Kupaza Sauti Ya Kampeni Kupitia Mtandao Wa Twitter

Kwenu Waislamu nyote

Asalaam Alaykum,

Tunapenda kuwaarifu kuwa Inshallah, siku ya Jumamosi 16/02/2019 kutakuwa na kampeni maalumu ya kupaza sauti kupitia mtandao wa Twitter (Twitter Storm) kwa ajili ya kuunga mkono kampeni ya kilimwengu inayoendeshwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, yenye kauli mbiu “Vita vya dola ya China kwa Uislamu ndani ya Turkestan Mashariki vitakomeshwa na Khilafah Rashidah pekee”

Tunaomba tafadhilini kila mmoja ashiriki kikamilifu katika kampeni hiyo adhimu.

Tafadhali share taarifa hii ili iwafikie wengi zaidi

#Khilafah_Liberates_EastTurkestan

Maoni hayajaruhusiwa.