Ukafiri ni mila moja

5

Ugomvi uliopo leo duniani ni ugomvi kati ya serikali za kikafiri na Uislamu na waislamu.

Nini kosa la huyu mjukuu wa sheikh Abduramaan Ashadhuly mpaka kuuawa kwa kupigwa risasi kweupe. Kwa madai ya uongo ya ujambazi.?

Mambo ya kujiuliza kabla ya kupata jawabu.

1.Jambazi gani ambaye hana silaha yoyote ile mkononi.

2.Sheria hizo walizozitunga katika mabunge yao, je ni ruhusa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi bila ya kufikishwa mahakama na kusomewa mashtaka.?

3.Sababu ya kupigwa risasi ni ipi wakati alikuwa hana silaha ya aina yoyote ile, wala kulikuwa hakuna majibizano ya silaha na askari.?

Jawabu ni kuwa ni kwa sababu ni Muislamu hakuna jawabu lingine.

Mwenyekiti wa mtaa anaoishi anasema ni mtu mwema na wala sio jambazi. Haya ndio washaamua nani atawajibishwa katika mauaji hayo. Mabunge ya kikafiri hayasemi chochote juu ya yale yanayowakuta Waislamu.

Alitekwa Roma Mkatoliki media zilirindima habari zake. Leo anauawa Muislamu wazi wazi kwa chuki tu kimya. Mmiliki wa shule ya Luck Vicent yuko hatiani kwa kosa ambalo liko nje ya uwezo wake. Lakini wanaouawa Waislamu kama hivi, kimya hutosikia chochote. Leo damu imekuwa rahisi ya kumwaga kuliko chochote.

Tangulia akhii nasi tuko nyuma, Allah akusamehe makosa yako na akurehemu na akujaalie kuwa ni katika watu wa Jannah.

Yana mwisho haya usiku hata uwe mrefu vipi asubuhi lazima ifike.

5 Comments
 1. graliontorile says

  Usually I don’t read post on blogs, however I would like to say that this write-up very pressured me to take a look at and do so! Your writing taste has been amazed me. Thank you, quite great article.

 2. Nicki Stanaland says

  Very interesting topic, regards for putting up. “I am not an Athenian or a Greek, but a citizen of the world.” by Socrates.

 3. Free ERC-20 Token Generator says

  What¦s Taking place i’m new to this, I stumbled upon this I have found It positively helpful and it has aided me out loads. I’m hoping to contribute & aid different users like its aided me. Good job.

 4. Smart Contract Generator says

  Hello, you used to write fantastic, but the last several posts have been kinda boring?K I miss your super writings. Past few posts are just a bit out of track! come on!

 5. pool service tallahassee says

  Thanx for the effort, keep up the good work Great work, I am going to start a small Blog Engine course work using your site I hope you enjoy blogging with the popular BlogEngine.net.Thethoughts you express are really awesome. Hope you will right some more posts.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.