Suluhisho La Matatizo Ya Uyghur Yanahitaji Amri Moja Kutoka Kwa Utawala Wa Khalifah

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini  Indonesia (HTI), Ustadz Rokhmat S Labib alisema kwamba suluhisho la  Uyghurs ni” kua na amri moja ya kiutawala “tatuo msingi la matatizo yote ya Waislamu wa Uyghur ni kwamba tunatakiwa kuondoka pamoja. Ni lazima kuwa na tamko moja tu la utawala wa Khilafah,” Alizungumza hayo katika mjadala wa wazi  katika chombo cha habari cha Umat Tabloid: ” waislamu wa Uyghur wanalilia msaada, wapo wapi viongozi wa Kiislamu ?” Mnamo siku ya jumatano tarehe (12/26/2018) katika eneo la Gedung Joang 45 Menteng, Jakarta.

Kabla, mbele ya ubalozi wa China , Rokhmat S Labib alisema Waislamu ni sawa na mtu mmoja, ikiwa kuna muislamu mmoja ananyanyaswa basi wote watakua na hasira

“Waislamu ni wamoja na umoja huo umejengwa katika imani na wanapaswa kuwa na hasira pindi tukiona ndugu yetu anateswa na kufanyiwa madhila pale Uighur” aliyazungumza hayo mbele ya ubalozi wa China mnamo tena ijumaa (12/21). Jakarta.

Rokhmat anaseam kwa mujibu wa uislamu, ikiwa muislamu ataomba msaada kutoka kwetu ni lazima tumsaidie kwa sababu ni sehemu ya Waislamu.

“Watu lazima wafahamu kwamba waislamu ni ummah mmoja na waislamu watakua na nguvu kama tutakua na khilafah” alimaliza kwa kusema hayo.

Ofisi ya habari ya Hizb ut Tahrir nchini Indonesia

#Khilafah_Liberates_EastTurkestan

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1531028987032094&id=646683775466624

Maoni hayajaruhusiwa.