Ramadhani Inatuwajibisha Kujifunga na Mfumo wa Kiislam

188

Allah Taala anasema:

شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِنْ الْهُدَى وَالْفُرْقَانِ

“Ni mwezi wa Ramadhani ndio ambao imeteremshwa humo Qur’an kuwa ni uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi”

(TMQ 2:185)

Allah Taala katika Aya hii amesifu Qu’ran kuwa ni  Muongozo kwa watu

(هُدًى لِلنَّاسِ Hii ni zaidi ya kuwa ni muongozo kwa wacha mungu tu. هُدًى لِلْمُتَّقِينَ

Ikiwa hapa quran imetajwa kuwa ni muongozo kwa watu wote, kuna haja ya kujiuliza swali. Vipi quran itakuwa muongozo kwa kafiri ambaye haiamini wala haswali, hafanyi ibada ya hijja wala hafungi? Vipi inamuongoza?

Hakika qur’an itakuwa ikimuongoza kafiri kwa khiyari au kwa nguvu katika maisha yake kuanzia uchumi, siasa, jamii, elimu nk. Kwani makafiri wote hulazimishwa kufuata sheria za Kiislamu katika maisha yao yote ya kila siku chini ya Dola.  Na dola ya kiislamu (Khilafah) ina wajibu  kuwalazimisha makafri wote  kufuata sheria za Kiislamu isipokuwa zile ambazo Uislamu umekuja kuzivua. Kama vile swala, swaum, hijja nk. Kwani ibada hizi kutekeleza kwake sharti msingi kwa mtekelezaji awe na imani ya Kiislamu, na wao makafiri hawana imani. Hivi ndivyo alivyofanya Mtume (SAAW) katika kuamiliana na makafiri dhimmiy na ndivyo vivyo hivyo wanavyofanya makafiri mabepari leo kutulazimisha Waislamu kufuata sheria zao za maisha  na kutubakishia mfumo wetu katika mambo ya kiroho tu kama funga, hijja, swala, ushauri nasaha katika masuala ya ndoa na mirathi (ukadhi) nk. Ubepari unayafanya haya kwa kuwa hii ni moja katika sifa muhimu na ya lazima ya mfumo wowote kama tutakavyofafanua mbele. Sifa ya kulazimisha watu wote kuwa chini ya sheria na sera za mfumo unaoubeba.

Kwa kuwa quran imeteremshwa katika mwezi huu wa Ramadhani ni wazi imekuja na tangazo la mfumo kamili wa Kiislamu. Aidha, Ramadhani ina uhusiano wa moja kwa moja na mfumo wetu wa Kiislamu kwa umma wa Kiislamu, kinyume na ambavyo baadhi ya walinganiaji (si wote) kimakosa hufupisha mawaidha yao katika mwezi huu wa Ramadhani kwa kuonesha tu ubora wa saumu, kusoma quran, qiyamu-layli, kutoa swadaqa nk. Bila ya kutanua ufafanuzi wao hadi kufikia ufahamu sahihi wa mfumo mzima uliokusudiwa ndani ya aya iliyogusia kuteremshwa Muongozo.

Katika hali kama hii ni wajibu kuweka ufahamu sahihi juu ya tamko la mfumo wa maisha wa Kiislamu. Kwa bahati mbaya wengi katika Waislamu hususan maduati (walinganiaji) wamekuwa wakitumia tamko hili la mfumo wa maisha wa Kiislamu, lakini kwa maana fupi, finyu na isiyokamilika kinyume na inavyotakikana kufahamika na kulinganiwa kwa mujibu wa Uislamu. Wengi huishia tu Uislamu ni mfumo kamili wa maisha, lakini mifano wanayoitoa bado haifikii maana halisi na pana ya tamko la mfumo. Wengi huishia kutoa mifano ya Uislamu namna unavyofundisha kula, kunywa, kwenda haja, kuvaa nguo, kufanya jimai na dua kadhaa wa kadhaa. Kwa ufahamu wao huo huona hii ndio maana kamili ya kuwa Uislamu ni mfumo kamili tangu Muislamu anapotoka usingizini, anaposhinda mchana mpaka anaporudi tena usiku kulala.

