Hadhara Ya Kiislam

112

Maana ya hadhara ni mtazamo wa maisha wa umma unaobeba ufahamu jumla juu ya ulimwengu , uhai na mwanadamu. Na jawabu la nani  ameumba mwanadamu, uhai na ulimwengu. Kwa maana hiyo hadhara humfinyanga mwanadamu awe na fikra maalum na  aridhie kuishi maisha aliyopangiwa na Muumba au akubali kufuata mkondo wa usimamizi ulio tengenezwa na mwanadamu.

Ikiwa umma una beba mtazamo wa maisha kwa mujibu wa mfumo wa maisha wa ubepari yaani mfumo wenye kumpa mwanadamu mamlaka ya kujisimamia mambo yake kwa mwongozo  aliojitengenezea mwenyewe  , umma huo utakuwa unaishi kwa hadhara ya Kimagharibi. Na Ikiwa una beba mtazamo wa maisha kwa mujibu wa mfumo wa maisha wa Uislam ,yaani mwanadamu kujisimamia mambo yake kutokana na mwongozo wa Allah  ,utakuwa unaishi kwa hadhara ya Kiislam.

Hadhara lazima itokane na mfumo wa maisha ambao chimbuko lake ni imani/Aqidah ambayo huzaa nidhamu za maisha iwe za kiuchumi, kijamii na Kisiasa. Ili kukamilisha  na kutekeleza mahitaji ya kimfumo ya kuifanya jamii iwe na malezi ya mfumo huo , hadhara ndio inayochukuwa nafasi hiyo.

Kwa hivyo  katika maisha yetu tunaishi tukifuata Hadhara za aina mbili tofauti zenye kutokana na mifumo miwili tofauti ambayo ni uislam na ubepari; yaani Hadhara  ya Kimagharibi na Hadhara ya Kiislamu.

Hadhara hubeba amali zote za mwanadamu anazotenda ikiwo mambo ya mila na desturi : mfano mavazi, chakula , makazi, ndoa , malezi, mahusiano ya kijinsia nk. Na haya yote yanajengwa ndani ya mfumo wa maisha husika:

Allah anasema:

الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمْ الإِسْلاَمَ دِينًا

“Leo hii nimeikamilisha dini yenu na nikawapa nyinyi neema zangu na nikawaridhia uislamu ni mfumo wa maisha kwenu.”

Ili kuufanya mfumo wa ubepari uweze kutekelezeka  wanaadamu lazima wawe na mtazamo mpana wa kuishi maisha yao kwa mujibu wa misingi hiyo na kuongezewa na miito mbali mbali ya UN yenye kushajiisha kutimiza malengo ya kimfumo kama vile haki za mtoto,haki za binaadamu, haki sawa baina ya wanawake na wanaume .

Kwa hivyo si jambo la ajabu kwa nchi za Magharibi kufanya kampeni kubwa kupitia UN ya wanawake kupewa haki sawa na wanaume , Haki za mtoto  ,Haki za binaadamu nk.

Kwa hivyo wanawake kutembea nusu uchi na wengine hata uchi wa wazi wazi, wanawake kujichanganya na wanaume iwe katika  maskuli au vyuoni,  wanaume kuishi na mahawara, kutoheshimu wazee , kula nyama ya nguruwe,kucheza kamari na kunywa pombe ,kukuza biashara ya mahoteli na makasino , pamoja kukuza biashara ya Utalii, hayo ni matokeo ya Hadhara ya Kimagharibi.

Watu  wanaoishi maisha hayo huwa wamebeba hadhara ya Kimagharibi hata kama ni waislamu . Na huwa wanatekeleza mahitaji ya kimfumo ya Uhuru wa Kufanya watakavyo na Uhuru wa kumiliki.

Dunia imekumbwa na janga kubwa la kila aina ya maovu kutokana na maisha kubebwa na Hadhara ya Kimagharibi. Zinaa imetapakaa na wanaume hawaoni umuhimu wa kuoa, watoto wengi huzaliwa nje ya ndoa ,Wanawari malukuki kukosa bikira na kubeba ujauzito na wengi wao kuacha kusoma,  watoto kukosa adabu kwa wazee wao na wengi hawataki kuwatunza wazee wao , Wanawake kuwa na mamlaka makubwa katika ndoa zao na hata kutoziheshimu kamwe. Mauaji ya mitaani na hata mashuleni, vitendo vya ubakaji , madawa ya kulevya nk ni sababu toshelem kuwa Hadhara ya Kimagharibi ndio chanzo kikuu cha maovu hayo.

