Zaka ya deni

78

Swali:

ﺑﺴﻢ ﷲ ﺍﻟﺮﺣﻤﻦ ﺍﻟﺮﺣﻴﻢ

Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh,

Mimi ni mfanyakazi katika moja ya Vyuo Vikuu vya Palestina na maranyingi ninafanya kazi mpaka muda wa ziada (overtime) na kawaida huwa hatulipwi malipo ya muda waziada kwa wakati bali chuo hutuwekea kama deni kwa kulilimbikiza, na huenda deni la mmoja wetu lika zidi kiwango cha Nisab (baada ya kupitikiwa na mwaka). Hili deni lina uhakika wakulipwa ila tu muda wakulipwa ndio haujulikani. Kwamfano, kwa miaka mine sasa sijawahi kulipwa malipo hayo ya muda wa ziada, na wala sifahamu kwamba nilini nitalipwa. Je, kwa pesa hizi ninazo dai kuna kulipia zaka?. Na iwapo kuna Zakat, je, inalipwa kwa maramoja nitakapo lipwa au nikwa kila mwaka?. Fahamu kwamba wengi wa sisi wahadhiri jambo hili lina tuchanganya sana hivyo tunatafuta kujua hukmu sahihi. Mwenyezi Mungu akulipe.

 

Jibu:

Wa Alaikum Assalam wa Rahmatullahi wa Barakatuh,

Nimefahamu kutoka katika swali lako kwamba malipo hayo ya overtime (muda wa ziada) ni makubaliano ya kmkataba na Chuo Kikuu, kwamba kwa kazi hii unastahili malipo maalum pindi unapo maliza kazi hizo, na iwapo hawakukulipa kwa wakati malipo hayo hubakia kuwa ni deni kwao… wala sio bakhshishi (bonus) au nyongeza kwa kujitolea kufanya kazi za ziada ambapo ingewapasa kukulipa kiasi wanachotaka pindi watakapo taka, yaani ima kingi au kichache, au hata wasikupe chochote… iwapo ufahamu wangu ni sahihi wa hayo maelezo yako, basi jawabu la swali lako lipo wazi katika kitabu Mali katika Dola ya Khilafah (Al-Amwal fi Dawlat Al-Khilafah) kwa maelezo haya:

(… Ikiwa mtu ana anadeni (anadai) kwa mtu tajiri ambaye anaweza kumlipa muda wowote, ni wajibu kwake kulipa Zakat ya lile deni linapo pitikiwa na mwaka. Amesimulia Ibn Ubaid ra kutoka kwa Umar ibn Al-Khatwab ra kwamba “Inapofika saqah kuwa wajibu, hesabu madeni yako na ulicho nacho kuwa ni kitu kimoja (kwa pamoja) kisha tolea Zakat”. Uthman Ibn Affan amesema: “Sadaqah ni wajibu kwa deni ambalo unaweza kulipata kutoka kwa mdaiwa unapohitaji, na deni ambalo lipo kwa mtu anaye chelewesha kulilipa na wewe unaliacha kwa kuona haya au kama zawadi (favour) ; ni Sadaqah”. Amesimulia  Abu Ubeid, ambaye pia amepokea kutoka kwa Ibn ‘Umar amesema: “Katika kila madeni yako ambayo unataraji utalipwa niwajibu kuyatolea Zakat pindi yakizungukiwa na mwaka.”

Aidha iwapo deni lipo kwa mtu masikini ambaye yupo katika mazingira magumu, au kwa tajiri anaye lizuia (kulipa deni hilo), basi sio wajibu kwa mdai kulipa Zakat mpaka atakapo lipwa (denilake). Na baada ya kulipwa atatoa chote kilicho wajibika kutolewa kwa miaka yote. Ila kuhusu deni lenye mashaka, mfano mdai hana uhakika kwamba atalipwa aua laa, Ali ra anasema: “Ikiwa ni muungwana basi alipe Zakat mara tu atakapo lipwa deni lake kwa hicho kipindi.” Imesimuliwa na  Abu Ubeid, ambaye pia amesimulia kutoka kwa  Ibn Abbas amesema kuhusu madeni kwamba: “Iwapo huna uhakika wa kulipwa (denilako), usililipie Zakat yake mpaka pale utakapo lipwa. Pindi utakapo lipwa lipa kile kinacho liwajibikia (hilo deni).” Mwisho wa yaliyo elezwa katika kitabu cha Mali katika Dola ya Khilafah (Al-Amwual fi Dawlat Al-Khilafah)

Hivyohivyo, malipo yako ambayo yanashikiliwa na Chuo kikuu kama denilako kwao, Zakat kwa malipo haya sio lazima kufanyika sasa hivi, lakini ni wajibu kulipwa Zakat mara tu utakapo pokea malipo yako kutoka kwa Chuo Kikuu kwa sababu hufahamu ni lini utalipwa.

