Uislamu Una Suluhisho La Kila Tatizo, Ikiwa Ni Pamoja Na Mikopo, Heshima Na Utu
Uislamu unatosha kuzishinda changamoto za uongo na udhalilishaji
Wakati wa kipindi cha wazi cha mambo ya bunge mnamo tareh 09/01/2019, katika majibu yake kufatia muingiliano wa baadhi ya wabunge, Waziri wa maendeleo , uwekezaji na ushirikiano wa kimataifa, Ziad al Atar, Amewaita wale wanaosema kwamba serikali inazama kwenye dimbwi la madeni na mikopo, “wamuache yeye atoe suluhisho la maendeleo ya mradi wa maendeleo” inaonekana kwamba hili ndio jibu linalotolewa na Ziad pamoja na serikali, ambalo amekua akilirejea mara nyingi haswa katika vipindi vya bunge, mfano kipindi cha bunge cha tareh 29.07.2018 alidai kwamba: “Hatuna suluhisho lingine zaidi ya mkopo kutoka nje” akaendelea kusema: “wale wanaodai tuache vyanzo hivi vya nje basi watuletelee njia mbadala”.
Sisi Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, tunapinga kila khutba ya kisiasa inayoonyesha kushindwa kisaikolojia na kutapatapa, tunauamsha ummah na tunaamsha uwezo wake wa kujikomboa. Na tunathibitisha yafuatayo:
- Khutba hizi za waziri zinaonyesha wazi kwamba serikali hii imefikia kiwango upofu wa hali ya juu, haina muono wa kisiasa pia imeshindwa na kujidhalilisha. Yoyote anaesikia majibu ya waziri huyu lazima atachanganyikiwa, je yeye ni waziri wa Tunisia au ni msemaji wa taasisi za kipesa za kimataifa ? Tunamuona yeye kama ufalme sio mfalme “kwa sababu taasisi hizi za kikoloni zenyewe hazipingi kujiondoa mbali na madeni. Sasa ni vipi sera za serikali na waziri zinaweza kuondoa, vipi utegemezi na madeni kwa hali hii?
2. Na kufuatia changamoto aliyoitoa waziri “kwa wale wanaotaka usitishaji wa vyanzo vya nje walete wazo lao na njia yao” tunasema changamoto hizi za uongo zikome, ambazo hulenga suluhu kutoka nje lakini pia kindani hakuna utayari wa kukubali mapendekezo ambayo yanakwenda kinyume na kanuni za kimagharibi nchini Tunisia; kuanzia katika katiba ya kisekula ambayo haionyeshi njia ya kujikomboa, kwa makubaliano kwamba uuza kila kitu chini na juu ya nchi, .
- Tuna mwambia waziri: Aache changamoto za uongo zinazoonyesha hakuna suluhisho ispokuwa kutoka kwa wamagharibi. Sisi Hizb ut Tahrir, tumetoa masuluhisho ambayo yanaweza kutekelezeka tena kwa haraka, inayohakikisha ukombozi wa kweli wa nchi na kuwahakikishia watu mamlaka yao ya kiinchi, nguvu na sharafu. Shina hili la masuluhisho kutoka katika uislamu: kitabu cha mola wetu, aliyejuu, na mwenendo wa Mtume wetu Muhammad (saw), lakini mmeyakataa yote kwa kibri. Na hapa mlipo, na kututumbukiza katika katika uadui wa shetani! Je hamuoni aibu?? Je hamumuogopi Allah.???
O waziri, kwamba katika uislamu, dini na njia ya maisha aliotupa Allah kupitia kwa Mtume wake, inasuluhu zote za matatizo yetu ikiwa ni pamoja na matatizo ya kiuchumi.. Je unaweza kukombolewa na wageni kutoka katika madeni kwa kupitia suluhu za mkoloni, kulikomboa taifa kisiasa na kiuchumi na kulirejeshea taifa nguvu zake na utajiri wake..??
O waziri, O serikali, acha kuiga watu wasiokuwa wewe, badio hautoshi kushika utawala hivyo rudisha mambo kwa watu wenyewe, wale wenye uwezo wa kuukomboa ummah kutoka kwa wakoloni na kuruhusu uislamu kuwa ni kiongozi wa mataifa .liacheni jambo hili , na waislamu wa tunisia hawata baki kimya na hawataweza kukubali kudhalilishwa . Na hawataweza kukubali kisichokua uislamu , na tunawaonya wakati huo umefika na hakuna kilichobakia isipokua hao watu katika utawala wanaojiweka mbali na msitari wa ummah na dini yao itawezekana pale ambapo vibaraka watakapo anguka, pindi utawala wa dhulma utakapopotea , na mikono ya wahalifu itakapokatwa mikono yao. ﴿
وَسَيَعْلَمُ الَّذِينَ ظَلَمُوا أَيَّ مُنقَلَبٍ يَنقَلِبُونَ
“[Na muamini ahadi ya Allah kwamba] na hivi karibuni wafanyao dhulma watajua ni mpinduko wa namna gani watakao pinduka !” [Ash-Shu’araa’: 227]
Ofisi ya habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia
Inatoka: http://www.hizb-ut-tahrir.info/en/index.php/press-releases/tunisia/16749.html
Maoni hayajaruhusiwa.