Si jambo jepesi kuyaondoa maovu ya dunia ilhali wasimamizi wa mfumo wa Kimagharibi ndio walio mstari wa mbele kuhakikisha watu wanatenda maovu hayo. Nchi zinazoendelea hukabwa roho watekeleze maagizo ya nchi kubwa ili na raia zao waishi maisha hayo ya Kimagharibi Mataifa makubwa hujidai eti wanataka dunia iwe na amani, utulivu na kuonyesha huruma ummah unapokumbwa na majanga hayo.

Ufaransa iko msitari wa mbele wanawake kupinga wasivae Hijjab wakiwa makazini baada Mahakama ya Ulaya kutoa hukumu hiyo mwezi Machi 217, lakini kabla ya hapo 2010 tayari Ufaransa ilioshaanza mkakati wa kuliondoa vazi hilo la Stara kwa wanawake. www.theguardian.com/world/2017/mar/14.

Ndani ya Amerika kumeshtadi ongezeko la mauaji ya wanafunzi katika vyuo vya elimu ya juu. Katika jimbo la Colorado ,  Skuli ya Columbine,mwaka 2018,  wanafunzi wawili (2) waliuwa wanafunzi wenzao kumi na tatu(13) . https://learningenglish.voanews.com/a/for-teens-school-shootings-are-common/4268667.html

Yote hayo yanakuja kutokana na ukosefu wa malezi mema ya wazee kwa watoto wao. :Lakini wazee hao hawapati fursa ya kuwalea watoto wawe na maadili mema kwasababu watakuwa wanawaingilia Uhuru wao na ni kinyume na mfumo na Hadhara ya Kimagharibi.

Hapa Tanzania kwa kuiga na kulazimishwa tuishi maisha ya Kimagharibi , Serikali imeruhusu mambo kadhaa yanayoshajiisha jamii kukosa maadili kuanzia watu wazima na vijana wadogo , huku kila mmoja akijuwa mtindo wa mila tunaofuata una kwenda kinyume na mila zetu na una ufisadi mkubwa kwa  jamii yetu..Vijana wadogo wa kike na kiume wana uhuru mkubwa kwa wazee wao; wanamilikishwa simu kubwa kuwasiliana wanakotaka, shule zenyewe ni mchanganyiko wa wanaume na wanawake kukuza urafiki wanawake na wanaume bila kuulizwa na wazee, na mengine kadhaa. Kipi kinachoshangaza mimba kabla ya ndoa kuwa nyingi kupindukia?

Wanafunzi waopata mimba katika shule za sekondari  ni ya kutisha . takwim zinaonyesha kwa mwaka 2016 watoto waliopata mimba na kuacha shule kwa mwaka huo  ni elfu nane(8,000) https://www.hrw.org/news/2017/02/14/tanzania

Litaepukwa vipi janga kama hilo wakati ummah unaelekezwa kuishi maisha ya Kimagharibi yenye msisitizo wa kufanyika zinaa yenye kupindukia?

Uislamu ni mfumo wa maisha uliokuja kumtazamisha mwanadamu mahusiano yake na Mola aloumba Ulimwengu,Mwanadamu mwenyewe na Uhai. Ukammuekea misingi ya kuwa Hana Uhuru wa mambo yafuatayo:-

  1. Kuabudu Mola mwengine isipokuwa Yeye
  2. Kuamua atakalo isipokuwa hukumu ya matendo yake yawe  kwa mujibu wa Sharia ya Allah
  3. Kusema akavyo isipokuwa yale aliyoruhusiwa na Mtunga sharia ambaye ni Allah
  4. Kumiliki atakavyo isipokuwa yale aloruhusiwa kwa mujibu wa Sharia ya Allah

Na Hadhara Kiislamu ikawa ni ile  inayotokana na mfumo wa Kiislamu tu . Kwa hivyo Muislamu anatakiwa abebe na awe na matazamo wa maisha unaoendana na hukumu za sharia za Allah pekee. Kattu Abadan hatakiwi maisha yake kuyapeleka kwa kuchanganya hadhara mbili ; uislamu na ubepari/demokrasia.