Hii nikwamba deni lako huwezi kulihitaji kutoka kwa Chuo Kikuu na kulipata kwa muda unaohitaji. Kwahali hii basi, Zakat kwa pesa hizi inakuwa ni wajib kwako mara tu utakapo zipata na kwa wakati huo, kisha utazitolea Zakat kwa miaka iliyopita kuanzia pale ambapo fedha zako zilifikia Nisab na kisha kupitiwa na mwaka. Kwahiyo ni wajibu kulipa Zakat kwa miaka yote baada ya mwaka kupita kwamali/pesa ambayo imefikia kiwango cha Nisab, nawala sio kuilipia Zakat yake kwa mwaka mmoja , ila nikwa miaka yota baada ya Nisab kutimia na kupitiwa na mwaka……

Nina Muomba Allah SW Akujaalie Baraka katika fedha zako, familia na watoto wako.

Ndugu yenu,

Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah

Imewekwa katika Kiswahili

Na: Hamza Sheshe

78 Comments
 1. Foellagma says

  le cialis blog ivermectine mylan

 2. incutle says

  You might have heard of Martin Shkreli, the former CEO of Turing Pharmaceuticals cialis prescription

 3. Bluerce says

  Consider a starting dose of 25 mg in patients treated with strong CYP3A4 inhibitors e 60mg priligy They used an International Index of Erectile Dysfunction IIEF survey for two separate groups

 4. Pneuchcek says

  com cialis Other cialis generic tadalafil Apart from our affordable price tags, we also offer our medicines without prescription

 5. Arrodyvot says

  buy real cialis online Last among these three major pharmacy chains is Walgreens, which charges 76

 6. Ideomewem says
 7. emomarm says

  As soon as Yun Guo er came out of the Demon Suppression Tower, she saw the corpses of the mysterious demon rat all over the floor, and her eyes were full of shock when she looked at Zhao Ling. doxycycline mechanism of action What it would without obesity.

 8. bymncindy says

  lasix for weight loss Chemyo MK 677 Solution vs Powder issues

 9. Kneelelom says

  Staubes, Eric A lasix loop diuretic Patients and tissue collection

 10. Benenzync says

  Drug interactions are reported among people who take Garcinia cambogia and Metformin buy cialis 5mg daily use

 11. slorway says

  Immunity 52, 578 580 2020 stromectol generic name

 12. Grierfuse says

  1982 A decade s experience with an individualized clomiphene treatment regimen including its effect on the postcoital test magnesium and tamoxifen interaction

 13. Oresody says

  In the face of such circumstances, what can you do to get your sexy on priligy in usa venlafaxine will increase the level or effect of nebivolol by affecting hepatic enzyme CYP2D6 metabolism

 14. Dooccusty says

  how to take clomid to get pregnant Metastatic carcinomas to the uterus are rare and usually originate from nearby gynecologic sites, most commonly from the ovaries

 15. Embetle says

  what company makes stromectol Prokinetic Agents

 16. inconeync says

  But another cancer survivor, Thomas Farrington, stressed that if patients knew not just the costs but the values of new technologies, they could make better decisions and foster the proper adoption and de adoption of new treatments doxycycline with food

 17. Skesque says

  Cannabinoid receptors and their ligands beyond CB and CB lasix indication 17 We considered only tumors with invasive features as cancers and excluded basal cell carcinomas and in situ lesions

 18. Invinia says

  cialis otc Practice mindfulness to reduce stress

 19. netusenna says

  It is positive for desmin, smooth muscle actin and ALK by immunohistochemistry and shows ALK rearrangement by FISH buy stromectol ivermectin online

