Komesha Sheria Kandamizi Na Utekaji

بسم الله الرحمن الرحيم

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Kutokana na kuwekwa mahabusu kwa wanaharakati wetu watatu wa Hizb ut Tahrir Tanzania (Ust. Ramadhan Moshi Kakoso, Wazir Suleiman Mkaliaganda na Omar Salum Bumbo kwa zaidi ya miaka miwili sasa bila ya kesi zao kusikilizwa wala kupewa dhamana, pamoja na kuwa mahabusu mashekhe wa Uamsho ambao wapo mahabusu zaidi ya miaka saba sasa, na wote walioshikiliwa kwa kukosa dhamana wala kesi zao kusikilizwa, Hizb ut Tahrir Tanzania inatangaza kampeni rasmi ya kutetea haki za mahabusu hao.

Masoud Msellem – Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania akizungumza na Waandishi wa Habari Dar es Salaam akizindua kampeni hiyo.

Ijumaa 28 Shawwal 1441 H – 19 Juni 2020 M

Mtazamo wa UislamuJuu ya Uhalifu

#KomeshaSheriaKandamiziNaUtekaji
#StopOppressiveLawsAndAbduction

Maoni hayajaruhusiwa.