Trump Kujitoa katika Makubaliano ya Nuklia

97

ﺑﺴﻢ ﷲ ﺍﻟﺮﺣﻤﻦ ﺍﻟﺮﺣﻴﻢ 

Swali

Twajua kwamba Amerika ni nchi inayoendeshwa na taasisi na kwamba mtizamo wa Amerika kiulimwengu unasimamiwa na taasisi za utawala ndani ya Amerika, na sio rais. Tunawezaje kuelezea uidhinishaji wa makubaliano ya kinuklia na Iran na kuyaita kuwa ni ushindi, na hivi sasa Trump anajitoa kutoka katika makubaliano hayo na kuyaita maamuzi hayo kuwa ni ushindi?  Tafadhali fafanua hili, na pokea shukrani zangu.

Jibu

Ni kweli mtizamo wa Amerika kisiasa ulimwenguni unasimamiwa na taasisi na sio rais kibinafsi, japo mbinu za rais hutumika zaidi katika kutoa maamuzi, lakini ambalo halikuulizwa katika swali ni msingi upi unaotoa muongozo kufanya maamuzi hayo ambalo lingetoa jibu kwa swali hilo. Msingi wa taasisi za dola ni maslahi ya Amerika. Lau, katika hali fulani, makubaliano yanahitajika, taasisi hupitisha makubaliano na rais huidhinisha makubaliano. Lau maslahi ya Amerika yanahitaji kufutilia mbali makubaliano, taasisi hupitisha kufutilia mbali na rais huidhinisha kufutilia mbali huko.

Kwa mfano,

1- Iran ilikuwa na umuhimu na kuhitajika kuumakinisha utawala wa kidhalimu wa Bashar, ambaye ni kibaraka wa Amerika, mpaka pale Amerika itakapopata mbadala wake. Amerika iliogopa umaarufu wa mavuguvu ndani ya Syria yaliyokuwa yamenyanyua miito ya Uislamu na hukm ya Kiislamu, iliogopa kuwa dhalimu wao angeangushwa na hivyo utawala wa Kiislamu ungesimama Syria na ushawishi wa Amerika ungeondoshwa katika eneo hilo hususan kasi ya mavuguvugu maarufu ilipozidi ndani ya mwaka 2015 na kuendelea kusonga mbele kutoka sehemu hadi sehemu. Hivyo basi, iliiondoshea Iran vikwazo na kuipa majukumu na kuiwezesha kutekeleza majukumu hayo. Kwa hiyo ilikuwa ni maslahi ya Amerika kutia saini makubaliano ili kuiondoshea Iran vikwazo mbele yake. Ilikuwa ni makubaliano ya kufedheheshwa Iran kwa kila nyanja. Linalodhihirisha hilo zaidi ni yaliyofuata utiaji saini wa makubaliano wa 14/7/2015, ambapo Rais wa Amerika Barack Obama alitoa hotuba iliyopeperusha moja kwa moja na kusema:

*Kuhusiana na makubaliano “njia zote zinazoelekea katika silaha ya nuklia zimekatwa” … Itailazimisha Iran “kuondosha thuluthi mbili za vizalisha nuklia na kuihifadhi chini ya usimamizi wa kimataifa” * Itaondosha asilimia 98 ya madini ya uranium yaliyo wezeshwa. * Itakubali vikwazo kurudishwa punde tu makubaliano yakikiukwa *Daima kukipatia Kitengo cha Kimataifa cha Kawi ya Atom kuweza “kuzuru wakati wowote ambapo kitakapohitaji” (BBC 14/7/2015)

Tumeelezea lengo la Amerika kuhusiana na makubaliano ya nuklia na Iran katika Jibu la Swali la 22/7/2015 baada ya Baraza la Usalama kuyapitisha makubaliano hayo 20/7/2015 tukasema:

“Yote haya yanaashiria kwamba lengo la Amerika juu ya makubaliano hayo ilikuwa ni kuifanyia wepesi na kuiwezesha Iran kupitia kuiondoshea vikwazo na kuipa mahusiano ya wazi ili iweze kuendelea na jukumu litakaloipa wepesi kazi ya Amerika na kuipunguzia mzigo na kuipa pumzi juu ya michezo yake dhidi ya serikali na watu wa eneo hilo. Hivyo basi Iran itaendelea kutekeleza sera ya Amerika kivitendo kuhusiana na kadhia ya Iraq, Syria na Yemen hata hivyo licha ya kuwa hayo yangetekelezwa nyuma ya pazia ili kuyaficha yasionekane kama ilivyokuwa awali (kabla makubaliano), hivi sasa yatafanyika peupe nyuma ya pazia inayoonyesha ndani au bila hata pazia!”

Hakika, Iran imecheza mchezo mchafu na wa kihalifu wa Amerika ndani ya nchi hizi  Syria, Iraq na Yemen, na ilikuwa maarufu na wazi chini ya miito ya kiuwongo ya kupinga na chini ya kuchochea chuki za kidini.

Kwa hiyo, ilikuwa katika maslahi ya Amerika kuingia katika makubaliano hayo ili kuweza kuunusuru uchumi wa Iran na kuiwezesha kutekeleza kwa kikamilifu mipango ya Amerika katika eneo hilo na kwa kushajiishwa kuwa vikwazo dhidi yake vitaondolewa hususan katika hali ya Syria ambayo ilikuwa inakaribia kutoka katika ushawishi wa Amerika kutokana na udhaifu wa utawala wa dhalimu Bashar. Hivyo basi, dori ambayo Iran ilitakiwa kutekeleza kwa ukamilifu ni kumlinda na huku nayo ikipewa ahadi ya kuondolewa vikwazo. Hali ya Bashar ndani ya mwaka 2015 ilikuwa mbaya mno na alikaribia kupinduliwa, kwa hiyo Amerika ikaingia katika makubaliano na Iran ili kuipa idhini rasmi katika dori ya Syria 14/7/2015. Na ilikuwa si hayo tu, bali pia ilileta jeshi la Urusi baada ya Obama kukutana na Putin 30/09/2015 na kuipa Urusi idhini ya kuingia ili kuunusuru utawala wa Bashar usipinduliwe mpaka pale Amerika itakapopata kibaraka mpya.

