Nasaha Nzito Kwa Wasimamizi wa Hijjah.

“Leo wapiii!!!! Mahujaji hawana tena kiongozi (wa kweli) anayekwenda pamoja na watu wakiwa nyuma yake. Kiongozi ambae mahujaji hulala anapolala, kwenda nae Arafa pindi anapokwenda, kurusha nae mawe (jamarāt), kutufu na kusai pamoja naye. Isipokua mtawala wa zama hizi (anayejifanya kusimamia Hijja) ni mwenye kuwasukuma mahujaji ili wampe nafasi ahiji yeye na ujumbe wake. Huku maaskari wake wamesheheni silaha kali na viboko. Basi kwa hakika kiongozi wa Hijja leo ni muuwaji. Na (anayejifanya) kuwa msimamizi wa Hijja leo ndio mwenye kuiharibu “

Zimeandikwa na Sheikh Said Ridhwan (Abu Imaad)
(Allah Taala Amkomboe yeye na wenzake kutoka katika mikono ya madhalimu)

Maoni hayajaruhusiwa.