Ni kweli kwamba haya ni katika sehemu ya mfumo wa Kiislamu. Lakini bado hayajakamilisha maana halisi ya tamko ‘mfumo’ kwa kuwa hayo hayakuhusisha sehemu muhimu ya uchumi, siasa  za ndani, siasa za nje, vita,  mahusiano ya mikataba na nchi za kikafiri, fedha ya nchi (sarafu) ambayo  chini ya Dola ya Khilafah lazima iwe ni dhahabu au fedha na wala si fedha ya karatasi kama ilivyo leo isiyokuwa na thamani ya dhahabu wala fedha, sera ya viwanda ambapo Uislamu  unalazimisha viwanda vyake lazima viwe na sura ya kivita, hata kama ni viwanda vya kutengeneza wanja, pipi au sabuni. Na watalazimishwa wamiliki wa viwanda hivyo kuwa na mikakati hadi kufikia kutengeneza silaha kali kutoka kwenye bidhaa kama sabuni, wanja,pipi nk.

Aidha, kuna wanaokwenda kombo zaidi na ufahamu wa mfumo, kwa kukiri kijanja kuwa Uislamu ni mfumo kamili wa maisha, na hautenganishi kati ya dini na dunia. Lakini wanakusudia kuwa Uislamu unaruhusu kuchukuwa sera na hukumu za mifumo mingine inayotokamana na tungo za binadamu.   Walinganiaji hawa wanatenda uovu zaidi kwani wanaonesha kuwa Uislamu una mapungufu na unahitaji kukopa na kuchukua baadhi ya sera na taratibu kutoka katika mfumo wa kitwaghuuti wa kidemokrasia. Madai/walinganiaji hawa wanashindwa kutofautisha kati ya hadhara na madaniyah ambapo huku ni kuchanganyikiwa kwa kushindwa kujua kipi kinajuzu kuchukua kutoka kwa makafiri, na kipi hakifai kuchukuwa. Wakati mwengine utawasikia wakisema mbona tunatumia simu, computer na magari? Je Mtume SAAW angelikuwa hai angekataa kutumia vitu hivi? Ni wazi walinganiaji hawa wanashindwa kutofautisha kati ya masula ya kifikra, falsafa na sera za kikafiri (hadhara) na vitu vya kimada ambavyo maumbile yake ni vya kimatumizi tu bila ya kuwa na fungamano lolote na mfumo au imani  fulani (vitu vya madaniya).

NINI MFUMO?

Mfumo ni nidhamu ya maisha ambayo inatokana na itikadi maalumu, na itikadi hiyo huzaa nidhamu za maisha kwa walioamini mfumo huo, na pia hutabikishwa hata kwa wasiouamini mfumo huo. Nidhamu hizo huwa   katika nyanja za elimu, siasa, jamii, uchumi, utawala, ibada  nk.  Na endapo kuna imani/dini ikawa imekosa nidhamu za maisha kutoka ndani ya imani hiyo. Dini hiyo huwa  si mfumo wa maisha, bali inakuwa dini tu. Kama zilivyo imani/dini za ukristo, uyahudi, ubaniyani,ubudha nk. Dini hizi hujihusisha na fungamano la mtu na Mola wake tu bila ya kuwa na masuluhisho yoyote katika maisha ya kila siku.

Je kuna mifumo mingapi?  Mifumo ni mitatu: Uislamu, ubepari (demokrasia) na ujamaa (ukomunisti)

Hii mifumo miwili ya ubepari na ukomunisti ni tungo za binadamu na ni ukafiri. Na kila mmoja una chanzo chake na historia yake.  Amma Uislamu ndio mfumo wa haki ambao Allah Taala aliuteremsha kupitia Mtume wetu Muhammad (SAAW) ili uwaongoze watu wote mpaka Siku ya Kiama.