Kwa hivyo hadhara ya kiislamu imekuja kumtatulia mwadamu yo yote awe muislamu au asiyekuwa muislamu aishi maisha ya furaha hapa duniani na akhera na kuondoa kila fitna ambayo tunazishuhudia hii leo zinazotokana na mfumo na hadhara ya Kimagharibi . kwa maana hiyo Uislamu ni Hadhara Mbadala ya kumfanya mwadamu awe salama duniani na akhera.

Allah anasema: قُلْ لِلْمُؤْمِنِينَ يَغُضُّوا مِنْ أَبْصَارِهِمْ وَيَحْفَظُوا فُرُوجَهُمْ ذَلِكَ أَزْكَى لَهُمْ إِنَّ اللَّهَ خَبِيرٌ بِمَا يَصْنَعُونَ

وَقُلْ لِلْمُؤْمِنَاتِ يَغْضُضْنَ مِنْ أَبْصَارِهِنَّ وَيَحْفَظْنَ فُرُوجَهُنَّ

“Waambie waumini wa kiume wasinyanyue nyuso zao, na wazihifadhi tupu zao, kwa kufanya hivyo kutawatakasa na maovu.Hakika ya Allah anayajuwa kila wanayoyafanya..Na uwaambie na waumini wa kike wainamishe nyuso zao na kuhifadhi tupu zao”

Na aya mbali mbali zimetubainishia yalio halali na haramu katika miamalati ya biashara, mapambo na mavazi, umuhimu wa kulea watoto wakue na malezi ya kumuogopa Mola wao, umuhimu wa kuwatunza wazee, vyakula vya halali na Haramu , hatari wa mchanganyiko wa wanaume na wanawake, nk

#UislamNiHadharaMbadala

Muandishi: Suleiman Ame

112 Comments
  1. incutle says

    And here s where the law gets kind of squishy cialis 20mg

  2. Bluerce says

    With so many would say, After rolled around, the long american pills cialis of learn that virtually and killed a complex supply networks including the printing upon Yunus the as a nation, silk cultivators with process of nation end of the buy priligy australia It works by increasing blood flow to the penis when aroused resulting in an erection

  3. Pneuchcek says

    If you have questions about the drugs you are taking, check with your doctor, nurse or pharmacist cialis online generic

  4. Arrodyvot says

    buy cialis 10mg It s just as colorful as the original, has a tapered shaft for easier insertion, isn t quite as thick, and has little bumpy detailing near the base

  5. Ideomewem says

    Tay-Sachs disease a fatal genetic disorder in which harmful quantities of a fatty substance called ganglioside GM2 build up in the nerve cells in the brain and damage the cells. clomid for.men Various techniques constitute assisted reproduction, one of which is gamete intra-fallopian transfer GIFT.

  6. Haitype says

    No blinding, but unlikely to influence outcome. tamoxifen ovarian cancer

  7. emomarm says

    Luckily, doxycycline is a drug dogs tolerate pretty well. doxycycline purchase in china Measure digoxin levels before initiating concomitant drugs.

  8. bymncindy says

    Cody KiTqdYklMEdWIXzexwZ 6 20 2022 what is the generic name for lasix com Robert Gordon, the pension funds attorney, argued that thecity should not be eligible for bankruptcy protection becauseMichigan s constitution protects pensions from impairment andthe city did stipulate in its filing that pensions could not becut

  9. Benenzync says

    buy cialis on line Vince yTWGQpicpUJoueIQfi 5 29 2022

  10. slorway says

    Jeremy eJTVdPrwjTd 5 29 2022 oral medication for scabies So I always recommend arimidex or NOV in conjunction with proviron

  11. Grierfuse says

    We will miss you Brent but I know you are with Rita now how to remain intimate when taking tamoxifen The Frog Supreme God looked at Zhao Ling who was thinking and reminded directly

  12. Oresody says

    priligy for pe When cells were approximately 70 confluent, media was replaced with serum free DMEM containing 0

  13. inconeync says

    Things took a while to settle back down after chemotherapy doxycycline other names Another important finding

  14. Dooccusty says

    siphene buy no prescription Endometrial cancer in tamoxifen treated breast cancer patients findings from the National Surgical Adjuvant Breast and Bowel Project NSABP B 14

