Waachiwe Huru, Sio Magaidi

Kesi ya ndugu zetu Ustadh Ramadhan Moshi, Waziri Suleiman na Omar Salum imetajwa leo tarehe 11 Desemba 2018, inatajwa tena tarehe 18 Desemba 2018.
Tuendelee kuwaombea dua ndugu zetu hao ambao bado wapo katika mikono ya dhulma na uonevu.
Tunamuomba Allah Taala Awakomboe wao na Waislamu wote kutoka katika uonevu na dhulma.
Amiin
#WaachiweHuruSioMagaidi

Maoni hayajaruhusiwa.