Khilafah 60
AFISI YA HABARI YA HIZB UT TAHRIR TANZANIA YAZINDUA TENA JARIDA LA KHILAFAH
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Tanzania inafuraha kubwa kuwatangazia Waislamu na wasomaji kwa jumla kwamba imeanza tena uchapishaji wa Jarida la Khilafah lililokuwa likitoka kabla mpaka liliposita mwaka 2017 M/1438 H.
Kwa sasa Jarida limeanza tena kupatikana kwa kuchapishwa kila mwezi na zaidi kupatikana katika mitandao yetu.
Shime Waislamu na wasomaji kwa jumla msikose jarida hili
Imetolewa na Afisi ya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania
Maoni hayajaruhusiwa.