Kumbukumbu ya Sheikh Taqiyudin An Nabhan (Rahimahu llah)

Mwanachuoni aliyebobea, mujtahid, mwanasiasa makini wa Kiislamu na mufakir mkubwa na muasisi wa Chama kikubwa Cha Kiislamu ulimwenguni (Hizb Ut-Tahrir), alizaliwa 1914 na alifariki dunia tarehe 11-12-1977.

Allah SW Amrehemu kwa Rahma kunjufu na Amlipe kheri kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kuamsha Ummah.

Amiin

Maoni hayajaruhusiwa.