Kila la kheri kwa Mwaka Mpya wa Kiislam 1440

Tunachukuwa fursa hii kwa niaba ya wasimamizi wa Ukurasa wa Hizb ut Tahrir Tanzania kuwatakia Waislamu wote ulimwenguni kila la kheri, baraka na fanaka ndani ya mwaka mpya wa Kiislamu wa 1440 Hijria ambao tayari umeshaanza.

Tunamuomba Allah Sw. Aujalie uwe mwaka wa nusra, ukombozi na ushindi kwa Ummah wetu na wanadamu wote Mashariki na Magharibi. – Amiin

Jazakumullah

Ndugu zenu,

Wasimamizi wa Ukurasa wa facebook Twitter na tovuti za Hizb ut Tahrir Tanzania

Tafadhali fuatilia ukurasa wetu wa facebook, twitter na tovuti za Hizb ut Tahrir Tanzania :
https://web.facebook.com/HtTanzaniaa, https//https://hizb.or.tz/ na https://twitter.com/Hizb_tanzania  ili tushirikiane bega kwa bega pamoja ndani ya mwaka huu mpya katika kuutangaza Uislamu wetu.

#UislamNiHadharaMbadala

Maoni hayajaruhusiwa.