Changamoto za Familia na Suluhisho lake Katika Uislamu

Kitengo cha wanawake katika ofisi kuu ya habari ya Hizb ut Tahrir kimeanzisha kampeni ya kiulimwengu “changamoto za familia na suluhisho lake katika uislamu” ili kubainisha migogoro inayoathiri kutulia kwa ndoa na familia katika jamii duniani kote.
Changamoto za familia na suluhisho lake katika uislamu
Ungana nasi katika twiter kusapoti kampeni ya
#NusuruFamilia

Maoni hayajaruhusiwa.