Ujumbe Kutoka Hizb Ut Tahrir Tanzania Kwenda Kwenu Wanajeshi Katika Biladi Ya Misri, Jordan, Syria, Uturuki, Saudia N.K

بسم الله الرحمن الرحيم

Enyi majeshi katika biladi za Kiislam! Gaza imeshateketezwa na sasa ni Lebanon, Je mnasubiri nini kutoa nusra?

Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa Mayahudi wakibebwa na Marekani na nchi nyingine za magharibi wanaendelea kufanya mauaji ya halaki, kubomoa majengo na miundombinu ya Gaza.

Kama hiyo haitoshi adui ameendelea kufanya mauaji kama hayo katika ardhi ya Lebanon na kushambulia Iran na Syria. Ni udhalili gani huu ambao ninyi majeshi mnaupa ummah wa kiislam na pia nafsi zenu  kwa kuacha kuchukuwa hatua? Ndani ya mwaka mmoja ardhi sita za Kiislam zimeshambuliwa; Palestina, Lebanon, Syria, Iran, Iraq, na Yemen.

Kadhia hii ina pande mbili. Upande mmoja ni upande wa maadui wa Uislamu na upande mwingine ni upande wa Ummah wa Kiislam. Je ninyi mtasimama upande gani? Je fungamano letu siyo fungamano la kiaqidah? Mnadhani mpo salama na kwamba maadui hawataendelea kuzishambulia ardhi nyingine za Waislamu na pia kuwashambulia ninyi? Laa! adui hashibi. Na dawa yake ni mtutu tu na siyo kusalimu amri.

Mpaka sasa zaidi ya watu 42, 000 au kama vyanzo vyengine visemavyo karibu laki mbili wameuwawa Gaza huku idadi nyingine ya watu elfu saba au isiyofahamika wapo chini ya vifusi. Watu zaidi ya laki moja wamejeruhiwa. Zaidi ya makaazi asilimia themanini ya Gaza yamebomolewa.

Amma waliohai wamekuwa wakihama hama huku na huko wakizingirwa na kuzuiwa kufikiwa na misaada. Hakuna chakula, maji, wala huduma ya matibabu. Wanakufa kwa njaa. Karibu Hospitali zote zimebomolewa.

 Enyi majeshi katika biladi za kiislam! Je hawa sio ndugu zenu?

Misikiti zaidi ya 600 imebomolewa. Bila shaka hivi ni vita vya wazi dhidi ya Uislam.

Enyi majeshi katika biladi za Kiislam! Je siyo fakhari kwa Muislamu kupata ushindi katika uwanja wa jihad au kufa shahidi? Je kuacha jihad katika hali hii siyo miongoni mwa madhambi makubwa yenye kuangamiza?

Adui bado ana kiu ya kumwaga damu tukufu  ya waislam. Baada ya kubomoa majumba hajatosheka anaendelea kulipua mahema ambapo watu wamejihifadhi.

 Enyi majeshi ya kiislam katika biladi za Kiislamu! mkiacha kuwanusuru ndugu zenu hawa, ni nani atakaye wanusuru?

يَاأَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَا لَكُمْ إِذَا قِيلَ لَكُمُ ‌انْفِرُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ اثَّاقَلْتُمْ إِلَى الْأَرْضِ أَرَضِيتُمْ بِالْحَيَاةِ الدُّنْيَا مِنَ الْآخِرَةِ فَمَا مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا فِي الْآخِرَةِ إِلَّا قَلِيلٌ (٣٨) إِلَّا تَنْفِرُوا يُعَذِّبْكُمْ عَذَابًا أَلِيمًا وَيَسْتَبْدِلْ قَوْمًا غَيْرَكُمْ وَلَا تَضُرُّوهُ شَيْئًا وَاللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ(9:39)

“Enyi mlioamini! Mnanini mnapoambiwa tokeni katika njia ya Allah” mnajitia uzito katika ardhi? Je mmeridhia uhai wa Duniani kuliko Akhera. Haukuwa uhai wa Duniani ila ni starehe kidogo.

 Msipotoka Allah atawaadhibu adhabu kali kisha atawaleta watu wengine. Wala hamtamdhuru Allah chochote, na Allah ni muweza wa kila kitu”.(9:39).

Wala msiogope lolote enyi wanajeshi wapenzi katika biladi kubwa za Kiislamu, kwni Ummah mzima upo nyuma yenu na jeshi la Allah ndilo lenye kunusuriwa na kushinda siku zote.

وَإِنَّ جُندَنَا لَهُمُ الْغَالِبُونَ(37:178)

“Na hakika jeshi letu ndio lenye kushinda” (38:178).

 

#KhilafahNdioMkombozi

Maoni hayajaruhusiwa.