Sifa muhimu na za lazima kwa mfumo: Kwanza, uwe wa kilimwengu yaani huanza sehemu fulani kisha kujitanua kwa vita/jihadi au diplomasia ). Pili, uwe una matatuzi/ masuluhisho ya kila nyanja za maisha. Tatu, una tabia ya kujilinda, kujitetea na kujihifadhi. Na mwisho, mfumo lazima ufanye ulinganizi kwa watu wengine.

Hivyo, Aya inayozungumzia juu ya kushushwa Muongozo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani maana yake inatutaka tuubebe mfumo wetu wa Kiislamu kwa ufahamu huo tulioufafanua.

Ust. Ramadhan Moshi

188 Comments
  1. Also I ve shared your site in my social networks!

  2. Live TV says

    Definitely what a great blog and instructive posts I definitely will bookmark your site.All the Best! .Live TV

  3. william hill tv free stream says

    Thank you for great content. look forward to the continuation.-shopping queen verpasst ganze folge kostenlos online sehen

  4. hot deals says

    Very nice blog post. definitely love this site.9-in-1 Baby Grooming Kit Newborn Girl

  5. hey dude says

    Nice post. learn something new and challenging on blogs I stumbleupon on a daily basis. – kids hey dudes

  6. jordan air jordan 1 high says

    But wanna say that this really is quite helpful Thanks for taking your time to write this.

  7. see this here says

    I’m noting down the information you’ve shared, thank you! see this

  8. lista escape roomów says

    hello there and thank you for your info – I’ve certainly picked
    up something new from right here. I did however expertise a few technical points using this site, since I experienced to reload
    the web site lots of times previous to I could get it to load properly.
    I had been wondering if your web hosting is OK?
    Not that I’m complaining, but slow loading
    instances times will very frequently affect your placement
    in google and could damage your quality score if ads and marketing with
    Adwords. Anyway I am adding this RSS to my email and
    can look out for a lot more of your respective intriguing
    content. Make sure you update this again soon..
    Escape room lista

  9. Dewey.R says

    I like this blog very much, Its a really nice berth to read and receive information.!

  10. rent to own houses says

    Howdy! This article couldn’t be written any better! Looking through this post reminds me of my previous roommate! He always kept talking about this. I’ll forward this information to him. Pretty sure he’ll have a good read. Many thanks for sharing!

  11. mold removal says

    Great information. Lucky me I discovered your blog by accident (stumbleupon). I’ve saved as a favorite for later.

  12. Mushroom chocolate bar says

    Oh my goodness! Impressive article dude! Thanks, However I am encountering troubles with your RSS. I don’t know the reason why I cannot subscribe to it. Is there anybody getting the same RSS issues? Anybody who knows the solution will you kindly respond? Thanks.

  13. wedding dress says

    Very good post. I absolutely love this website. Stick with it!

  14. klikx in London says

    This is a topic which is close to my heart… Many thanks! Where can I find the contact details for questions?

  15. Att Venom says

    It’s nearly impossible to find well-informed people in this particular topic, however, you sound like you know what you’re talking about! Thanks

  16. Buy Steroids in Europe says

    Right here is the right blog for anybody who wants to find out about this topic. You understand so much its almost tough to argue with you (not that I personally would want to…HaHa). You definitely put a fresh spin on a subject that’s been written about for a long time. Wonderful stuff, just great.

  17. Cimarron Pistolero Revolver says

    I was able to find good info from your blog articles.

  18. Greetings! Very helpful advice within this article! It is the little changes which will make the biggest changes. Thanks for sharing!

  19. fleece jacket manufacturer says

    Aw, this was a very nice post. Taking the time and actual effort to produce a great article… but what can I say… I procrastinate a whole lot and never manage to get nearly anything done.

  20. muruku says

    This is a good tip particularly to those fresh to the blogosphere. Brief but very accurate info… Thanks for sharing this one. A must read article!

  21. porn says

    Good blog you have got here.. It’s difficult to find excellent writing like yours nowadays. I honestly appreciate individuals like you! Take care!!

