Ina Lillah Waina illah Rajiun

Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon.
Ndugu yetu kipenzi Ibrahim An-Nabahani- mtoto wa Shekhe Taqiuddin An-Nabahani-amefariki dunia jana(24/12018).
Tunamuomba Allah (s.w) amrehemu, amkubalie matendo yake mema na amsamehe madhambi yake.
A’amali zake njema katika dunia hii amzidishie ujira wake baada ya kufa kwake, na akutane na babake pamoja katika pepo ya juu kabisa.

Amiyn

Maoni hayajaruhusiwa.