Mapinduzi Sudan

Wanaharakati wa Hizb ut Tahrir Sudan wakiendelea na kampeni kubwa ya kuwanasihi Ummah wa Kiislamu nchini humo wayafanye mapinduzi hayo yawe kwa ajili ya kusimamisha sheria za Allah(SW) tu ni si chengine.
Huku wakiwaonya na michezo michafu ya makafiri wakoloni na njama zao, na kuwataka wakae mbali na maadui hao.
Kampeni hiyo kubwa endelevu alhamdulillah imeanza kuonekana kuuvutia Ummah.
Allah SW ajaalie juhudi zao ziwe ni chanzo cha kurejea tena Uislamu na kusimama tena Khilafah Rashidah.
Amin

 

Maoni hayajaruhusiwa.