2- Lakini mtizamo wa Amerika umebadilika sasa kutokana na kuwa hali ya Bashar sasa iko juu. Hili limetengeneza mtizamo mpya kwa utawala wa Trump, hususan kutokana na yaliyopatikana na Amerika moja kwa moja au kinyume chake ndani ya Iraq na Syria dhidi ya watu wa nchi hizo zinazohitaji mapinduzi. Kwa hiyo hawahitaji tena kuipa Iran mchango wowote wa moja kwa moja kwa kuwa hali sasa imebadilika, iliyoanza mwishoni mwa utawala wa Obama baada ya kuzipa majukumu ya moja kwa moja tawala za Uturuki na Saudi Arabia.

Ukhaini wao dhidi ya mapinduzi ya Syria yaliyokuwa mabaya zaidi ya silaha za Urusi, Iran na washirika wake na utawala wa Syria, ambao ulidhoofisha mapinduzi, lakini utawala wa Uturuki na ule wa Saudi Arabia ulifaulu kupata ushindi kwa niaba ya utawala wa Syria kwa njia za uovu, ambazo ziliipelekea Iran kurudi nyuma kimajukumu  kinyume na awali ilivyokuwa ikisimamia dori hiyo kabla Uturuki na Saudi Arabia… Hivyo basi, Amerika ikaifanya jukumu la Iran kama lakuongeza nguvu kinyume na kuwa mstari wa mbele, hali hii iko wazi kwa mujibu wa makubaliano ya Astana. Na hivyo walifaulu kuyasitisha mapinduzi ya Syria kwa kisingizio cha kusitisha kuzidi mauaji. Hii ni moja ya sababu ya Amerika kutangaza kujitoa katika makubaliano ya nuklia na Iran, ambapo maslahi ya Amerika yanaitaka kujitoa katika makubaliano kwa maandalizi ya masharti mapya ili kupunguza mchango wa Iran ndani ya eneo hilo. Na hili lilimpelekea Trump kudai kuwa Iran imeipiku Amerika katika manufaa yanayotokana na makubaliano ya nuklia, ili kuonyesha kwamba anataka kujitoa kwa sababu makubaliano hayo kwa mujibu wa madai yake, ni kuwa yanaisaidia Iran kupata silaha ya nuklia. Kwa ukamilifu Trump alidai 08/05/2018 ambapo alitangaza kujitoa kutoka katika makubaliano ya nuklia na Iran kupitia hotuba yake iliyopeperushwa alisema kwamba “Ikiwa makubaliano haya yatawachwa yaendelee, hivi karibuni kutakuwa na ushindani wa zana za kinuklia ndani ya Mashariki ya Kati” na “Hakuna kitendo kilichowahi kufanywa na utawala huo na kilichokuwa hatari zaidi kuliko kile cha azma yake ya utengenezaji wa silaha za nuklia”

akaendelea:

“Kinadharia, kile kinachoitwa “makubaliano ya Iran” yalikuwa ni kuilinda Marekani na washirika wetu…makubaliano hayo yaliiruhusu Iran kuendelea kuzalisha madini ya uranium.” Akasema pia: “Viongozi wa Iran kiasili watasema kuwa wanakataa kuzungumzia tena makubaliano mapya; wakiwa tayari kuzungumza, mimi niko tayari, nimejiandaa na naweza” na akasema: “tumewasiliana kwa kirefu na washirika wetu ulimwengu mzima… Baada ya mashauriano hayo, imekuwa wazi kwangu kuwa hatuwezi kusitisha bomu la kinuklia la Iran.” “Hivyo basi, leo natangaza kuwa Amerika imejitoa katika makubaliano ya nuklia na Iran”. “Makubaliano hayo hayasaidii kuilazimisha Iran kusitisha vitendo vyake… Muda mfupi ujao, nitaweka saini uamuzi wa urais kuanza kuvirudisha vikwazo vya Amerika vya kinuklia dhidi ya utawala wa Iran.”

Akaenda na kutia saini maamuzi ya urais na kusema: “Makubaliano hayakujadiliwa vyema…Makubaliano ya Iran ni mabaya tokea mwanzo. Vipengee vya makubaliano hayo havikubaliki kamwe. Tukitoka katika makubaliano ya Iran, tutaendelea kufanya kazi na washirika wetu ili kupata suluhisho la kweli, la kina na la kudumu kuhusiana na vitisho vya Iran…kutokana na makubaliano haya yanayotisha tuliyopewa na utawala huo na ni utawala uliojaa vitisho na mabilioni ya dolari.  (Sputnik, AlJazeera 8/5/2018)

Hapa iko wazi zaidi kuwa Trump alitaka kutamka kauli za uongo na kudanganya zaidi kuhusu uwezo wa Iran ili kukinaisha sababu za kujitoa kutoka katika makubaliano nao ya kinuklia bila kuelezea sababu za kweli; ambazo ni kuwa maslahi ya Amerika hivi sasa yanaitaka wapunguze mchango wa Iran nchini Syria na katika eneo hilo lakini ibakie kuwa tayari kutekeleza yale yatakayohitajiwa na Amerika. Hili linarudiwa na sera ya Amerika, ambayo inabadilisha sera zake kwa mujibu wa maslahi, mfano ilivyokuwa Urusi baada ya mkutano wa Obama na Putin 30/09/2015 na kumpa idhini aingie Syria kumsaidia Iran katika lengo la kummakinisha Bashar. Lakini Urusi ilipojaribu kudandia jukumu lake na kujifanya kama ambaye inafanyakazi kibinafsi kando na ushawishi wa Amerika, maslahi ya Amerika yaliitaka “kuiadhibu” Urusi ili kuikumbusha mchango wake na uwezo wake, ndiyo ikapiga mashambulizi ya kijeshi nchini Syriai!

Kama tulivyoonesha katika Jibu kwa Swali la 14/04/2018, “… Mashambulizi ya Amerika yalikuwa zaidi kuiadhibu Urusi kuliko kushambulia silaha za kemikali za Syria. Takriban maeneo kumi yalishambuliwa alfajiri leo.

Hata hivyo maoni ya wajuzi wa kijeshi katika vyombo vya habari asubuhi hii machache katika hayo maeneo ni ya kemikali au vituo vya utafiti, lakini mengi ni ya kijeshi.”Kwa hivyo, Amerika kubadilisha sera yake kwa mujibu wa maslahi ni jambo linalojulikana vyema.