  22. funny sticker says

    You ought to be a part of a contest for one of the best blogs on the web. I am going to recommend this website!

  23. iptv says

    Excellent write-up. I certainly appreciate this site. Keep it up!

  24. iptv says

    You are so cool! I do not suppose I’ve truly read something like that before. So great to find someone with a few genuine thoughts on this issue. Really.. thanks for starting this up. This web site is one thing that’s needed on the internet, someone with some originality.

  25. iptv says

    Hi there! I simply would like to give you a huge thumbs up for your great info you have right here on this post. I am returning to your site for more soon.

  26. iptv says

    A fascinating discussion is worth comment. I do think that you need to publish more on this issue, it may not be a taboo subject but typically people don’t speak about these subjects. To the next! Many thanks!

  27. iptv says

    I blog frequently and I really appreciate your information. This great article has truly peaked my interest. I will book mark your site and keep checking for new information about once a week. I subscribed to your RSS feed too.

  28. iptv says

    This website was… how do I say it? Relevant!! Finally I have found something which helped me. Thank you!

  29. iptv says

    You have made some decent points there. I checked on the web for more info about the issue and found most people will go along with your views on this website.

  30. Slot says

    After looking at a few of the blog posts on your web page, I seriously appreciate your technique of writing a blog. I saved as a favorite it to my bookmark webpage list and will be checking back soon. Take a look at my website as well and let me know how you feel.

  31. 33win says

    Hello there! This blog post couldn’t be written much better! Looking through this post reminds me of my previous roommate! He continually kept preaching about this. I most certainly will forward this post to him. Fairly certain he will have a very good read. Many thanks for sharing!

  32. M88 says

    Very good info. Lucky me I recently found your website by chance (stumbleupon). I’ve bookmarked it for later!

  33. shakibalhasan says

    Spot on with this write-up, I absolutely believe that this web site needs a great deal more attention. I’ll probably be back again to see more, thanks for the advice!

  34. rikviptours says

    I used to be able to find good advice from your blog posts.

  35. mibet says

    Having read this I believed it was extremely informative. I appreciate you taking the time and energy to put this information together. I once again find myself personally spending a lot of time both reading and leaving comments. But so what, it was still worthwhile!

  36. nhacai123dzo says

    Very nice article. I certainly appreciate this website. Keep it up!

  37. 6623one says

    You’re so interesting! I don’t suppose I have read a single thing like that before. So wonderful to find another person with original thoughts on this issue. Really.. many thanks for starting this up. This website is one thing that’s needed on the internet, someone with a little originality.

  38. mibet says

    You have made some good points there. I checked on the internet for more info about the issue and found most people will go along with your views on this website.

  39. iptv says

    May I just say what a relief to uncover somebody that really understands what they’re talking about online. You definitely know how to bring an issue to light and make it important. A lot more people should check this out and understand this side of the story. I was surprised that you’re not more popular because you definitely possess the gift.

  40. baby hair accessories says

    Everything is very open with a clear explanation of the challenges. It was definitely informative. Your website is very helpful. Thanks for sharing!

  41. top88bet says

    Greetings! Very helpful advice within this post! It’s the little changes which will make the largest changes. Many thanks for sharing!

  42. Whitescreen48 says

    I must thank you for the efforts you have put in writing this blog. I am hoping to see the same high-grade content from you in the future as well. In fact, your creative writing abilities has encouraged me to get my very own site now 😉

  43. Long Island NY says

    Next time I read a blog, Hopefully it does not fail me just as much as this particular one. I mean, I know it was my choice to read through, however I actually thought you would have something interesting to say. All I hear is a bunch of moaning about something you can fix if you were not too busy looking for attention.

  44. Backpage Alternative says

    Very good article. I absolutely love this website. Thanks!

  45. Greetings, I do believe your blog could possibly be having web browser compatibility problems. Whenever I take a look at your blog in Safari, it looks fine however, if opening in IE, it has some overlapping issues. I merely wanted to provide you with a quick heads up! Apart from that, wonderful site!