 20. Useriekip says

  Elias KTDCgDCQjFkHSFIB 6 4 2022 comparaison viagra tadalafil levitra

 21. smikada says

  I eat with awareness, knowing how my choices will affect me liquid nolvadex

 22. elewina says

  It occurs in hyperactive, hypoactive, or mixed forms, in up to 50 of elderly hospital inpatients, many with pre existing dementia, and appears to be independently associated with significant increases in functional disability, length of hospital stay, rates of admission to long term care institutions, rates of death, and healthcare costs is accutane worth it

 23. plerymn says

  Over the past decade, significant advances have been made regarding the invasive management for BPH where to buy provera and clomid online

 24. inhesee says

  MacMahon M, Carless J can i buy cialis online

 25. Vialiafus says

  Dannie, USA 2022 06 28 00 17 04 tamoxifen sigma

 26. AshTep says
 27. UgoTep says
 28. edgemepsy says

  So it was quite the balancing act some days diarrhea, other days constipation propecia shedding

 29. MichaelDix says
 30. Indumma says

  brand name cialis online This is more common in steroid users due to the high degree of vascularity of the chest wall

 31. AshTep says
 32. BooTep says
 33. WimTep says
 34. MichaelDix says
 35. MichaelDix says
 36. UgoTep says
 37. WimTep says
 38. AshTep says
 39. musiaVame says

  Femi Oyebode MBBS, MD, PhD, FRCPsych, in Sims Symptoms in the Mind Textbook of Descriptive Psychopathology, 2018 buy clomid online without a script

 40. Nitotrild says

  The L4 and D1 nuclei generally have relatively clear nucleoplasm, although a few D1 nuclei have kernel vesicles arrowheads and inset rex md viagra

 41. Prizecili says

  Carroll GL, Howe LB, Peterson KD cheap cialis online canadian pharmacy Lippincott Williams 2011

 42. fertize says

  Brown s health history and physical examination were performed quickly with appropriate orders written nolvadex on cycle for gyno Monosaccharide, absorbed from intestine and distributed, stored, and used by tissues

 43. exadiarma says

  With that in mind, it is worth noting that the Press sisters were almost certainly genuine intersex cases rather than the result of systematic doping policies or, as was widely believed at the time, men pretending to be women in order to compete in women s events cialis no prescription

 44. SueTep says
 45. Robertpem says
 46. EvaTep says
 47. Neermvori says

  Time to treatment failure of palbociclib and letrozole as second line therapy or beyond in hormone receptor positive advanced breast cancer cialis

 48. Richardhum says
 49. CarlTep says
 50. JaneTep says
 51. TedTep says
 52. JaneTep says
 53. Jesus Bowling says

  I like this web blog very much so much fantastic information.

 54. Greetings from Florida! I’m bored at work so I decided to browse your website on my iphone during lunch break. I enjoy the info you provide here and can’t wait to take a look when I get home. I’m shocked at how quick your blog loaded on my cell phone .. I’m not even using WIFI, just 3G .. Anyways, great site!

 55. Custom Token Generator says

  Unquestionably believe that which you stated. Your favorite reason seemed to be on the web the easiest thing to be aware of. I say to you, I certainly get annoyed while people think about worries that they just do not know about. You managed to hit the nail upon the top and defined out the whole thing without having side-effects , people could take a signal. Will likely be back to get more. Thanks

 56. spa day with treatments says

  Hey very nice website!! Man .. Excellent .. Amazing .. I will bookmark your site and take the feeds additionally…I’m glad to search out so many helpful information here within the post, we want develop extra strategies on this regard, thank you for sharing.

 57. eagleeyewine.com says

  I got what you mean , regards for putting up.Woh I am pleased to find this website through google.

 58. tlover tonet says

  Simply wish to say your article is as amazing. The clarity in your publish is simply great and i can assume you are an expert on this subject. Fine along with your permission allow me to snatch your feed to keep up to date with impending post. Thank you 1,000,000 and please continue the enjoyable work.

 59. tlovertonet says

  I’ve been absent for some time, but now I remember why I used to love this web site. Thank you, I will try and check back more often. How frequently you update your website?

 60. Chimera says

  Hello to all, the contents present at this site are truly amazing for people experience, well, keep up the good
  work fellows.

 61. ctr manipulation says

  Thanks for this howling post, I am glad I found this web site on yahoo.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.