Hijra ni Mapinduzi ya Kimfumo na Sio Njiwa Manga na Buibui
بسم الله الرحمن الرحيم
Katika kuazimisha mwaka mpya wa kiislamu 1444 Hijiriya, wanaharakati wa Hizb ut Tahriri Tanzania wamefanya amali mbalimbali kuwakumbusha ummah wa kiislamu kuhusu unyeti wa tarekhe ya kiislamu pamoja na tukio la Hijra.
Mihadhara mikubwa ya Muharram 1444 Hijiriya
1. Masjid Rahma Buguruni kwa Madenge Dar es Salaam
Ufunguzi wa Muhadhara kwa usomaji Quran.
Ust. Abdallah Chaurembo
Wazungumzaji.
Mzungumzaji 1: Masoud Msellem, Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania |
Mzungumzaji 2: Sheikh Mussa Kileo, Mwenyekiti kamati ya Mawasiliano Hizb ut Tahrir Tanzania. |
Nasaha fupi.
Na. Sheikh Ramadhan Moshi
2. Mskiti wa Mchangani (Kwa Shekhe Alyaan)
Mzungumzaji: Masoud Msellem, Mwakilishi kwa vyombo vya Habari Hizb ut Tahrir Tanzania
Picha ya Pamoja
Visimamo na Mabango
Kichangani Dar es Salaam
Maoni hayajaruhusiwa.