3- Jambo jengine ambalo maslahi ya Amerika yalitaka, ni Amerika kuondosha kuangaziwa kwa uhalifu wa Mayahudi kwa kuvamia Palestina na Al-Quds (Jerusalem), na kwa muda mrefu Amerika ilikuwa ikitaka kuuhamisha ubalozi wao kuupeleka Jerusalem, lakini ilikuwa inasubiri suluhisho la dola-mbili na kugawanywa kwa Jerusalem, na ilikuwa ikihairisha uhamishaji huo wa ubalozi. Lakini sasa Amerika inaona suluhisho tofauti kwa tatizo hilo kinyume na suluhisho la dola mbili, kwa kuingiza mabadiliko na suluhisho nyingine ambazo wanasema ni makubaliano ya karne hii. Na hili lilihitaji lile lililoidhinishwa na tawala zilizotangulia za Amerika za kuuhamisha ubalozi kwenda AlQuds (Jerusalem), na Amerika ilitaka kupunguza kuangaziwa kuhusiana na suala hilo na hivyo ikailenga Iran na kulikuza suala la mchango wake kwa kuandaa kongamano la watawala (ruwayibidha) 21/05/2017 ambapo Trump aliwazungumzia viongozi hao na wawakilishi wa dola 55 kutoka katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuelezea sababu za kutia saini maridhiano kati ya umbile la Kiyahudi na utawala wa Saudi na tawala nyingine na kuendelea kushinikiza suluhisho fulani kuhusiana na suala la Palestina ambalo lilikuwa halija tangazwa na Amerika. Na utawala wa Saudi unalipigia debe na kuushinikiza Utawala wa Palestina kuukubali, ikimaanisha kuwa Trump aliwekeza kazi yake kuifanya Iran kuwa ndiyo adui badala ya umbile la Kiyahudi mnyakuzi wa Palestina, ardhi ya Isra na M’iraj. Hivyo basi, Saudi Arabia inamfuata Trump polepole na kumuunga mkono na kuupigia debe uamuzi wake… Kwa hiyo ni kwa maslahi ya Amerika kuzidisha uongo kwa suala la makubaliano ya nuklia, kama ambayo sio makubaliano yanayo ifedhehesha Iran, lakini ni makubaliano yanayoipa nguvu Iran. Muhimu zaidi ni kuwa makubaliano yaliyokuwemo ndani, hata Trump na wengine hawatopata makubaliano zaidi ya hayo ya kuifedhehesha Iran.

Imeoneshwa kuwa Amerika inailenga Iran kuionyesha kama adui ndani ya eneo hilo badala ya umbile la Kiyahudi. Kwa mfano maandamano ya hivi majuzi ndani ya Iran, Amerika iliyazingatia maandamano hayo na ikayadandia ikizingatia mchango wa Iran katika eneo hilo ni suala ambalo Amerika inalipa makini katika sera yake. Na Amerika kudandia wimbi hilo la maandamano ndani ya Iran hakukulenga kuupindua utawala huo bali kwa malengo mengine tuliyoelezea katika Jibu kwa Swali la 11/01/2018:

“…Kwa nini Amerika ilidandia wimbi la maandamano na kulitumia vipi? Ilikuwa ni kwa sababu mbili:

Kwanza ilikuwa kuondosha kuangaziwa kwa Palestina na kauli ya Trump kuhusu Al-Quds “Jerusalem” na kulishughulisha eneo hilo na suala la Iran. Hivyo, ikawa adui wa kwanza katika eneo na kisha kuangaziwa kunaelekezwa Iran, na huku umbile la Kiyahudi mnyakuzi wa Palestina linasita kuangaziwa.

Pili ni kuwamakinisha vibaraka wa Amerika katika eneo hilo chini ya kisingizio cha kuungana dhidi Iran na kuilinda Amerika kutoka katika hatari ya Iran. Kauli ya Trump kuhusu Al-Quds (Jerusalem) na kwamba ndiyo mji wa umbile la Kiyahudi (adui mkubwa wa waumini) kama tulivyosema katika toleo 7/12/2017 ni kama kofi katika migongo ya vibaraka wa Amerika “Al-Quds (Jerusalem) imo katika mioyo ya Waislamu na akili zao, na kimya cha vibaraka juu ya kauli ya Trump na kujipendekeza kwao ubakia kuwa vibaraka  wa Amerika ni kashfa kwao…Kauli ya Trump dhidi ya Iran ni Kamba yao ili wabakie mamlakani kuwa vibaraka wa Amerika licha ya kauli ya Trump kuhusu Jerusalem… kwa kusema kuwa Trump anaikabili Iran, adui mkubwa ni kujitia hamnazo ambako ni kubaya kuliko uhalifu.

َونُكَفْؤُى يَّنَ أُ َّ ا ُمُهَلَاتَق

“Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali! Vipi wanapotoka na haki?”

[AlMunafiqun: 4]

4- Amerika ilikuwa nchi yenye ushawishi katika makubaliano ya nuklia, Ulaya ilikubali mpango wa Amerika kuhusiana na makubaliano na kukubali tu kutia saini kwa kuwa ni mmoja katika watiaji saini. Hivyo, Ulaya ilijisalimisha na kukubali ili kuweza kuendelea kuwepo. Tulifafanua nafasi ya Ulaya katika makubaliano ya nuklia katika Jibu kwa Swali la 22/07/2015 na tulisema wakati huo:

“…Kwa kuwa hakukua na chochote kilichobakia kwa Ulaya, baada ya kutafakari kuwa hawawezi kusitisha makubaliano ya nuklia kati ya Amerika na Iran au kuweza kuwa na ushawishi juu ya Amerika isipokuwa kuelekea Iran kwenda kupata ngawira kwa njia ya kujishindia uwekezaji na miradi ndani yake, kwani (Ujerumani) inaumia kutokana na matatizo ya kiuchumi na kupitia hali hiyo wanaweza kufanyakazi ndani ya Iran kwa muda mrefu ili kuweza kupata tena ushawishi wa Ulaya ndani au japo kidogo ikiwa pamoja na ushawishi wa Amerika…”

Hivyo basi, Ulaya waliyatumia makubaliano hayo na kujifungua kwa Iran kiuchumi. Mgao wa biashara kati ya Ulaya na Iran umezidi na biashara kati ya Amerika umepungua kidogo kabla ya makubaliano na wakati wa vikwazo. Hiyo ilikuwa sababu ya tatu ambayo ilimfanya Trump kwenda mbio kuyasitisha makubaliano hayo ili kuipiga pigo Ulaya kibiashara… Trump alitangaza 7 Mei 2018 kupitia tweet katika mtandao wa Twitter kwamba ameamua kuileta karibu tarehe ya makubaliano ya nuklia ya Iran kutoka 12 hadi 8 Mei 2018.

