Ziara Ya Kamala Kwa Afrika Inalenga Unyonyaji Na Kuua Mfumo Wa Kijamii
بسم الله الرحمن الرحيم
Habari:
Mnamo tarehe 26 Machi 2023, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris aliwasili Accra Ghana kuanza ziara yake ya nchi tatu barani Afrika. Baadaye alitembelea Tanzania na Zambia. Akiwa ni kiongozi mkubwa wa 18 wa Marekani kuzuru Afrika mwaka huu, alitua Dar es Salaam, Tanzania tarehe 29/03/2023 kwa ziara ya siku tatu.
Maoni:
Maoni hayajaruhusiwa.