Sheikh Essam Amirah Yuko Huru

Alhamdulillah, Sheikh Essam Amirah, Mwanachuoni mkubwa wa Ummah aliyeko Al-Quds (Palestina) aliyetiwa nguvuni jana na utawala wa kijidola cha Mayahudi ameachiwa huru.

Sheikh Essam ambae ni mlinganizi kupitia Hizb ut Tahrir ni Mwanachuoni shujaa na jasiri katika kukosoa watawala waovu na kulingania kurejeshwa tena kwa dola ya Khilafah Rashidah.

Allah Taala Amnusuru na kumlinda kwa hili na jengine, Awakaomboe Waislamu wote katika mikono ya madhalimu. Na kuwaangamiza madhalimu

Amiin

Maoni hayajaruhusiwa.