Ni muhimu kuangazia kuwa hatua hii imekuja kwa sababu Ulaya ilijaribu kumnasihi asijitoe katika makubaliano ya nuklia. Tovuti ya  عقوم ,uukun ili ”deedaJ-lA ibarA-lA“  abmawk ituvot ri.malala سويسكإ “… Katibu wa Masuala ya Nje wa Amerika, Mike Pompeo aliwaambia wenzie kutoka Ulaya, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani siku ya Ijumaa 4/5/2018 kuhusu nia ya Rais Trump kutangaza kujitoa kwa nchi yake kutoka kwenye makubaliano ya nuklia, na alikataa maelewano yaliyopendekezwa na wawakilishi wa Amerika ndani ya miezi iliyopita kuhusu uwezekano wa kufanya mabadiliko ya makubaliano” Amerika haikukubali kuelewa wala kushirikiana pamoja na Ulaya na haikuwajali na hii inaashiria kuwa ina mipango mingine na inataka kujitenga na Ulaya na kutoshirikiana nayo katika suala hili.

5- Ulaya imegundua kuwa kusitishwa kwa makubaliano itawapa madhara makubwa ya kiuchumi ikiwapelekea katika madhara ya kisiasa na hivyo basi wamejaribu juhudi zao zote kukutana na Trump kumpa nasaha asijitoe. Macron alikwenda Amerika na kujaribu kumpa nasaha rais wa Amerika asijitoe kutoka katika makubaliano hayo lakini hakufaulu. Akafuatiwa na Merkel, na wakatoa mapendekezo ya kibiashara kwa Amerika lakini hayakukubaliwa. Nafasi ya Ulaya iliibuka kuwa ya udhaifu. Uingereza ikawasiliana na Macron na Merkel, na kutangaza kuwa wao watabakia katika makubaliano ya nuklia na Iran. Kisha, Waziri wa Kigeni wa Uingereza, Johnson, akazuru Amerika na kutangaza kuwa ulimwengu upo salama zaidi kwa kubakia makubaliano kuliko bila. Uingereza ikaanza kusonga mbele kwa nguvu. Hivyo basi, Trump akaisogeza tarehe ili kuonyesha nafasi yake katika makubaliano hayo kutoka tarehe 12 hadi 8 Mei 2018 na kuusitisha mipango ya Ulaya na kutangaza rasmi na hakuipa uzito Ulaya kwa sababu taasisi za Amerika ziliona dhamira yao kupitia sababu hizo tatu kwa Amerika kusitisha makubaliano.

6- Yaliyofuata yalikuwa kama ifuatavyo:

  1. Ulaya imesikitishwa, imejaa majuto na wasiwasi! Chansela wa Ujerumani Angela Merkel alisema alipokea taarifa hiyo kwa majuto na wasiwasi juu ya uamuzi wa Rais wa Donald kuitoa Amerika katika makubaliano makubwa ya kinuklia na Iran ya mwaka 2015. Alisema “Tutaendelea kujifunga na makubaliano haya na tutafanya kila tuwezalo ili kuhakikisha kuwa Iran inayatekeleza kiukamilifu. Ujerumani imechukua uamuzi huu kwa ushirikiano na Uingereza na Ufaransa,” akaongeza. “Suluhisho lipo katika kuzungumza kwa pamoja na kwamba Ulaya inatakiwa kucheza dori kubwa zaidi katika sera ya kigeni na usalama.” “Alisisitiza kuwa Ujerumani itafanya kila iwezalo ndani ya uwezo wake kuhakikisha Tehran inatekeleza majukumu yake vilivyo chini ya makubaliano ya nuklia na ikaashiria kuwa Tehran imekuwa ikiyatekeleza hadi sasa na kusema kuwa makubaliano ya nuklia ya Iran yasiulizwe maswali bali kuweko na mazungumzo kuhusu makubaliano ya kina zaidi ya kwenda zaidi ya makubaliano ya mwanzo.” (Reuters, 9/5/2018).

Alitangaza kuwa Ulaya imehuzunishwa na Amerika kufeli na wasiwasi wake kuhusu athari ya kujitoa huko kutoka katika makubaliano. Kama tulivyosema huko juu kuwa Ulaya ili kwenda mbio katika ngazi za juu za Amerika kuhakikisha wanamrai Trump asifanye maamuzi ya kujitoa na kujaribu kumpendekezeaTrump ajadiliane na Iran tena, lakini hakuwajibu bali aliwashtusha kwa tarehe ya kutangaza msimamo wake juu ya makubaliano hayo. Hivyo basi, Ulaya walionyesha udhaifu mbele ya Amerika.

Kisha, wiki ya pili ya Mei 2018, kulikuwepo na kauli kinzani zikidhihirisha kutoridhishwa na kutamaushwa kwao na kujitoa kwa Amerika. Kwa upande mwingine baadhi ya kauli zilizotolewa zilionyesha hali ya changamoto, Federica Mogherini, kiongozi mkuu wa sera ya Umoja wa Ulaya, alisema “Nina wasiwasi kuhusiana na tangazo hili litakalotolewa na Trump.” Akiongeza, “Umoja wa Ulaya umejizatiti kutenda kwa mujibu wa maslahi yake ya kiusalama ili kulinda uwekezaji wake wa kiuchumi”… Tutabakia ndani ya makubaliano haya kwa ushirikiano na jamii ya kimataifa.” Majibu ya Waziri wa Kigeni wa Ufaransa, Jean-Yves Le Drian alisema: “ Bado makubaliano hayaja kufa…Ufaransa, Ujerumani na Iran itafanya mkutano Jumatatu (14/5/2018) ili kujadili matukio haya mapya na zana za Iran za masafa marefu na masuala mengine, lakini wakati huo huo lazima tuyabakishe makubaliano, nasisitiza kuwa Kitengo cha Kimataifa cha Kawi ya Atom kinakiri kuwa Iran inaheshimu makubaliano” (Al-Jazeera 9/5/2018).

Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zilitoa taarifa ya pamoja ikionyesha kuungana kwao: “Pamoja tunasisitiza kuendelea kwetu na makubaliano ya JCPOA. Tunazinasihi pande zote kubakia na kujifunga na utekelezwaji wake kikamilifu na kutenda majukumu yanayowahusu, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuendeleza manufaa ya kiuchumi yanayohusiana na makubaliano ya watu wa Iran.” (Al-Jazeera 9/5/2018).