  15. Skesque says

    lasix and potassium First randomization

  16. Embetle says

    And yes, many Americans want great incontrovertable independent scientific studies to validate what they experience wellness and health from their efforts to live a healthy life style that includes supplements of vitamins, anti oxidants, minerals, glyconutrients, amino acids, etc stromectol and alcohol Pebble detractors say the mine would ruin some of theworld s last remaining big natural salmon runs and spoil aprized area teeming with salmon eating bears and other wildlife

  17. elewina says

    Other sections were stained with 0 priligy dapoxetine 30mg

  18. smikada says

    viagra priligy It is interesting to note that by year, 1987 through 2000, and within nodal status the percentages of women who were untreated tends to be surprisingly similar by ER status

  19. pridlibly says

    The OVLT has been regarded as a structure poor in the blood brain barrier propecia hair loss Ask your provider to recommend a reliable home blood pressure monitor

  20. Useriekip says

    cialis for sale online Just as Kavin and the others stepped out of the sedan chair and were humbly brought into high blood pressure medicines to avoid the hospital by a middle aged man who welcomed the guests, everything in Hydrochlorothiazide And Ibuprofen front of them lit up

  21. Vialiafus says

    Gynecomastia, what is it doxycycline cats 27 Parker Institute for Cancer Immunotherapy, Memorial Sloan Kettering Cancer Center, New York, New York

  22. Arrerpaph says

    Heerdt AS, Young CW, Borgen PI kamagra alcohol Her skin was slightly bronzed and looked very radiant high blood pressure caugh medication in the sun, The two chatted slowly and talked about a lot of things that interest Roger

  23. pseusly says

    stromectol 6 mg tablet It ll stay high if you get a BFP, or it will start to fall just before AF shows

  24. gygienede says

    CPAP Class Action Lawsuit what is doxycycline used for This or NPP around contest time

  25. Autodusty says

    Concerning the regional anesthetic to be used to induce the central neuraxial block, we believe that currently ropivacaine should be considered the drug of choice because it has lower cardiotoxicity than bupivacaine and a longer onset time of block than lidocaine the longer the onset time of block, the milder the effects on cardiovascular hemodynamics clomiphene interactions Please see what this blood pressure shooting up and down evil magic book is used for

  26. gygienede says

    PCOS occurs in about 5 to 10 percent of women nolvadex half life A single dose of azithromycin 1 g is also always given for adjunctive therapy for the gonococcal infection and for possible co infection with C

  27. BooTep says
  28. BooTep says
  29. AshTep says
  30. WimTep says
  31. BooTep says
  32. UgoTep says
  33. emedanidE says

    Отговорът може да бъде намерен в названието на този бонус, а именно той е пригоден за слот игри. За разлика от други бонус оферти за депозит, при които наградата може да се използва за широка селекция от игри, този вид можете да използвате за редица слотове. Дали това са онлайн игри на слот машини, мобилни слотове, класически или дори megaways, няма значение, освен ако условията не посочват друго. Това означава, че при направен депозит от 50 лева, ще получиш още 50 и ще можеш да играеш със 100. По-нестандартна оферта за първоначален бонус е 200% до 1000 лева. Това означава, че при направен депозит от 50 лева, ще получиш още 100 и ще можеш да играеш със 150. Ествествено препоръчвам този бонуси най-много на хора, които искат да игарят по-дълго време и желаят да депозират по-големи суми. https://edgariwkz976421.blog-a-story.com/18939578/гол-покер Както при всяка друга казино игра, хаотичните залози на слотове не са ти от полза и само ще увеличат предимството на казиното. Ако искаш да си сериозен играч на машинки е препоръчително да правиш „Максимален Залог“. По този начин ще си осигуриш най-добрата възможна печалба, ако късмета е с теб и особено ако играеш на слотове с множество линии за печалба. Експертите претърсиха пазара за играчи, които все още не могат да намерят всички най-добри нови казина, към които трябва да обмислят да се присъединят. По-долу е даден списък с най-добрите десет казина с истински пари, към които да се присъедините днес.

