Minasaba ya Dhul hijjah
1.Kusilimu kwa Hamza na Umar RA.
(Mwaka wa 6 wa Utume)
2. Ba’ayah ya Kwanza (Mwaka wa 11 wa Utume)
3. Ba’ayah ya Pili (Mwaka wa 13 wa Utume)
4. Ghazwa ya Assawiq (2 AH baada ya vita vya Badr)
5.Ndoa ya Bi Fatma ra. (binti wa Mtume SAA) 2 AH
6. Ghazwa ya Abdullah bin Atiq (Mwaka wa 4 AH.)
7. Ghazwa ya Ibn Abil Awja (Mwaka wa 7AH.)
8. Kutangazwa rasmi msimamo wa Surat Tawba ( 9AH
9. Hijjatul-Wadaa (9 Dhulhijjah Mwaka wa 10 AH.)
10.Kujeruhiwa vibaya Khalifah Umar RA. kulikosababisha
kifo chake ( 23AH.)
11. Kupewa Baayah Ali bin Abi Twalib RA. (18 Ijumaa Mwaka wa 35 AH)
12. Kuibuka kwa Vita vya Siffin (Mwaka wa 36 AH.)
GHAZWA:Ni mapigano ambayo Mtume (S.A.W) mwenyewe kashiriki.
SARIYYA:Ni mapigano ambayo Mtume (S.A.W) amewatuma Maswahaba wake bila Mweyewe kushiriki.
Maoni hayajaruhusiwa.