“Maamuzi ya Washington kujitoa kutoka katika makubaliano ya nuklia hakubadilishi msimamo wetu na hatuna nia ya kujitoa,” Johnson alisema hayo ndani ya bunge la nchi yao. “Nainasihi Marekani kujiepusha na kitendo chochote kitakachositisha pande nyingine kuendelea na utekelezwaji wa makubaliano hayo, ikiwa ni pamoja na maslahi yetu ya pamoja ya kiusalama.” (Guardian 9/5/2018). Misimamo hiyo inaonyesha kuwa Ulaya itakuwa kikwazo na itabakia kuyaunga mkono makubaliano!

Kwa upande mwingine, baadhi ya kauli za Ulaya zilionyesha kuwa wamesalimu amri na kuwa na wasiwasi na makampuni yao. “Itakuwa vigumu kutekeleza makubaliano ya nuklia bila Amerika,” alisema Norbert Roitgen, kiongozi wa sera ya kimataifa ndani ya chama cha Merkel. Norbert akaongeza kuwa yeyote “atakayewekeza nchini Iran atakuwa na vikwazo vikali kutoka kwa Amerika, na bei yake itakuwa haiwezi kulipika.” Akaonya kwa kusema “Hivyo basi, makampuni yaliyoathirika kwa haraka yatasitisha uwekezaji au kujitoa kutoka nchini humo moja kwa moja.” (Der Spiegel, Ujerumani, 9/5/2018).

Waziri wa Kigeni wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian, alisema tarehe 9/5/2018 kupitia Channel ya RTL kwamba: “Iran ilikuwa imekubali kujiwekea vikwazo katika mipago yake ya kinuklia ili waweze kupata manufaa ya kiuchumi ambayo Ulaya ilijitahidi kuhifadhi. Na kwamba usimamizi wao utakutana na makampuni ya Kifaransa yanayo fanya shughuli zake nchini Irani ndani ya masiku kadhaa kujadiliana ni namna gani tunaweza kuwasaidia kubakia nchini Iran na kujaribu kuwalinda kwa hali yoyote ile kutokana na vitendo vya Amerika,” na hivyo basi Ulaya ilidhihirisha wasiwasi kuhusu hali yao ya kiuchumi.

b- Msimamo wa Iran kwa kiasi fulani ulikuwa wa utulivu, na haukuegemea Ulaya. Rais wa Iran Hassan Rouhan aliyaelezea maamuzi ya Trump kama “vita vya kifikra na ushinikizaji wa kiuchumi.” Alisema, “Hatutomruhusu Trump kushinda vita vya kifikra na kuwashinikiza watu wa Iran kiuchumi,” akasema, “Nchi hii itabakia kujifunga na makubaliano ya nuklia bila Amerika, kwa sharti kuwa Iran ndani ya wiki kadhaa itapata uungwaji mkono kutakako tuwezesha kupata manufaa kamili ya makubaliano hayo kwa kupata dhamana kutoka kwa washirika waliobakia wa makubaliano hayo ya nuklia ambao tumo katika mazungumzo nao. Suala lote litategemea dhamana ya maslahi yetu ikiwa yatapata uungwaji mkono tutaendelea na makubaliano hayo, lakini ikiwa dhamana itakuwa katika karatasi tu na hayadhamini maslahi ya watu wa Iran basi tutakuwa na uamuzi kamili.” (Runinga rasmi ya Iran 9/5/2018).

Spika wa Baraza la Shura la Iran, Ali Larijani alisema: “Ulaya imejisalimisha kwa shinikizo za Amerika ambayo imepelekea kujitoa kwa makampuni yao mengi ndani ya Iran kwa mujibu wa vikwazo vya kimataifa vilivyotangulia kati ya 2012 na 2015… Hatuwezi kuzipa uzito kauli zao za kuendelea na makubaliano, lakini inafaa kutoa mtihani kwa wiki kadhaa ili tuweke wazi kwa ulimwengu kuwa Iran imejaribu kwa kila njia kufikia suluhisho la kisiasa kwa Amani.” (Deutsche Welle, 9/5/2018) Iran haina ujasiri na msimamo wa Ulaya, ina wasiwasi kuhusiana na maslahi yake na lau vikwazo vitawekwa basi itadhuriwa.

C –Urusi haikujumuisha msimamo wake dhidi ya Trump na msimamo wa Ulaya, bali ilitoa msimamo wake pekee. “Urusi imesikitishwa na uamuzi wa Trump… hakuna na hakutakuweko na msingi wa kusitisha, makubaliano ambayo yalionyesha kufaulu pakubwa… na kwamba Moscow iko tayari kuendelea na ushirikiano na washirika wengine ndani ya makubaliano hayo ya nuklia na itaendelea kukuza mahusiano yake na Iran.” Al Jazeera 9/5/2018)” alisema Waziri wa Kigeni Lavrov.

Na inazungumza kiuoga kuhusu ushirikiano wake na wahusika wengine, yaani pande za Ulaya ambao hawakuwasiliana na Urusi, waliamua kukutana na kushauriana na Iran bila kuwepo kwake. Hivyo basi, msimamo wa Urusi uko katika hali tete, haiwezi kuungana na Amerika katika suala hilo, kwa sababu ni kinyume na maslahi yake na sera yake juu ya Iran na haiwezi kuungana na Ulaya ambao wanaharibu mahusiano yao na Urusi ili isiweze kutumiwa na Amerika dhidi yao katika kuitenga Ulaya.

d- Ama kuhusu msimamo wa Uchina, balozi maalumu wa Uchina katika eneo la Mashariki ya Kati, Gong Xiaosheng alisema: “Pande zote husika katika makubaliano ya nuklia na Iran lazima wayaheshimu na watumie mazungumzo kujadiliana ili kusuluhisha sintofahamu, na nchi yake iko tayari kujumuisha ushirikiano wa nchi zote husika,” (Xen-Kho 9/5/ 2018). Hii ni kauli ya wazi isiyokuwa na mwelekeo wa moja kwa moja, ambao Uchina haijaziunga mkono nchi za Ulaya ambazo zinapinga kujitoa katika makubaliano hayo. Lakini imeiwekea misimamo ya Amerika na Ulaya kuwa sawa kwa sawa kwa mujibu wa kauli hiyo. Uchina haihesabiwi kutokana na udhaifu wa msimamo wake kimataifa dhidi ya Amerika na imejifunga na uhusiano wake kibiashara na Amerika.