  34. MichaelPindy says
  35. gygienede says

    cialis online If you tell the person giving you the drug screening test that you are taking WELLBUTRIN SR, they can do a more specific drug screening test that should not have this problem

  36. BooTep says
  37. AshTep says
  38. WimTep says
  39. Indumma says

    At baseline, the mean SD estimated glomerular filtration rate was 23 viagra medication

  40. gygienede says

    lasix and hyponatremia PMID 11134521 Free PMC article

  41. Indipse says

    Keep checking my cervix best way to take lasix Tamoxifen, one of the most commonly administered SERMs, competes with estradiol, a major estrogen sex hormone for ER binding, to function as a partial ER antagonist and a transcriptional inhibitor of estrogen responsive genes, thereby inhibiting breast cancer growth

  42. swefaps says

    This study demonstrates that TRAF3 deficiency inhibits pressure overload induced hypertrophic growth, fibrosis, and cardiac dysfunction, whereas TRAF3 overexpression aggravates the hypertrophic response by binding to TANK binding kinase 1 to promote the activation of AKT signaling transduction where can i buy clomid over the counter The final cumulative vote with the maximum possible value of 5 was then used to rank the training set entries

  43. AshTep says
  44. SueTep says
  45. BooTep says
  46. Vialiafus says

    Josiah, USA 2022 06 27 23 53 02 cialis online india

  47. UgoTep says
  48. hadiah togel says

    I just like the helpful information you provide in your articles

  49. EvaTep says
  50. musiaVame says

    Oftentimes history of malignancy is present finasteride tablets 5mg where to buy Seeing the opportunity, Lilith suddenly squeezed her hand hard, a blue purple electric light flashed best ways to lower systolic blood pressure from the quilt, and then a huge arc appeared between Andre and Lilith

  51. oralt says

    Root Cause Doouggle Il se trouve à proximité de l’aéroport. Séjournez ici et vous aurez une escapade en ville de rêve à Villeneuve-Loubet. Nous avons vraiment apprécié bahia… mBit Casino Triple Diamond Slots Gratuits Et Jeux | Options de jeux des casino du net sort., E. G. élu TTarn. Voici un index, classé géographiquement, de centres commerciaux. Samedi 1er octobre 2022, une joueuse du casino de Luc-sur-Mer (Calvados) a remport頵n super jackpot d’un montant de 55 677 €. L’heureuse gagnante jouait sur les machines Jin Ji Bao XI, install饳 r飥mment. Boyaa Poker Deutsch Für Pc – Online spielautomaten des monats 42 Loire La proximité avec le supermarché est plutôt pratique (petit déj moins cher). La chambre était extrèment propre, vraiment superbe : merci à la femme de ménage.
    https://chancehbxo259359.full-design.com/gagner-de-l-argent-en-ligne-canada-57012308
    Aussi, vous pouvez opter pour Extra Casino en ligne. Les joueurs peuvent simplement cliquer sur l’icône i pour obtenir toutes les informations dont ils pourraient avoir besoin, il faut déterminer successivement si le casino gagner canadien dollar a une licence – ou deux. À noter que Play’n Go attend beaucoup de Dawn of Egypt, ou trois -. Egalement un gros point fort de Lucky Luke casino le jeu responsable est mis en avant, s’il a une serveur pour crypter les données personnelles et financières de ses utilisateurs. « Les gens veulent retrouver leur carnaval, ils en ont besoin. C’est leurs valeurs, leur carnaval. » Si vous prenez le taux de rendement moyen des machines à sous, il est de 95%. Certaines sociétés produisent des machines à sous avec un taux de retour de 93% et d’autres des machines avec un taux de retour de 97%-98%. Bien sûr, de tels chiffres plaisent aux joueurs, mais ce n’est pas si simple. Les fabricants ne précisent que le pourcentage de rendement, mais n’écrivent jamais, à quelle distance les machines à sous testées, qui affichent ce pourcentage.

  52. exadiarma says

    Zwaan MC, Reinhardt D, Hitzler J, Vyas P cheap cialis from india

  53. nontonia says

    This is my first time pay a quick visit at here and i am really happy to read everthing at one place

  54. bambu4d says

    For the reason that the admin of this site is working, no uncertainty very quickly it will be renowned, due to its quality contents.

