Ramadhan Iliyo Barikiwa 1441 H
بسم الله الرحمن الرحيم
Salam za Ramadhani
Sheikh Mussa Kileo – Mwenyekiti Kamati ya Mawasiliano Hizb ut Tahrir Tanzania alipokuwa akitoa Salam za Ramadhani zilizotolewa kupitia Mlimani Tv katika kipindi cha “DUNIA DUARA” cha Tarehe 24 Aprili 2020 M – 1 Ramadhani 1441 H.
Darasa za Ramadhani 1441 H
1. Mzungumzaji: Sheikh Mussa Kileo
Mada: Wanaoruhusiwa kufungua
11 Ramadhan 144 H – 04 Mei 2020 M
“Bonyeza Picha Utazame Darsa”
2. Mzungumzaji: Sheikh khatib Imran
Mada: Kifo cha Bi Khadijah (Mke wa Mtume (SAW)
10 Ramadhan 1441 H – 03 Mei 2020 M
“Bonyeza Picha Utazame Darsa”
3. Mzungumzaji: Sheikh Mussa kileo
Mada: Mambo yanayoharibu funga
10 Ramadhan 1441 H – 03 Mei 2020 M
“Bonyeza Picha Utazame Darsa”
4. Mada: Mafunzo katika vita vya Badri
Mzungumzaji: Sheikh khatib Imran
09 Ramadhan 1441 H – 02 Mei 2020 M
“Bonyeza Picha Utazame Darsa”
5. Mzungumzaji: Sheikh Mussa Kileo
Mada:Yanayotakiwa kwa mwenye kufunga
4 Ramadhan 1441 H – 27 Aprili 2020 M
“Bonyeza Picha Utazame Darsa”
6. Mzungumzaji: Sheikh Musa Kileo.
Mada: Fadhila za Ramadhani
3 Ramadhan 1441 H – 26 Aprili 2020 M
“Bonyeza Picha Utazame Darsa”
7. Mzungumzaji: Sheikh Mussa Kileo
Mada: Fidia na Kafara kwa baadh ya makosa ya wafungaji
17 Ramadhan 1441 H – 10 Mei 2020 M
“Bonyeza Picha Utazame Darsa”
#UislamuNdioUfumbuziSahihi
Maoni hayajaruhusiwa.