  46. custom baggy jeans says

    An outstanding share! I’ve just forwarded this onto a colleague who had been conducting a little research on this. And he in fact ordered me lunch because I discovered it for him… lol. So allow me to reword this…. Thanks for the meal!! But yeah, thanks for spending the time to talk about this matter here on your blog.

  47. Whitescreen55 says

    This is the right webpage for everyone who wants to understand this topic. You realize a whole lot its almost hard to argue with you (not that I actually would want to…HaHa). You certainly put a fresh spin on a topic which has been written about for many years. Excellent stuff, just wonderful.

  48. hellcase promo codes says

    Spot on with this write-up, I truly feel this amazing site needs a lot more attention. I’ll probably be back again to read through more, thanks for the info.

  49. bokep jepang says

    Nice post. I learn something totally new and challenging on websites I stumbleupon on a daily basis. It will always be helpful to read content from other writers and use a little something from other sites.

  50. ngentot says

    There’s certainly a great deal to learn about this issue. I love all the points you made.

  51. live video chat says

    This site really has all the info I wanted concerning this subject and didn’t know who to ask.

  52. good88 says

    I would like to thank you for the efforts you’ve put in penning this blog. I’m hoping to check out the same high-grade content from you later on as well. In truth, your creative writing abilities has encouraged me to get my own, personal site now 😉

  53. fun88 says

    Next time I read a blog, Hopefully it does not disappoint me as much as this particular one. I mean, I know it was my choice to read, nonetheless I genuinely believed you’d have something helpful to talk about. All I hear is a bunch of complaining about something you could possibly fix if you were not too busy seeking attention.

  54. jeans factory says

    The very next time I read a blog, I hope that it doesn’t disappoint me just as much as this one. After all, I know it was my choice to read, nonetheless I actually thought you would probably have something interesting to say. All I hear is a bunch of moaning about something that you could fix if you weren’t too busy seeking attention.

  55. Great information. Lucky me I recently found your website by accident (stumbleupon). I’ve saved as a favorite for later.

  56. shopdecordeals says

    I’m impressed, I must say. Seldom do I encounter a blog that’s both educative and entertaining, and without a doubt, you have hit the nail on the head. The issue is something that too few people are speaking intelligently about. Now i’m very happy I found this in my search for something concerning this.

  57. memek says

    Hi, I do think this is an excellent web site. I stumbledupon it 😉 I’m going to revisit once again since i have saved as a favorite it. Money and freedom is the greatest way to change, may you be rich and continue to guide other people.

  58. ngentot memek says

    An impressive share! I have just forwarded this onto a friend who has been conducting a little research on this. And he actually bought me dinner due to the fact that I found it for him… lol. So allow me to reword this…. Thank YOU for the meal!! But yeah, thanx for spending time to discuss this issue here on your blog.

  59. ngentot says

    Greetings! Very useful advice within this post! It’s the little changes that produce the most significant changes. Thanks a lot for sharing!

  60. Craigslist Alternative says

    The next time I read a blog, Hopefully it doesn’t disappoint me just as much as this one. I mean, I know it was my choice to read through, but I actually thought you would probably have something useful to say. All I hear is a bunch of whining about something you can fix if you weren’t too busy searching for attention.

  61. Post Free Classified Ads says

    Good post. I learn something new and challenging on sites I stumbleupon every day. It will always be useful to read articles from other writers and practice something from their websites.

  62. It’s difficult to find well-informed people on this subject, however, you seem like you know what you’re talking about! Thanks

  63. xing fei says

    Greetings! Very useful advice within this article! It’s the little changes that produce the biggest changes. Many thanks for sharing!

  64. betvisa says

    This is a very good tip especially to those new to the blogosphere. Short but very accurate information… Many thanks for sharing this one. A must read article.

  65. Marketplace Facebook says

    This is the perfect blog for everyone who would like to understand this topic. You know so much its almost tough to argue with you (not that I personally will need to…HaHa). You certainly put a brand new spin on a topic which has been discussed for years. Wonderful stuff, just great.

