Hijra Ndio Nukta Kianzio ya Utekelezaji Uislamu Kiukamilifu Wake

بسم الله الرحمن الرحيم

Tukio la Hijrah likifafanuliwa na Ust. Ramadhan Moshi – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Tanzania.

‘Hijra’  ndilo tukio lililochora mstari muhimu wa maisha ya Waislamu kuishi chini ya utawala wa kikafiri ndani ya Makka na kuanza maisha mapya ya kutawaliwa na dola yao tukufu ya mwanzo ya kiislamu ndani ya Madina.

Maoni hayajaruhusiwa.