Pande Zinazoshiriki Vita Mjini Idlib

Makafiri na nchi vipenzi vyao pamoja na waislamu.

Baada ya siku 22, Urusi walirudia tena kufanya shambulizi la anga mjini Idlib mnamo septemba 4/2018. Mashambulizi haya yalilenga vijiji na miji ndani ya Idlib, yakiuwa mamia ya raia na kujeruhi mara mbili ya waliouwawa bila kujali wazee vijana au watoto (wote waliuwawa na kujeruhiwa).

Wasemaji wa nchi mbalimbali walitoa matamko tofuti tofauti kabla na baada ya tukio.

Mnamo tarahe 29/8/2018 waziri wa mambo ya nje wa Urusi bw. Sergey Lavrov alivipachika jina la ugaidi vikundi vinavyopambana na serikali ya Syria na kuzitaka nchi za kimagharibi kutozuia zoezi la kupambana na vikundi hivyo (vya kigaidi).

Wazir wa mambo ya nje ya Syria, Bw. Walid Al-Muallim alisema Septemba 2 “shambulizi lililopangwa kutekelezwa Idlib linalenga kuviondoa vikundi vya wanajihadi”

Tarehe 3/9/2018 waziri wa mambo ya nje wa Irani bw. Javad Zarif alisema “ni jambo la muhimu na lazima kuondoa mabaki yaliyobakia ya magaidi ndani ya Idlib na baada ya hapo eneo lirudishwe mikononi mwa watu wa Syria”

Tarehe 31/8/2018 waziri wa mambo ya nje wa Uturuk bw. Mevlut Cavusoglu Oglo alisema “ni lazima tushirikiane ili kuoviondoa baadhi ya vikundi vyenye misimamo mikali ndani ya Idlib”

Tarehe 29/8/2018 kundi la Hay’at Tahrir Al-Sham lilijumuishwa katika orodha ya makundi ya kigaidi kwa mtazamo/amri ya rais wa serikali ya Jamhuri ya Uturuki.

Na mwisho rais wa Marekan bw. Donald Trump alitangaza; “kwa ushiriki wa Urusi  na Irani katika mgogoro huu wa kibinadamu, wamefanya kosa kubwa sana la kibinadmu”,ni kama vile hayupo upande wa Urusi, Irani na utawala wa Syria. Kw tamko hilo Amerca ni kama vile imeiruhusu Urusi  kuliko kuizuia kutokufanya shambulizi hii ni kwa sababu Urusi isingefanya shambulizi kama Marekani isingetoa tamko ililolitoa kupitia Donald Trump.

Serikali ya Uturuki ambayo hapo mwanzo ilidai kuwa upande wa wapinzani na wanaogandamizwa, kwa huzuni na masikitiko ikajiweka upande wa makafiri kwenye vita hii baina haki na batili inayoongozwa na Urusi na Irani kwa tiketi ya mapambano ya kuubakisha utawala wa Syria madarakani. Pamoja na America nao wanashiriki katika vita hivyo kwa kupitia wataalamu wao wa kiusalama

Mawazir wa mambo ya nje, ulinzi na wakuu wa taasisi za kiusalama wanawasiwasi mkubwa na walikuwa katika miezi iliyopita wakifanya jitihada za kuzunguka kutoka nchi moja kwenda nyengine ambapo walikuwa wakiimarisha ushirika baina ya Urusi, Irani na Amerca.

Ukiachana  na hilo, marafiki zao kutoka America, Urusi na Irani wamekuwa wakifanya matembezi ya mara kwa mara nchini Uturuki. Malengo ya matembezi hayo bila shaka ni kuhusu Idlib na kuiunda Idlib mpya.

Uturuki ambayo imepakana na Syria watu wake ni waislamu, inakataa utawala wa kimaeneo, chakusikitisha hawana mipango/malengo yoyote chanya ndani ya Syria. Kibaya zaidi iko pamoja na makafiri katika vita ya kupambana dhidi ya waislam wenzake.

Eny waislam ! Vita inayoendelea Idlib sio vita ya Urusi,Irani na serikal ya mabavu ya Asad dhidi ya Amerca na wamagharib, ni vita katili ikiongozwa na Marekani na washirika wake dhidi ya uislam na waislam walio Idlib, ni vita baina ya uislam na makafir, ni vita baina ya haqqi na baatil.

Uturuki kwenye hii vita ni mtekelezaji wa maagizo kutoka kwa Amerca tu, akishirikiana na Urusi pamoja na Irani, na kiuhalisia ni kuwa ipo pamoja utawala wa Syria dhidi ya wapinzani ambapo ukweli huu hufichwa  muda wote.

Usaliti kama huu unajirudia ndani ya Alepo, kuisalimisha Idlib kwa utawala na kuwasalimisha raia wasio na hatia mikonon mwa utawala mwovu wa Syria. Lini raisi Erdogan atafikiri kuwa itafika siku atasimamishwa mbele ya mahkama ya Allah s.w , ili aanze kutubia makosa yake sasa??

Lini atakataka kushiriki mipango ya makafir dhidi ya uislam??

Ofisi ya Habari Hizb ut Tahrir Wilayah ya Turkey

26th Dhul Hijjah 1439 AH – 06/09/2018 CE

https://web.facebook.com/AlKhilafahGlobal/posts/1425867180881609?__tn__=K-R

 

Maoni hayajaruhusiwa.