Uongo wa Al-Sharq Al-Awsat Dhidi ya Hizb ut Tahrir

Imetafsiriwa

Shukrani kubwa ziende kwa Allah ambae ameweka wazi kati ya haki na batili.

Hakuna shaka kwamba gazeti la Al-Sharq Al-Awsat, linalochapishwa na kampuni ya utafiti ya Saudia, kupigia chapuo uongo wa Urusi-utawala wa Putin kwamba ilitumia mbinu za kihalifu katika kuutokemeza utawala wa kistalinist.

Gazeti hili sio tu lilinukuu shirikisho la huduma ya usalama ya Urusi (FSB) kupitia ofisi ya habari kuhusu kushukiliwa mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika sehemu inaitwa  Muslim Tatarstan, (jarida No. 14563, ijumaa 2/Safar 1440AH-12/10/ 2018 CE), lakini limezididha tuhuma dhidi ya chama, na kuchapisha uongo kwa  “kutumia sheria ya ugaidi ili kuweza kufikia malengo yake”,  “ni wazi kwamba Hizb ut Tahrir imeongeza juhudi zaidi ya kuvuna waislamu nchini Urusi na kuunganisha umbile la kimiundo, imekua ikisaidia makundi ya kigaidi na magenge ya kihuni ya mashariki ya kati kwa kujitolea baada ya kushawishi matendo ya kigaidi”. Pia gazeti hili limezuia hoja pinzani katika mtandao kuhusu ripoti hii, hivyo  tulishindwa kutuma hoja yoyote katika mtandao wa Al-Sharq Al-Awsat!!

Hivyo basi tunachukua fursa hii kuuliza bila kujali madhara kutoka kwa walinzi wahalifu wa utawala wa Putin, ambao wamejipa mamlaka ya kuzima taa ya Allah, asubuhi na mchana kwa uadui mkubwa dhidi ya waislamu, na matamanio yake ya kufanya utabikishaji wa sheria za Allah kuwa ni uhalifu wenye kustahiki adhabu au tuweke wazi uongo na utapeli uliofanywa na kampuni ya uchapishaji ya Saudia inayomilikiwa na wasaliti wa misikiti miwili mitakatifu, wanaojinadi kubeba kalima isemayo “hakuna mungu ila Allah pekee, na Muhammad ni Mtume wake “ kama chaka la kujifichifia!!

Haihitajiki nguvu kubwa kudhihirisha madai ya ongo na utapeli wa gazeti hili kwamba eti Hiz ut Tahrir inatumia vitendo vya kigaidi kufikia malengo yake.  Chama kipo wazi katika madai yake ya kutaka ukweli, bila kukhofia utawala wa Putin na wafuasi wake, tawala za mabavu katika nchi za waislamu. Kwa dhati kabisa, chama kimetangaza kwamba kinafanyakazi kwa ajili ya kurejesha maisha ya kiislamu kwa kusimamisha dola ya khilafah, kwa kufata njia ya Utume iliyoegemea katika msuguano wa kisomi na kisiasa na kufanya kazi na ummah na kuwaita kwake kufanya kazi ya kusimamisha sheria ya Allah. Hili sio jipya kwa dola hizi za kihalifu kushindwa kuzuia kazi hii hata kwa juhudi kubwa waliyoiweka. Hii ni kwa sababu ya juhudi kubwa iliyofanywa na watu waaminifu wanaomuamini Allah na Mtume wake, watu ambao waliamua kubeba amana ya uaminifu, jambo ambalo Allah amewasifia kwalo waislamu mfano: mwito wa kuwaita katika dini yake na utabikishaji wa sheria yake, na kulichukua jukumu la kuwa shahidi kwa mwanadamu kwa kulingania mwito wa uislamu kama alivyoanza Allah’s (swt) kwa kusema:

﴾ﻭَﻛَﺬَٰﻟِﻚَ ﺟَﻌَﻠْﻨَﺎﻛُﻢْ ﺃُﻣَّﺔً ﻭَﺳَﻄﺎً ﻟِّﺘَﻜُﻮﻧُﻮﺍ ﺷُﻬَﺪَﺍﺀَ ﻋَﻠَﻰ ﺍﻟﻨَّﺎﺱِ ﻭَﻳَﻜُﻮﻥَ ﺍﻟﺮَّﺳُﻮﻝُ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢْ ﺷَﻬِﻴﺪﺍً﴿

“Na vivyo hivyo ndio tumekufanyeni umati bora ili muwe mashahidi juu ya watu , na mtume awe shahidi juu yenu”

[Al-Baqara: 143].

Kwakua ni faradhi kwa mlalamikaji kutoa ushahidi wake, tunataka  Al-Sharq Al-Awsat kukubali kwa kuthibitisha madai ya uongo wake kwamba  Hizb ut Tahrir hutumia njia au matendo ya kigaidi, kama haiwezi na haitaweza basi tutawaachia waumini wawajibishe wahariri wa gazeti hili waliosambaza uongo dhidi ya wabeba daawa. Gazeti limeeleza waislamu wa Tatarstan kama ni”warusi” waliokataa hadhi yao ya kuwa waislamu ! Ardhi hii ambayo watu wake waliukubali uislamu kwa ridhaa zao ni waumini safi wanaoipenda dini yao, kuilinda kwa namna yoyote. Tunamuomba Allah (swt) kutulipia kwa hili gazeti, kwa namna ambavyo gazeti hili limekua ni chanzo kusambaza ubaya na maovu dhidi ya uislamu na waislamu. Tunaamini katika ushindi wa Allah hata kama makafiri na wanafiki ni watoto wa ummah huu. Shukran zote ziende kwa Allah ambae amedhamini ushindi wa waumini , na kwake yeye ndo tunategemea na yeye na kwake yeye ndio kunamsaada bora kabisa.

﴾ﺇِﻧَّﺎ ﻟَﻨَﻨْﺼُﺮُ ﺭُﺳُﻠَﻨَﺎ ﻭَﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺁﻣَﻨُﻮﺍ ﻓِﻲ ﺍﻟْﺤَﻴَﺎﺓِ ﺍﻟﺪُّﻧْﻴَﺎ ﻭَﻳَﻮْﻡَ ﻳَﻘُﻮﻡُ ﺍﻷَﺷْﻬَﺎﺩُ﴿

“kwahakika ,tutamnusuru mtume wetu na wale walioamini katika maisha haya ya dunia na mpaka siku ambayo ushahidi utasimama”

[Ghafir: 51]

﴾ﻭَﻳَﻮْﻣَﺌِﺬٍ ﻳَﻔْﺮَﺡُ ﺍﻟْﻤُﺆْﻣِﻨُﻮﻥَ * ﺑِﻨَﺼْﺮِ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻳَﻨْﺼُﺮُ ﻣَﻦْ ﻳَﺸَﺎﺀُ﴿

“Na siku hiyo waumini watafurahi  * katika ushindi wa allah.yeye ndio huwapa ushindi wale awatakao na yeye ni muweza ,mwenye huruma”

[Ar-Rum:4-5]

Dr. Osman Bakhach

Mkurugenzi ofisi ya habari ya Hizb ut Tahrir

http://www.hizb-ut-tahrir.info/en/index.php/press-releases/central-media-office/16230.html

Maoni hayajaruhusiwa.