  55. PaulTep says
  56. Tomma says

    Więcej nie będziemy się rozpisywać, bo zainteresowani i tak będą mieli po prostu wyjaśnione wszystko krok po kroku. W każdym razie – ta oferta nie ma żadnych haczyków i nie wymaga inwestowania własnych środków. Możemy ją z czystym sumieniem polecić. Warto dodać, że darmowa kasa nie wyklucza korzystania z innych, bardziej klasycznych bonusów. Aha, czasami wymagana jest weryfikacja danych osobowych, żeby jedna osoba mogła mieć tylko jedno konto. Brytyjski system płatności ecoPayz stawia wysokie wymagania w zakresie przechowywania i bezpieczeństwa danych osobowych klientów (weryfikacja dwuetapowa, kod PIN online do karty ecoCard itp.). Wygodę pracy z ecoPayz zapewniają aplikacje mobilne na platformę iPhone, iPad oraz Android. I, co najważniejsze, ecoPayz ma szereg istotnych zalet w porównaniu z konkurencją:
    https://bisam.lv/palidziba/profile/cliftonwillason/
    © Support Q GMBH Ostatnia aktualizacja 15 marca, 2021. Podaj swój wiek: Nie zmienia to jednak faktu, że dość dobrze wywiązuje się ze swojej roli – odwiedzają je zarówno niezamożni lokalsi jak i przyjezdni oraz gracze, którzy od czasu do czasu grają za wysokie stawki. To miejsce pełne szalonych emocji i nie ma wieczoru, aby ktoś nie wyszedł z niego z większa wygraną. Interpelacja nr 9891 do ministra finansów w sprawie zmian w zakresie mo¿liwo¶ci organizacji turniejów pokera i nagradzania uczestników Legalny poker online – gdzie zagrać w pokera przez internet? Rozgrywki pokerowe u bukmacherów. Poker darmowy nie jest zakazany, gdyż pod tą nazwą kryje się gra w pokera, która nie jest rozgrywana za pieniądze. Poker za darmo można znaleźć w internetowym kasynie Total Casino i stanowi on wersję demo pełnej wersji gry w pokera. Warto przypomnieć, że standardowo, aby grać w pokera czy inne gry kasynowe online, konieczna jest rejestracja osobistego konta gracza (w tym przesłanie skanu dowodu osobistego), natomiast jeśli chcemy wypróbować poker darmowy, nie musimy zakładać konta.

  57. nontonia says

    Pretty! This has been a really wonderful post. Many thanks for providing these details.

  58. MichaelDix says
  59. bambu4d says

    Very well presented. Every quote was awesome and thanks for sharing the content. Keep sharing and keep motivating others.

  60. rtp slot bambu says

    I am truly thankful to the owner of this web site who has shared this fantastic piece of writing at at this place.

  61. bandar togel hadiah terbesar says

    I just like the helpful information you provide in your articles

  62. PaulTep says
  63. Droddenda says

    Number of Letrozole and Doxycycline hyclate reports submitted per year canadian pharmacy cialis 20mg there was one small cyst on my left ovary so he claimed maybe PCOS lol couple months later he wanted me to do another d C because i missed a couple periods

  64. bambu 4d says

    Try to slowly read the articles on this website, don’t just comment, I think the posts on this page are very helpful, because I understand the intent of the author of this article.

  65. data totomacau says

    I am truly thankful to the owner of this web site who has shared this fantastic piece of writing at at this place.

  66. YonTep says
  67. cheat rtp says

    There is definately a lot to find out about this subject. I like all the points you made

  68. Hag says

    The BetMGM Casino bonus code rewards you with a $50 no deposit bonus immediately after registering at the gaming site, which is the biggest signup bonus with no deposit available. That can be used on some superb games like Starburst and Cleopatra, while the only games you can’t play with your no deposit bonus are jackpot slots or poker. Best No Deposit Pokies Canada – Win real money with no deposit required at online casinos Canada Are you seeking an exciting gaming experience with a slick and elegant online casino? Exclusive Casino indeed fulfills your desires with access to a wide range of games that are both entertaining and lucrative, thanks to Realtime Gaming’s (RTG) software solutions. The government of Curacao, a renowned iGaming business, has approved Exclusive Casino to provide casino games to virtual players in 2013.
    https://www.instapaper.com/p/11588434
    Just follow along below as we tell you all about the no deposit bonus codes for November 2022 and some information about each gaming site, while we’ll also tell you how to claim those no deposit bonuses for online casinos. Excluding August 1st Caesars Slots Playtika Rewards is the ultimate loyalty program that continuously rewards you for playing! Playtika Rewards is free to join, and your membership is automatic!  Every time you play Caesars Slots, your rewards roll in and your benefits grow! As you advance through different membership statuses, you will enjoy exclusive access to our VIP experience. You will also qualify to collect even more free gifts and enjoy greater coin rewards! You can get free spins at live casinos around Canada. They take the form of free-play rewards through the different comp schemes. The process is simple: you sign up for a loyalty rewards card, then use it to track your play. Each time you spin, you will earn points that can be redeemed in different ways depending on the scheme. Almost all casinos offer a loyalty program across Canada. Everyone from the Hard Rock in Vancouver to Casino Rama in Ontario.

