Hakuna Kumkata Mwizi Mkono wakati wa Njaa!

14

Swali
Tunafahamu ya kuwa Umar Ibn Al-Khattaab (ra) hakumkata mwizi mkono katika mwaka wa Ramada (mwaka ambao ukame mkali ulitokea).
Je, kusitishwa kwa hukmu hii katika hali hiyo ni kutokana na kutoweka kwa ‘illah (sababu ya kiShari’ah) na hivyo Hukm ya ukataji ikatoweka nayo? Ikiwa ni hivyo, basi ni ipi ‘illah (sababu ya kiShari’ah) ya kukata? Na je, ‘Uqubaat (adhabu) zina ‘Ilal (sababu za kiShari’ah) ambazo zinazizunguka?

Jibu
1. Kuhusiana na Umar (ra) alivyofanya, alitekeleza Hukm ya kiShari’ah kama ilivyoelezwa katika Uislamu. Hii inamaanisha utekelezaji wa Hukm hiyo haukusitishwa. Bali aliitekeleza kama inavyopaswa. Zipo hali ambazo hairuhusiwi kukatwa mkono na inajumuisha wakati wa njaa. Imetajwa na As-Sarkhasi katika Al-Mabsoot: Alisema kuwa imesimuliwa kutoka kwa Mak’hool (ra) kuwa Mtume (saw) alisema: “Hakuna Kukata Mkono wakati wa njaa”

2. Hivyo basi, kutotekelezwa kwa Hadd (adhabu ya lazima na iliowekwa na Mwenyezi Mungu) katika mwaka wa Ramada (mwaka wa njaa) ni kutokana na Hukm ya kiShari’ah ambayo inakataza kutekelezwa kwa Hadd (adhabu iliyowekwa) kwa mwizi katika mwaka wa njaa. Na hii ndio Hukm ya kiShari’ah katika hali au tukio hilo.

3. Ama kuhusu ‘Ilal (sababu za kiShari’ah) katika Uqubaat (adhabu), naam inawezekana kupatikana ndani yake ‘Ilal na kuwezekana kufanyiwa Qiyaas. Lakini Uqubaat inajumuisha ndani yake maana ya ‘Uqubah na maana ya Haddiyah (kiwango cha Hadd kilichowekwa na aina zake) hili halina ‘Illah. Hivyo basi, Hadd haiongezwi au haipunguzwi ima iwe ni katika kiwango cha Hadd au Idadi ya Hudood kwani haya yamefungwa na ushahidi wa kiShari’ah. Ama kuhusiana na maana ya Uqubah (adhabu) kwa mujibu wa Hadd (adhabu iliyowekwa) basi kile kinachotekelezwa juu ya ‘Uqubaat kinatekelezwa kwa masharti ya ‘Illah na Qiyaas.

Mfano: Imesimuliwa kuwa Umar (ra) alikuwa ametatizika atoe Hukm gani kuhusiana na kulipiza kisasi kwa muuaji katika tukio ambalo watu saba walishirikiana katika kuua. Hivyo Ali (ra) akamwambia: “Ewe Amir wa waumini, hauoni kuwa lau kikundi cha watu kitashirikiana pamoja katika kuiba basi utawakata wote mikono yao? Umar akajibu: Naam. Hivyo, Ali (ra) akasema: Na hili ni kama hivyo

Katika mfano huu, Qiyaas ilifanywa kati ya kuuwawa watu saba walioshirikiana katika kumua mtu na kuwakata mikono wezi walioshirikiana katika kuiba. Hapa ‘Illah ilikuwa ni kushirikiana kwa pamoja katika kitendo.

14 Comments
  1. Zaina says

    Hey just wanted to give you a brief heads up and let
    you know a few of the images aren’t loading correctly. I’m not sure
    why but I think its a linking issue. I’ve tried it in two different browsers and both show the same results.

  2. gaji kerja says

    Hi! Someone in my Myspace group shared this website with us so I came to look
    it over. I’m definitely loving the information. I’m bookmarking and will be tweeting this to my followers!
    Wonderful blog and great design.

  3. Kurt says

    I don’t even understand how I finished up right
    here, but I assumed this submit was once great. I do
    not understand who you might be however
    certainly you’re going to a well-known blogger if you happen to aren’t already.

    Cheers!

  4. u-ov bus says

    De chimpansee is een grote, sterke mensaap met een gedrongen lichaamsbouw.
    Ongeveer hetzelfde probleem kan optreden wanneer bij GIS-analyses gewerkt wordt met een raster.
    El Fatah was een van de 21 scheidsrechters tijdens het WK in 2006 in Duitsland.

    My web blog u-ov bus

  5. Margareta says

    Please let me know if you’re looking for a writer for your weblog.
    You have some really great posts and I think I would be a good asset.
    If you ever want to take some of the load off, I’d absolutely love to write some material for your blog in exchange
    for a link back to mine. Please send me an email if interested.
    Kudos!

  6. Margery says

    First off I would like to say terrific blog! I had a quick question in which
    I’d like to ask if you don’t mind. I was curious to find out how you center
    yourself and clear your head prior to writing.

    I’ve had a hard time clearing my thoughts in getting my ideas out there.
    I do enjoy writing but it just seems like the first 10
    to 15 minutes are usually lost just trying to figure out how to begin. Any recommendations or tips?
    Many thanks!

  7. Antoine says

    Your style is unique compared to other people I have
    read stuff from. I appreciate you for posting when you have the
    opportunity, Guess I’ll just bookmark this
    page.

  8. GGG says

    3d Hentai Monster Porn – Cute Asian’s Most Unusual Sex Partners.
    The duration one takes to ejaculate does not matter as long as both sex
    partners are equally satisfied, it seizes to be early ejaculation. There are many solutions to early ejaculation. There are several known factors that lead to early ejaculation amongst men in different age groups.
    But it also seems motivated by a desire to raise public awareness about prostate problems and to remove
    any reluctance to talk about it and to encourage more men to get their
    own checks. These would be the scams that most men belong to because the items claim to yield fast and massive results.
    It’s for this reason that our Men’s Health Clinics capitalize on natural
    medicines that yield permanent results as opposed to synthetic would be chronic
    medicines. Specializing in natural and side-effects free natural
    medicine, our men’s health clinics are also many men’s preferred choice when it comes to
    yielding permanent solutions to male sexual health challenges, such as
    low libido , erectile dysfunction, premature ejaculation,
    and weak erections amongst others. At Men’s Health Clinics, permanent penis enlargement is a preferred choice as opposed to temporal solutions.

  9. Online Casino Blackjack says

    Produce a exceptional username and password and confirm the account by e mail.

    my website: Online Casino Blackjack

  10. Online Casino says

    The quickest payout solution is to money out in individual
    at a land-primarily based casino tjat is affiliated witth FanDuel Online Casino in your state.

  11. Janell says

    Why people still use to read news papers when in this technological globe everything
    is presented on net?

  12. Patty says

    Pretty! This has been an extremely wonderful article. Many thanks for providing
    these details.

  13. AnimePorn.su says

    Hi just wanted to give you a brief heads up and let you know a few of the pictures aren’t loading correctly.
    I’m not sure why but I think its a linking issue. I’ve
    tried it in two different internet browsers and both show the same outcome.

  14. pinup casino giris says

    This website truly has all the information and facts I
    needed concerning this subject and didn’t know who to ask.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.