Swadakta Raisi, Lakini Angalia Na Kinyume Chake

“Nawaomba wapelelezi kukamilisha upelelezi kwa wakati. Mtuhumiwa anakamatwa na vidhibiti bado mnapeleleza, wakati mwingine mwizi mnakuta kafungwa alivyoiba shingoni, sasa hapo mnapeleleza nini, au mnataka kujua wakati anaiba alikuwa amelala au kasimama.

(Raisi John Magufuli leo 06/02/2019 katika sherehe ya kilele cha Siku ya Sheria )

Kinyume chake, mtu amekaa ndani kwa muda mrefu, hakuna ushahidi, kisingizio ni ushahidi haujakamilika, nae anastahili kuwa huru

Maoni hayajaruhusiwa.