Madai Dhidi ya Hizb ut Tahrir
يقولون لنا: (إن لكم 60 سنة ولم تقيموا دولتكم بعد!!!!)
فإلى متى يا شباب حزب التحرير؟!
Wanasema Kutuambia sisi : (Nyinyi Mna Miaka 60 Na Bado Hamujasimamisha Dola yenu!!!!) Mpaka Lini Enyi Mashabab wa Hizb Ut-Tahrir?!
وأنا أقول لهم:
Na mimi nawaambia:
منكم من له بحساب السنين كما تحبون، 89 سنة يقول بالإصلاح الخلقي وإذا بالأخلاق تزداد سوءا، وإذا به يتحول من شعار “الإسلام هو الحل” إلى “الديمقراطية والدولة المدنية هي الحل” وخاض عشرات التجارب ولم يفعل شيئا.
Miongoni Mwenu wako wenye Miaka mingi, Hisabuni Mnavyotaka, Miaka 89 wanasema turekebishe tabia (Akhlaq) Mara Ghafla Tabia zinazidizi kua Mbaya, Mara wanageka na kutoka na Misemo (Shiarat) “Uislamu Ndio Suluhisho” mpaka kwa “Demokrasia Na dola madania Ndio Suluhisho” na wakajaribu Makumi Ya Miaka Na hawajafanya lolote.
ومنكم من له بحساب السنين كما تحبون، 60 سنة يقول: بالكفاح المسلح وإذا به يتحول إلى حارس لعدوه يقتل شعبه إذا فكر بالثورة عليه.
Na miongoni Mwenu Kuna wenye miaka, Hisabuni Munavyotaka, Miaka 60 wanasema: Mapambano Ni Kwa Silaha Mara ghafla wanageuka na kua mlinzi wa adui wake wanauwa Wananchi wake Wanapofikira Kumfanyia Mapinduzi.
ومنكم من سلك طريق تعليم الناس أحكام الإسلام دهوراً، والناس على ما هي عليه لم تتغير، حتى ملّ الناس منه وقالوا له يكفينا يا شيخ دروس الذِكر والاستغفار والحيض والنفاس ومبطلات الصوم والصلاة.
Na miongoni Mwenu Kuna walioshika njia ya kufundisha watu Hukmu za uislamu miaka, Na watu wako vile vile hawajabadilika, Mpaka watu wamechoka na kumwambia yatosha shekh kutupa darsa za dhikri istighfar hedhi nifasi na yenye kubatilisha swaum na swala.
وأغلبكم من أمضى 60 سنة بحساب السنين كما تحبون، يعمل ويكد من اجل تأمين رزق عياله، ولم يهتم بشأن المسلمين، ولم يعمل للإسلام شيئا وهو لا يدري ما يريد وإلى أين يريد، وتراه مرة يصفق للزعيم، ومرة لهذه الجهة، ومرة لتلك الجهة، لا لون ولا طعم له ولا رائحة له، ومرة يعتزل الناس وشرورهم ولكن مشاكل الدنيا وملاحقتها ونكدها لا يعتزلها ولا تفارقه.
Na wengi wenu kuna waliopitisha miaka 60 Hisabuni mnavyotaka, Anafanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kutafuta riziki ya Familia yake, na wala hakujishughulisha na mambo ya waislamu, na wala hakuufanyia kazi uislamu kwa lolote, yeye hajui anataka nini na wapi anapataka, utamuona mara anampigia makofi kiongozi huyu, mara kwa upande huu, mara upande ule, hana rangi wala ladha wala harufu, mara hujitenga na watu na shari zao lakini matatizo ya maisha na kuitafuta dunia na tabu zake hajitengi nayo wala hawi mbali nayo.
أما نحن ففي الـ 60 سنة التي تلوموننا عليها استطعنا فيها ولله وحده المنة والفضل:
Ama Sisi Kwa miaka 60 Ambayo mnatulaumu nayo tumeweza ndani yake walillahil hamdu wal minnatu wal fadhli:
أن نحيي فكرة الخلافة بعد أن كانت جهلا وخرافة، حيث أصبح الملايين من المسلمين يريدون الخلافة.
Kuhuisha fikra ya khilafah baada ya kua haijulikani na ni uzushi, mpaka ikafikia mamilioni ya waislamu wanataka khilafah.
