Nabii Tito Na Mahubiri ya Toti

3

Qadhia ya anayejiita ‘Nabii’ Tito anayedai kuhubiri biblia kupitia kampeni ya zinaa na ulevi inadhihirisha mambo mawili makubwa ambayo Waislamu na wasiokuwa Waislamu hulazimu kuyazingatia kwa makini:

1. Mgongano wa wazi katika nidhamu ya kidemokrasia, upande mmoja inahubiri fikra za ‘uhuru wa kuabudu’ na ‘uhuru wa maoni’. Fikra ambazo huzalisha utitiri wa dini, madhehebu na wabebaji wa fikra za kimaajabu zinazosheheni maovu na ufuska. Ajabu ! nidhamu hiyo hiyo iliyozalisha hayo hurudi kujidai kupiga marufuku matunda waliyozalisha.

2. Maumbile ya dini yenyewe ya kikiristo ina mgongano sugu na mkanganyiko mkubwa katika mafundisho yake, kiasi kwamba kila siku huleta migongano mipya ndani yake isiyokwisha.

Allah SW anasema:

وَمِنْ الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَى أَخَذْنَا مِيثَاقَهُمْ فَنَسُوا حَظًّا مِمَّا ذُكِّرُوا بِهِ فَأَغْرَيْنَا بَيْنَهُمْ الْعَدَاوَةَ وَالْبَغْضَاءَ إِلَى يَوْمِ الْقِيَامَةِ وَسَوْفَ يُنَبِّئُهُمْ اللَّهُ بِمَا كَانُوا يَصْنَعُونَ (المائدة: 14).

“Na katika wale waliosema : Sisi ni Wakiristo, tulichukua ahadi kwao, lakini wakasahau (wakapuuza) sehemu ya waliyokumbushwa, kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo Mwenyezi Mungu atawajuza waliyokuwa wakiyatenda”

23/01/2018

Masoud Msellem
Mwakilishi Kwa Vyombo vya Habari
Hizb ut-Tahrir Tanzani

3 Comments
  1. gygienede says

    instructions for clomid In Des Moines, Iowa, appointments with a public health clinic for same day STD testing can be made with the Polk County Health Department

  2. gygienede says

    Austin dcWqIwPZavksHiOyiq 6 19 2022 best site to buy priligy canada Effect of rate or rhythm control on quality of life in persistent atrial fibrillation

  3. gygienede says

    cialis on sale in usa viagra ivermectin 12mg tablets At Saint Cloud in May, she crashed through a hedge and fell after veering violently in the home straight

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.