Uimara wa Ummah Wa Kiislamu Syria na Ulimwengu Mzima.
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
Mmewaona maadui zenu, mbali na nguvu za kushikika walizonazo lakini wameshindwa kuwaingiza katika mipango yao kwa miaka hii yote. Umahiri na kujielewa kwenu kumeonekana kwa msaada na muongozo wa Allah kwa kuonyesha udhaifu wa adui yenu, na kwamba nyoyo zao ni tupu pamoja na vitu walivyonavyo. Ni dhaifu katika mapamabano na wanaogopa hatari. Pamoja na hayo muoga anaweza kumdhuru adui yake na kudhuru umbile la mpinzani wake, na kisha muoga huyo akaazima nguvu za simba. Sio kwa nguvu alizonazo nazo bali kwa udhaifu wa ukuta wa adui yake na kuangusha muundo wa mpinzani wake…na kwa hivyo Hizb ut Tahrir, mlinganiaji mkweli kwa watu anawaonya msiache jengo hili likadondoka bila kupata tiba inayotelewa na uislamu. Jambo hili nilazima lisimamiwe kwa usawa kwa mfano wa tawala aliyoitaja Allah na jeshi lenye kujongea kwa ajili yake, na hakuna chaguo zaidi ya hilo. Na kwahivyo jibu la Hizb ut Tahrir’ kuhusu onyo na tahadhari litafikiwa kwa ajili yako, kwa ruhusa ya Allah kwa mafanikio ya hapa duniani na akhera.
يَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ وَيُدْخِلْكُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ ۚ ذَٰلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ﴿١٢﴾ وَأُخْرَىٰ تُحِبُّونَهَا ۖ نَصْرٌ مِّنَ اللَّهِ وَفَتْحٌ قَرِيبٌ ۗ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ
“Atakusameheni madhambi yenu na atakuingizeni katika mabustani yapitayo mito mbele yake na Atakupeni maskani mazuri katika mabustani za milele: huku ndiko kufuzu kukubwa na atakuoeni kingine mnachokipenda nayo ni nusura itokayo kwa mungu na ushindi uliokaribu, na wapashe habari njema waumini.
(TMQ: As-Saf: 12-13]
إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَذِكْرَىٰ لِمَن كَانَ لَهُ قَلْبٌ أَوْ أَلْقَى السَّمْعَ وَهُوَ شَهِيدٌ
“kwa yakini katika jambo hili kuna ukumbusho kwa mwenye moyo au kwa ategae sikio ,nae mwenyewe awe anashuhudia..”
[Qaf: 37]
Sheikh Ata Bin Khalil Abu Rashta
(Ameer wa Hizb ut Tahrir)
Maoni hayajaruhusiwa.