أصبحتم ترددون خلفنا أن لا حل إلا بالخلافة وإن كنتم لا تعملون معنا.
Mkawa Nanyi Mwasema kwa kutufuata sisi kua hakuna suluhisho ila khilafah japo hamjui maana yake.
أصبحت كل دول العالم تحذر من إقامة الخلافة وتتوعد المسلمين إن أقاموا الخلافة.
Dola zote za ulimwengu zinatahadharisha kusimama kwa khilafah na kuwatisha waislamu kama watasimamisha khilafah.
الحرب المدمرة في سوريا لم تستعر إلا عندما عبر الناس عن حقيقة مطلبهم، الخلافة.
Vita vikubwa syria havikuzuka ila pale ambapo watu walipotangaza wazi uhakika wa matakwa yao, Khilafah.
أفكاركم سقطت وفكرتنا فكرة الخلافة تنمو وتتجذر وتتوسع.
Fikra zenu zimeanguka na fikra yetu ya khilafah inakua na kuota mizizi na kujitanua.
أنتم غيرتم وبدلتم ونحن على المبدأ ثابتون لا نحيد.
Nyie mumegeuza na kubadilisha Na sisi tumethubutu juu ya mfumo wetu hatubadiliki wala hatuachani nao.
الغرب الكافر يتخوف من غليان العالم الإسلامي وإقامة الخلافة، وهذه طبعا ليست تخيلات بل إن شئتم تابعوا تقارير الغرب عن العالم الإسلامي لتدركوا صحة ما نقول.
Kafiri mmagharibi Anakhofia kuchemka kwa ulimwengu wa kiislamu na kusimama kwa khilafah, na hii kwa hakika sio Ndoto na mawazo (takhayulat)Bali mkitaka fuatilieni habari za wamagharibi kuhusu ulimwengu wa kiislamu ili mupate kuufikia ukweli wa kile tunachokisema.
لم نعد نرى شخصا يناقشنا في صحة فكرتنا، لأنه لا يوجد فكرة تناطحنا بين المسلمين فكلها هدمت، وبقيت بعض الرواسب في عقول بعضهم من مثل “لكم 60 سنة لم تقيموا الخلافة فلماذا؟” لذلك ففكرتنا تطغى على جميع الأفكار ولله الحمد.
Imefikia hali hatuoni mtu anayetujadili usahihi wa fikra yetu, kwakua hakuna fikra inayoweza kupambana na sisi baina ya waislamu, kwani Fikra zote zimevunjwa, Ikabakia tu wale wale walipwao mishahara katika baadhi ya watu, kwa mfano anayesema : kwanini Hamjasimamisha khilafah na muna miaka 60? Kwahivyo fikra yetu imeshinda fikra zote walillahil hamdu.
أما موضوع نصرنا وهو إقامة الخلافة فهو بيد الله تعالى وليس بأيدينا، والله وعد العامل للحق بالأجر، ووعدنا بإنزال النصر علينا كمسلمين وليس كحزب معين، أما لماذا يتأخر النصر فهذا في علم الله ولكن:
Ama Maudhui Ya Ushindi wetu (Nusra) Nayo ni kusimamisha khilafah hayo yapo mikononi mwa Allah taala Na sio mikononi mwetu, Na allah amemuahidi mwenye kuifanyia kazi haki kua atamlipa ujira, na akaahidi kuteremsha ushindi (Nusra) kwetu kama waislamu na sio kama chama (Harakati) maalum, Ama kwanini Nusra imechelewa Hili Liko Katika elimu ya allah lakini:
قد يكون لنزيد من عملنا ونجتهد حتى نهدم ما تبقى من غبش في بعض عقولكم.
Huenda ikawa ni ili tuzidishe kazi yetu na Tujitahidi mpaka tuweze kuvunja Ukungu (Uweusi) Uliobakia katika akili zenu.
أو ربما لنزيد من عملنا ونجتهد لنهدم صنما ما زلتم تقدسونه.
Ama Huenda ni Tuzidishe kazi yetu na Tujitahidi ili tuvunje sanamu ambalo bado mnalitakasa.
أو ربما لنزيد من عملنا ونجتهد لتدركوا بشكل واضح أنكم مخطئون بعدم العمل معنا.