Kwa kutamatisha: Trump hakutangaza kujitoa katika makubaliano kwa sababu makubaliano hayo eti yalikuwa ni ushindi kwa Iran na kwa maslahi ya Iran na kuikuza hadhi ya Iran, lakini kwa mujibu wa makubaliano yalivyo tangu wakati wa Obama ni kufedheheshwa kwa Iran kutokana na kukubali kwake kusitisha mradi wake wa nuklia. Lakini Trump alitangaza kujitoa kutoka katika makubaliano kwa sababu maslahi ya Amerika yameitaka kufanya hivyo kwa mujibu wa nukta tatu tulizozitaja hapo juu:

A – Umuhimu wa mchanago wa Iran, hususan ndani ya mwaka 2015. Hili halihitajiki tena kama ilivyokuwa mwaka 2015.

B – Kuzidisha chuki ya Amerika dhidi ya Iran, hususan mbele ya Saudi Arabia na mfano wake ili kuzihamisha chuki dhidi ya umbile la Kiyahudi na kuzipeleka kwa Iran…

C- Kuiadhibu Ulaya, hususan kibiashara kwa sababu Ulaya ilipatiliza makubaliano hayo kwa kufungua biashara na Iran na kusitisha  mahusiano ya kibiashara na Amerika.

Amerika na Magharibi, kama waliowatangulia, makafiri na washirikina, hawa heshimu ahadi na hawatimizi mikataba, lakini wana vunja ahadi na mikataba kila wakati na hawaogopi. Iko wapi thamani ya Uislamu na hukm zake zinazotulazimu kutimiza mikataba na makubaliano? Mwenyezi Mungu alisema:

ِودُقُعْالِوا بُفْوَوا أُنَ آمَينِذَّا الَهُّيَا أَي

“Enyi mlioamini! Timizeni ahadi”

[AlMa’ida: 1].

Kwa kweli wanadamu leo wanahitaji dola ya Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, baada ya Makafiri kueneza ufisadi katika ardhi, kuwadhulumu watu na kuharibu kila kilicho na kisichokuwa na uhai. Dola itakayo tekeleza mikataba na kuhifadhi ahadi na kueneza uadilifu na usalama kati ya watu…

Waislamu watanyanyuka kwa kuisimamisha, kwa kutokana na utukufu, ushindi na mwamko wake, na ukweli ni ule ambao Mtume (saw) aliusema aliposema kuielezea Khilafah kama ngao ya Ummah kutoka katika majanga, udhaifu na udhalili:

هِى بَقَّتُيَ وِهِائَرَ وْنِ مُلَاتَقُ يٌةَّنُ جُامَمِْ ا الإ َمَّنِإ

“Imam ni ngao nyuma yake mnapigana na kujihifadhi.”

[Ilivyosimuliwa na Muslim kutoka kwa Abu Hurayrah (ra)]

27 Sha’ban 1439 H 13/5/2018 M

97 Comments
  1. Tate says

    Everyone loves it when folks get together and share views.
    Great site, keep it up!

  2. Sheryl says

    Aw, this was an exceptionally good post. Spending some time and actual effort to generate a superb article… but
    what can I say… I put things off a lot and don’t seem to get anything done.

  3. Carlo says

    Thanks very nice blog!

  4. young ladies says

    There is an explanation for each variable, right behind
    itself. In their pre-sex interview, Cherie and AJ
    reveal that they have never been intimate with each
    other, and have been waiting for this moment
    for quite some time. Tourists have been going down regularly, but beyond a few
    men at work, little was to be seen. Some trophy fiend,
    most probably some girl with the thought of a crazy patch, cut a
    large piece out of one of these damask curtains;
    consequently the governor has issued orders that no visitors shall
    be admitted, and the Yankees have gone down one notch further
    in the scale where they already, by their own conduct, hold a low
    position. Yet this exchange of charms interferes in no way with
    love-making, and the young man wafts sweet kisses from his finger-tips to the fair – no,
    dark – damsel, and enjoys it as much as if that black, silky down on her lip were fringing the gateway to
    his stomach. The young ladies all wore their dresses just reaching their knees, and the
    fancy boots displayed were something marvelous; satin of
    all shades, embroidered with gold and silver, and trimmed with flowers.

  5. Valentin says

    Thanks for every other excellent post. The place else could
    anyone get that type of information in such a perfect manner of writing?
    I have a presentation next week, and I’m at the search for such info.

  6. warung makan says

    Great article! This is the kind of info that are supposed to be shared across the
    net. Shame on Google for no longer positioning this submit upper!
    Come on over and visit my web site . Thank you =)

  7. 到會推介2024 says

    I have been surfing online more than 3 hours today, yet I never found
    any interesting article like yours. It’s pretty worth enough for me.
    Personally, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the
    web will be a lot more useful than ever before.

  8. najlepsze escape roomy says

    You really make it appear really easy along with your presentation but I to find
    this matter to be really one thing which I think I’d by
    no means understand. It seems too complicated and very extensive for me.
    I’m having a look forward on your next publish, I will try to
    get the hang of it! Escape room lista

  9. Tanja-B says

    Very interesting points you have observed, appreciate
    it for posting.!

  10. lease purchase says

    Hello there! This post could not be written any better! Reading through this article reminds me of my previous roommate! He constantly kept talking about this. I am going to forward this post to him. Fairly certain he’ll have a good read. Thanks for sharing!

  11. asbestos abatement ottawa says

    Everything is very open with a very clear clarification of the challenges. It was definitely informative. Your website is useful. Thanks for sharing!

  12. Flum pebble says

    This is the right webpage for anyone who hopes to find out about this topic. You understand so much its almost hard to argue with you (not that I actually would want to…HaHa). You definitely put a brand new spin on a subject which has been written about for ages. Wonderful stuff, just excellent.

  13. men kurta pajama says

    Saved as a favorite, I love your site!

  14. Klikx in the United Kingdom says

    Good day! I could have sworn I’ve been to this blog before but after browsing through a few of the articles I realized it’s new to me. Anyhow, I’m definitely delighted I discovered it and I’ll be bookmarking it and checking back frequently!

  15. Hey Luv Sukha says

    Way cool! Some very valid points! I appreciate you penning this write-up and also the rest of the site is very good.

  16. Hilma Biocare says

    There’s definately a lot to know about this topic. I like all of the points you have made.

  17. An interesting discussion is definitely worth comment. I do think that you should publish more on this subject matter, it may not be a taboo matter but generally people don’t discuss these topics. To the next! Best wishes.

