“Waachiwe Huru Sio Magaidi”

Kesi ya ndugu zetu Ustadh Ramadhan Moshi, Waziri Suleiman na Omar Salum imetajwa leo tarehe 02 Januari 2019, inatajwa tena tarehe16 Januari 2019.
Tuendelee kuwaombea dua ndugu zetu hao ambao bado wapo katika mikono ya dhulma na uonevu.
Tunamuomba Allah Taala Awakomboe wao na Waislamu wote kutoka katika uonevu na dhulma.
Amiin…
#WaachiweHuruSioMagaidi

Maoni hayajaruhusiwa.