Ama huenda ni tuzidishe kazi yetu na tujitahidi ili muweze kuona kwa uwazi kwamba nyie mnakosea kwa kutofanya kazi pamoja na sisi.
أو ربما لنزيد من عملنا ونجتهد لنخرج الخير الذي لا ترونه من نفوسكم فتعملوا معنا.
Ama Huenda ni Tuzidishe kazi yetu na Tujitahidi ili tuitoe kheri ilioko katika nafsi zenu ambayo hamuioni ili mufanye kazi pamoja na sisi.
أو ربما لنزيد عملنا ونجتهد حتى تدركوا الأعداء وخبثهم أكثر.
Ama huenda ni Tuzidishe kazi yetu na tujitahidi Mpaka muweze kuujua zaidi ukhabithi wa maadui.
أو ربما ليمحص الله قلوبنا جميعا نحن وإياكم.
Ama huenda ni Kwa ajili Allah asafishe nyoyo zetu sote sisi na nyinyi.
أو ربما لأمر لا نعلمه نحن وإياكم.
Ama huenda ni kwa Jambo ambalo hatulijui sisi na nyinyi.
فعدم نزول النصر للآن هذا أمر غيبي ونحن علينا الاستمرار والجد في العمل.
Kutoteremka kwa ushindi (Nusra) mpaka sasa Ni Jambo La Ghaibu Na Sisi Ni Juu yetu kuendelea na kufanya bidii katika kazi.
أما موضوع صحة عملنا فالطريق الوحيد لمعرفة صحته من صوابه هو موافقته للقران والسنة وليس طول الطريق، وإلا لكان سيدنا نوح عليه السلام مخطئا لمكثه أكثر من 950 سنة وهو يدعو قومه، ولكنه على الحق لأن منهجه موافق لما أمره الله به…
Ama maudhui ya kusihi kazi yetu Basi Njia ni Moja ya kujua usahihi wake na usawa wake nayo ni kuafikiana na Qura-an na sunnah na sio kwa urefu wa njia, na lau sio hivyo basi sayyiduna Nuh alayhi salam atakua ana makosa kwa kukaa kwake zaidi ya miaka 950 na ilihali anawalingania watu wake, lakini yeye yuko katika haki kwani manhaj yake inaafikiana na kile alichokiamrisha Allah…
ونحن مستمرون في طريقنا ومن أحب نقاشنا في طريقتنا من القرآن والسنة اللذان هما سبيل هدايتنا إن اتبعتها وما أرشدا إليه… فنحن جاهزون وقلوبنا وعقولنا مفتوحة لكل باحثٍ عن الحق ليتبعه.
Na sisi Tunaendelea katika Njia Yetu Na anayependa kutujadili kuhusu njia yetu kutoka kwa kitabu na sunnah ambazo ndio Njia ya uongofu wetu lau Tutazifuata na kilichoamrishiwa na hivyo viwili… Basi Tuko tayari na nyoyo zetu na akili zetu ziko wazi kwa kila Anayetafuta haki ili aifuate.
{… ذَٰلِكُمْ يُوعَظُ بِهِ مَن كَانَ يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ ۚ وَمَن يَتَّقِ اللَّهَ يَجْعَل لَّهُ مَخْرَجًا▪وَيَرْزُقْهُ مِنْ حَيْثُ لَا يَحْتَسِبُ ۚ وَمَن يَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ فَهُوَ حَسْبُهُ ۚ إِنَّ اللَّهَ بَالِغُ أَمْرِهِ ۚ قَدْ جَعَلَ اللَّهُ لِكُلِّ شَيْءٍ قَدرا}
...Hivyo ndivyo anavyo agizwa anaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu humtengezea njia ya kutokea▪Na humruzuku kwa njia asio itarajia. Na anaye mtegemea Mwenyezi Mungu Yeye humtosheleza. Hakika Mwenyezi Mungu anatimiza amri yake. Mwenyezi Mungu kajaalia kila kitu na kipimo chake.
Imeandikwa na Abu nizar
Mwanachama Wa Hizb Ut-Tahrir Lebanon
Na kufasiriwa na Al Mahd Kenya
Maoni hayajaruhusiwa.