  18. ricepurityscore.kktix.cc says

    Your style is really unique compared to other people I have read stuff from. Thanks for posting when you’ve got the opportunity, Guess I’ll just bookmark this blog.

  19. puffer jacket manufacturer says

    bookmarked!!, I love your web site.

  20. Murukku deepavali says

    You’re so awesome! I don’t think I’ve truly read through something like that before. So wonderful to discover somebody with genuine thoughts on this subject matter. Seriously.. many thanks for starting this up. This website is one thing that is required on the internet, someone with a little originality.

  21. ngentot pepek says

    When I initially left a comment I appear to have clicked the -Notify me when new comments are added- checkbox and now every time a comment is added I recieve 4 emails with the same comment. Is there a means you can remove me from that service? Kudos.

  22. sticker says

    You’re so interesting! I don’t think I have read through a single thing like this before. So great to discover somebody with unique thoughts on this subject. Really.. thank you for starting this up. This website is something that is needed on the web, someone with some originality.

  23. iptv says

    I quite like looking through a post that can make people think. Also, many thanks for allowing for me to comment.

  24. iptv says

    Can I just say what a relief to find an individual who truly knows what they are talking about online. You certainly understand how to bring an issue to light and make it important. More people need to look at this and understand this side of your story. I was surprised that you’re not more popular given that you definitely have the gift.

  25. iptv says

    After looking into a number of the articles on your web site, I seriously appreciate your way of blogging. I book marked it to my bookmark site list and will be checking back in the near future. Please check out my website too and let me know your opinion.

  26. iptv says

    Your style is so unique in comparison to other people I have read stuff from. Thanks for posting when you have the opportunity, Guess I will just bookmark this blog.

  27. iptv says

    That is a great tip especially to those new to the blogosphere. Brief but very accurate info… Thanks for sharing this one. A must read post.

  28. iptv says

    This is a topic that’s close to my heart… Many thanks! Exactly where can I find the contact details for questions?

  29. iptv says

    After checking out a handful of the blog posts on your website, I honestly like your way of writing a blog. I added it to my bookmark website list and will be checking back soon. Please visit my web site as well and let me know your opinion.

  30. Casino says

    Saved as a favorite, I really like your website!

  31. 33win says

    Greetings! Very useful advice within this post! It’s the little changes that make the biggest changes. Many thanks for sharing!

  32. shakibalhasan says

    Very good article! We will be linking to this particularly great article on our website. Keep up the good writing.

  33. rikviptours says

    It’s difficult to find well-informed people about this subject, but you sound like you know what you’re talking about! Thanks

  34. mibet says

    Great post. I will be experiencing a few of these issues as well..

  35. nhacai123dzo says

    You are so cool! I don’t believe I’ve truly read anything like this before. So wonderful to discover another person with some original thoughts on this subject. Seriously.. thank you for starting this up. This web site is something that is required on the internet, someone with some originality.

  36. 6623one says

    Nice post. I learn something new and challenging on sites I stumbleupon everyday. It’s always useful to read through content from other authors and practice something from their sites.

  37. mibet says

    This is a great tip particularly to those new to the blogosphere. Simple but very accurate information… Thanks for sharing this one. A must read post.

  38. iptv says

    Howdy! This post couldn’t be written much better! Looking through this article reminds me of my previous roommate! He continually kept talking about this. I will send this information to him. Fairly certain he’s going to have a very good read. Thank you for sharing!

  39. floral baby headbands says

    Everything is very open with a really clear description of the issues. It was really informative. Your site is very useful. Thanks for sharing!

  40. top88bet says

    I really like it when individuals get together and share views. Great website, continue the good work.

  41. Whitescreen47 says

    Hi, I do believe this is an excellent website. I stumbledupon it 😉 I’m going to return yet again since I book marked it. Money and freedom is the best way to change, may you be rich and continue to help others.

  42. TFP portraits says

    I blog frequently and I truly appreciate your content. This article has really peaked my interest. I am going to book mark your site and keep checking for new information about once a week. I opted in for your Feed too.

  43. Backpage says

    Right here is the perfect site for anyone who wants to understand this topic. You understand a whole lot its almost hard to argue with you (not that I really will need to…HaHa). You certainly put a fresh spin on a subject which has been written about for decades. Wonderful stuff, just great.

  44. Aw, this was an exceptionally good post. Taking the time and actual effort to make a top notch article… but what can I say… I hesitate a lot and don’t seem to get nearly anything done.

  45. cropped jeans supplier says

    Your style is very unique compared to other folks I have read stuff from. Many thanks for posting when you have the opportunity, Guess I’ll just bookmark this web site.

  46. Whitescreen59 says

    Hi, I do think this is a great website. I stumbledupon it 😉 I may return yet again since i have saved as a favorite it. Money and freedom is the best way to change, may you be rich and continue to guide others.

  47. hellcase promo code says

    Aw, this was an exceptionally nice post. Finding the time and actual effort to create a superb article… but what can I say… I put things off a whole lot and never manage to get anything done.

  48. kontol says

    Greetings! Very helpful advice in this particular article! It is the little changes that produce the biggest changes. Many thanks for sharing!

  49. link bokep says

    Hi there, There’s no doubt that your site could be having browser compatibility issues. When I look at your blog in Safari, it looks fine however, when opening in I.E., it has some overlapping issues. I simply wanted to give you a quick heads up! Other than that, wonderful site.

  50. sex shows says

    An impressive share! I have just forwarded this onto a friend who had been conducting a little research on this. And he actually ordered me dinner simply because I stumbled upon it for him… lol. So allow me to reword this…. Thank YOU for the meal!! But yeah, thanx for spending time to discuss this subject here on your blog.

  51. good88 says

    Aw, this was a very good post. Taking the time and actual effort to produce a very good article… but what can I say… I put things off a lot and never manage to get nearly anything done.

  52. fun88 says

    I’m impressed, I have to admit. Seldom do I encounter a blog that’s both equally educative and engaging, and let me tell you, you’ve hit the nail on the head. The problem is something that too few people are speaking intelligently about. Now i’m very happy that I came across this during my hunt for something regarding this.

  53. jeans manufacturers says

    I love reading a post that can make men and women think. Also, thanks for allowing for me to comment.

  54. Your style is so unique compared to other folks I’ve read stuff from. Many thanks for posting when you’ve got the opportunity, Guess I will just bookmark this page.

  55. shopdecordeals says

    This is the perfect blog for anybody who wishes to find out about this topic. You know a whole lot its almost hard to argue with you (not that I personally will need to…HaHa). You definitely put a new spin on a subject which has been discussed for ages. Wonderful stuff, just excellent.