  66. I was able to find good information from your blog articles.

  67. the jinx lover release date says

    This blog was… how do you say it? Relevant!! Finally I’ve found something which helped me. Kudos!

  68. An interesting discussion is worth comment. There’s no doubt that that you should write more on this subject matter, it may not be a taboo matter but generally people do not speak about these subjects. To the next! Many thanks.

  69. make my heart smile 2021 says

    Hi, I do believe this is an excellent site. I stumbledupon it 😉 I’m going to return once again since I book marked it. Money and freedom is the greatest way to change, may you be rich and continue to help other people.

  70. I love looking through an article that will make people think. Also, thanks for allowing me to comment.

  71. never say goodbye 2021 says

    Excellent blog you have got here.. It’s difficult to find high-quality writing like yours these days. I seriously appreciate individuals like you! Take care!!

  72. an old magic says

    Pretty! This was an incredibly wonderful article. Many thanks for supplying this info.

  73. After going over a few of the blog articles on your web site, I really appreciate your technique of blogging. I saved it to my bookmark site list and will be checking back in the near future. Please check out my web site as well and let me know your opinion.

  74. It’s nearly impossible to find well-informed people for this subject, however, you sound like you know what you’re talking about! Thanks

  75. my girlfriends boyfriend says

    You’ve made some really good points there. I checked on the web for more information about the issue and found most people will go along with your views on this website.

  76. Hi there! This post couldn’t be written much better! Going through this article reminds me of my previous roommate! He always kept preaching about this. I will send this post to him. Fairly certain he’ll have a great read. Many thanks for sharing!

  77. dog food scoop says

    This site really has all the information and facts I needed about this subject and didn’t know who to ask.

  78. Top picks 2024 says

    bookmarked!!, I like your website!

  79. Pastor Adeboye says

    There is certainly a lot to know about this topic. I love all the points you made.

  80. prodronessupply says

    Pretty! This was an extremely wonderful post. Thank you for providing this information.

  81. old-time radio eddie cantor says

    This is a great tip particularly to those fresh to the blogosphere. Simple but very precise info… Thank you for sharing this one. A must read article.

  82. Backpage Washington DC says

    I enjoy reading through an article that will make people think. Also, thank you for allowing me to comment.

  83. You ought to take part in a contest for one of the greatest sites on the internet. I am going to highly recommend this website!

  84. Hotels says

    Everything is very open with a precise explanation of the issues. It was definitely informative. Your website is useful. Thank you for sharing!

  85. PAPER EMBOSSING ROLLER says

    Oh my goodness! Incredible article dude! Thank you, However I am going through problems with your RSS. I don’t know why I am unable to join it. Is there anybody getting the same RSS problems? Anyone who knows the solution can you kindly respond? Thanks!

  86. An interesting discussion is definitely worth comment. There’s no doubt that that you need to publish more on this issue, it might not be a taboo matter but typically folks don’t speak about these issues. To the next! Kind regards!

  87. Nice post. I learn something totally new and challenging on blogs I stumbleupon on a daily basis. It’s always useful to read through articles from other authors and use a little something from other sites.

  88. bad medical says

    This is a great tip particularly to those fresh to the blogosphere. Simple but very precise information… Thanks for sharing this one. A must read article!

  89. 양귀비판매사이트 says

    Your style is so unique in comparison to other people I’ve read stuff from. Thanks for posting when you have the opportunity, Guess I’ll just book mark this blog.

  90. TPower says

    I needed to thank you for this excellent read!! I definitely loved every bit of it. I’ve got you bookmarked to check out new things you post…

  91. 카지노사이트 says

    Greetings! Very useful advice within this post! It is the little changes that produce the most significant changes. Thanks for sharing!

  92. doomovie-free says

    There’s certainly a great deal to find out about this subject. I love all the points you’ve made.

  93. bobres-iptv says

    I love reading a post that can make people think. Also, thanks for permitting me to comment.

