Swalaatul-Ghaaib

Waislamu wote mnaombwa kuhudhuria kwa wingi kuja kuwaswalia SWALAATUL-GHAAIB Waislamu wenzetu waliouawa msikitini nchini New-Zealand Ijumaa iliyopita.

MAHALI:-BUGURUNI MADENGE
SIKU:- IJUMAA (22-03-2019)
MUDA:- BAADA YA SWALA YA IJUMAA

Imam Mkuu, Masjid Rahma:- Sheikh Mussa Kileo
0658 393 995

Maoni hayajaruhusiwa.