa Madrasa katika hafla ya MAJMU’A YA UDUGU iliyofanyika Madrasa Ummuh Atfal iliyopo Machimbo Yombo Temeke Dar es Salaam.
Mada ya tatu: Kutukanwa Mtume (s.a.w) na suluhisho lake
Mzungumzaji: Sheikh Khatib Imrani

Usomaji Nasheed

Wanafunzi wa Madrasa Ummuh Atfal wakisoma Nasheed katika Hafla ya MAJMU’A YA UDUGU ya Maimamu, Masheikh na walimu wa Madrasa.

Usomaji Wa Quran

Hamad Sadi alisoma quran katika ufunguzi wa Hafla ya MAJMU’A YA UDUGU kwa Masheikh, Maimamu na walimu wa madrasa uliofanyika Madrasa Ummuh Atfal Machimbo Temeke Dar es Salaam.
Tarehe: Jumapili, 27 Dhu al-Qi’dah 1443 H- 26 Juni 2022M

Maoni hayajaruhusiwa.