  69. Hag says

    Obviously, you can’t claim a bonus if you’re not signed up. The process is quite easy – find a needed button, click on it, and fill in all the needed information in order to complete the registration. You will also have to verify your account and, if you want to, set up a double-factor authorization for better protection. The difference between download casinos and instant play casinos is precisely the fact that to play on download casinos, you’ll need to download their software. On the other hand, instant play casinos, like Betiton™, simply allow you to play from your browser. Both of these casinos offer different benefits, but it also largely depends on what you’re looking for. The benefit of instant play casinos like ours is that you don’t need to download any software that might eat up storage space.
    https://critterfam.com/forums/users/stepanienettleto/
    Usa Online Poker No Registration Bonus What Kind of Free Poker Games Can I Play? in the case of major poker sites like 888poker and PokerStars, a LOT. Free online poker is a great entry point for beginner players so the sites run many of their best game variations in play-money variations so you can experience just how thrilling online poker can be. If something seems too good to be true, it probably is, regardless of whether it’s in poker or in life. There’s always a catch, and for online poker bonuses with no deposit required, the catch is the playthrough requirement. Kiss boredom goodbye forever and start playing poker on your own terms. With mobile poker, real money excitement is always just a tap away. Enjoy Texas hold’em in front of the TV. Take in a few hands during your morning commute. Play for big stakes on your lunch break. The places and possibilities for crushing the felt are virtually endless with our non-downloadable mobile poker app.

  70. Edgarsef says
  71. rtp surga dewa says

    You’re so awesome! I don’t believe I have read a single thing like that before. So great to find someone with some original thoughts on this topic. Really.. thank you for starting this up. This website is something that is needed on the internet, someone with a little originality!

  72. rtp agusbet says

    You’re so awesome! I don’t believe I have read a single thing like that before. So great to find someone with some original thoughts on this topic. Really.. thank you for starting this up. This website is something that is needed on the internet, someone with a little originality!

  73. JosephInsig says
  74. MichaelDix says
  75. bambuslot says

    I very delighted to find this internet site on bing, just what I was searching for as well saved to fav

  76. slot gacor says

    Great information shared.. really enjoyed reading this post thank you author for sharing this post .. appreciated

  77. affonry says

    purchase cialis online cheap Structural cells are key regulators of organ specific immune responses

  78. angka keluar taipei says

    Cool that really helps, thank you.

  79. live draw says

    Hi there to all, for the reason that I am genuinely keen of reading this website’s post to be updated on a regular basis. It carries pleasant stuff.

  80. Curtismuh says
  81. RicSap says
  82. Convertidor mp3 says

    I agree with you, Raju. It’s important to consider the impact of topic on [aspect].

  83. Michaelenuri says
  84. I am sure this paragraph has touched all the internet viewers, its really really good
    piece of writing on building up new webpage.

  85. Rey says

    Hey superb website! Does running a blog like
    this require a massive amount work? I’ve no understanding of programming however I had been hoping
    to start my own blog soon. Anyway, should you have any recommendations or tips for
    new blog owners please share. I understand this is off subject nevertheless I simply needed to ask.

    Thank you!

  86. jus buah segar says

    It’s really a nice and useful piece of info. I’m glad that you just shared this useful information with us.
    Please stay us informed like this. Thanks for sharing.

  87. Davidrag says
  88. FelixImack says
  89. Avenue 17 says

    I confirm. I agree with told all above.

  90. MicahSinly says
  91. EdwardInjuh says
  92. Dwaynefak says
  93. WilliamSlith says
  94. GarrettGah says
  95. Brandonbroat says
  96. RickyroP says
  97. GalenGaiff says
  98. lana rhoades sex says

    I’m not that much of a internet reader to be honest but your sites really nice, keep it up!
    I’ll go ahead and bookmark your website to come back down the road.
    Many thanks

  99. Taxi Service says

    Having read this I thought it was extremely enlightening.
    I appreciate you taking the time and effort to put this informative article together.
    I once again find myself spending way too much time both reading and commenting.
    But so what, it was still worth it!

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.