  56. porn says

    I want to to thank you for this great read!! I definitely enjoyed every bit of it. I’ve got you book marked to look at new things you post…

  57. ngentot memek says

    This site was… how do I say it? Relevant!! Finally I’ve found something which helped me. Thanks a lot!

  58. memek says

    I was more than happy to find this web site. I wanted to thank you for your time just for this fantastic read!! I definitely really liked every little bit of it and I have you saved to fav to see new things on your site.

  59. Craigslist says

    Way cool! Some extremely valid points! I appreciate you writing this post and the rest of the website is really good.

  60. Post Free Classified Ads says

    Hi, I do think this is a great blog. I stumbledupon it 😉 I will come back once again since i have book-marked it. Money and freedom is the greatest way to change, may you be rich and continue to help other people.

  61. I blog frequently and I really appreciate your content. This article has truly peaked my interest. I’m going to bookmark your blog and keep checking for new information about once per week. I opted in for your RSS feed as well.

  62. Greetings! Very useful advice in this particular post! It’s the little changes that will make the most important changes. Thanks a lot for sharing!

  63. betvisa says

    Right here is the right web site for anyone who really wants to understand this topic. You know a whole lot its almost hard to argue with you (not that I personally will need to…HaHa). You certainly put a new spin on a subject that has been written about for years. Great stuff, just excellent.

  64. r6 Marketplace says

    You made some decent points there. I looked on the web to find out more about the issue and found most individuals will go along with your views on this site.

  65. Hello there! I could have sworn I’ve visited your blog before but after looking at a few of the articles I realized it’s new to me. Anyhow, I’m definitely delighted I discovered it and I’ll be bookmarking it and checking back regularly.

  66. a superior day mydramalist says

    I was very pleased to find this great site. I want to to thank you for your time for this particularly fantastic read!! I definitely appreciated every part of it and i also have you book marked to see new things on your web site.

  67. bookmarked!!, I really like your site.

  68. Good article. I absolutely love this site. Keep writing!

  69. I truly love your site.. Pleasant colors & theme. Did you create this amazing site yourself? Please reply back as I’m trying to create my very own website and would like to learn where you got this from or just what the theme is named. Cheers.

  70. devils plan pantip 123 says

    Hello! I could have sworn I’ve been to this website before but after browsing through some of the articles I realized it’s new to me. Anyhow, I’m definitely delighted I discovered it and I’ll be book-marking it and checking back often!

  71. I want to to thank you for this good read!! I absolutely loved every bit of it. I have got you saved as a favorite to check out new things you post…

  72. jeedjad_ss says

    After looking over a number of the blog articles on your site, I truly like your way of writing a blog. I book marked it to my bookmark webpage list and will be checking back in the near future. Please visit my web site too and let me know how you feel.

  73. travel guide says

    I like this weblog it’s a master piece! Glad I detected this on google.
    Euro travel guide

  74. I’d like to thank you for the efforts you’ve put in penning this blog. I’m hoping to view the same high-grade content from you later on as well. In truth, your creative writing abilities has motivated me to get my own website now 😉

  75. Hi there! This post couldn’t be written any better! Going through this article reminds me of my previous roommate! He continually kept preaching about this. I will send this post to him. Fairly certain he’s going to have a very good read. I appreciate you for sharing!

  76. dolunay ซับไทย says

    I used to be able to find good advice from your blog posts.

  77. dog water dispenser says

    Right here is the perfect site for anybody who would like to understand this topic. You realize so much its almost tough to argue with you (not that I really will need to…HaHa). You certainly put a new spin on a subject that’s been written about for ages. Great stuff, just excellent.

  78. Shopping tips says

    I love reading through a post that can make people think. Also, thank you for permitting me to comment.

  79. Pastor Adeboye says

    I absolutely love your blog.. Very nice colors & theme. Did you create this site yourself? Please reply back as I’m trying to create my very own website and want to find out where you got this from or what the theme is named. Cheers.

  80. prodronessupply says

    Hi, I do think your site might be having web browser compatibility issues. When I take a look at your blog in Safari, it looks fine however, if opening in Internet Explorer, it has some overlapping issues. I just wanted to give you a quick heads up! Aside from that, excellent blog.

  81. old-time radio eddie cantor says

    You need to be a part of a contest for one of the greatest websites on the net. I most certainly will recommend this site!

  82. Backpage Washington DC says

    Hi, I do think this is an excellent website. I stumbledupon it 😉 I will return yet again since I book-marked it. Money and freedom is the best way to change, may you be rich and continue to guide other people.

  83. I used to be able to find good info from your content.

  84. Travel says

    I truly love your website.. Great colors & theme. Did you develop this website yourself? Please reply back as I’m looking to create my own personal blog and want to learn where you got this from or exactly what the theme is named. Thanks!

  85. This blog was… how do you say it? Relevant!! Finally I have found something which helped me. Thank you.

  86. crush 2021 says

    This web site definitely has all the info I needed concerning this subject and didn’t know who to ask.

  87. medical bad says

    I couldn’t resist commenting. Exceptionally well written.

  88. 물뽕판매사이트 says

    Good web site you have got here.. It’s difficult to find high-quality writing like yours these days. I truly appreciate individuals like you! Take care!!

  89. Tpower Casino says

    I like reading through an article that can make men and women think. Also, many thanks for allowing for me to comment.

  90. 카지노사이트 says

    There is definately a lot to find out about this issue. I really like all of the points you’ve made.

  91. Very nice blog post. I definitely appreciate this website. Continue the good work!

  92. bobres-iptv says

    Pretty! This has been an incredibly wonderful article. Thanks for providing these details.

  93. Hello there! This post could not be written any better! Going through this article reminds me of my previous roommate! He always kept talking about this. I’ll send this information to him. Fairly certain he’s going to have a very good read. Many thanks for sharing!

  94. Online Casino Malaysia says

    Greetings! Very useful advice in this particular post! It is the little changes that will make the biggest changes. Thanks a lot for sharing!

  95. Escorts Near Me says

    Spot on with this write-up, I seriously think this website needs a lot more attention. I’ll probably be back again to see more, thanks for the information.

  96. ounce of weed says

    Aw, this was a very nice post. Taking the time and actual effort to produce a top notch article… but what can I say… I put things off a lot and don’t manage to get nearly anything done.

  97. wabco toolbox software says

    Pretty! This has been a really wonderful post. Thank you for supplying this information.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.