  94. Nice post. I learn something totally new and challenging on websites I stumbleupon everyday. It will always be exciting to read through articles from other writers and practice something from their websites.

  95. Online Casino Malaysia says

    I couldn’t refrain from commenting. Well written.

  96. Backpage says

    It’s hard to find educated people about this topic, however, you seem like you know what you’re talking about! Thanks

  97. acheter son code de la route says

    This is a good tip especially to those new to the blogosphere. Brief but very precise information… Many thanks for sharing this one. A must read article!

  98. ounce of weed says

    Having read this I believed it was extremely informative. I appreciate you taking the time and effort to put this information together. I once again find myself personally spending way too much time both reading and commenting. But so what, it was still worthwhile.

  99. You ought to be a part of a contest for one of the best blogs on the internet. I’m going to highly recommend this website!

  100. sky88 says

    Good post! We will be linking to this particularly great post on our website. Keep up the good writing.

  101. Charlie says

    Hey! I’m Charles, and if you’re tired of the 9-to-5 grind and think workplace coffee tastes like anguish, I’ve got good news for you. Invite to the 1K a Day System, where we swap coffee for capital and desks for monetary self-reliance. Are you prepared to trade in your tie for a ticket to liberty? Let’s turbocharge your revenues and have some fun along the method!

  102. phieuguige says

    Can you be more specific about the content of your article? After reading it, I still have some doubts. Hope you can help me. phieuguige-grab-bat-net

  103. 에볼루션 게이밍 says

    I seriously love your site.. Great colors & theme. Did you make this website yourself? Please reply back as I’m hoping to create my very own site and would love to know where you got this from or what the theme is named. Many thanks.

  104. C.Lewis says

    Hey there! I’m Charles. If you’re stuck in a monetary Groundhog Day, duplicating the same battles, let’s break the cycle. The 1K a Day System is your method out, leading you to new early mornings of prosperity and potential. Get up to something fantastic!

  105. In the world of service and investing, success is developed on knowledge, strategy, and foresight. At [Your Financial investment Insights], we’re devoted to offering you with the tools and resources you need to develop wealth and produce opportunities for monetary development. From professional market analysis to individualized financial investment strategies, we provide a range of services designed to help you browse the intricate world of finance with self-confidence. Our group of experienced consultants is here to assist you every action of the method, ensuring that you make notified decisions that align with your goals and goals. Open your financial potential with [Your Investment Insights] With our expertise and commitment to excellence, you’ll be on the course to financial success in no time.

  106. PH POP CASINO says

    Greetings! Very helpful advice within this article! It’s the little changes that make the most important changes. Many thanks for sharing!

  107. Hey there! Just dropping by to give a shoutout to your fantastic blog. Your expertise on making money online are really tremendous. Making money from home has never been more accessible with affiliate promotion. It’s a great way to earn additional income by promoting services you believe in. Your blog is a goldmine of insights for aspiring online entrepreneurs. Keep doing what you’re doing!

  108. Hey there! Just felt like swinging by to let you know how much I admire your blog. Your knowledge on making money online are really remarkable. Earning an income from home has never been easier thanks to affiliate promotion. It’s all about finding the right products to promote and building connections with your audience. Your blog is a goldmine trove of information for up-and-coming affiliate marketers. Keep on the fantastic work!

  109. 스포츠중계 says

    I enjoy reading through an article that will make people think. Also, thanks for allowing for me to comment.

  110. BedPage Washington DC says

    Nice post. I learn something new and challenging on sites I stumbleupon everyday. It will always be interesting to read content from other writers and use something from other websites.

  111. linetogel says

    A motivating discussion is worth comment. I do think that you ought to write more about this topic, it might not be a taboo matter but typically folks don’t speak about such subjects. To the next! Best wishes!

  112. There’s certainly a great deal to find out about this topic. I like all of the points you made.

  113. bongdalu says

    Bongdalu cập nhật tin tức bóng đá nóng hổi, thể thao sôi động và giải trí hấp dẫn

  114. rongbachkim says

    Rồng Bạch Kim – Soi cầu lô chính xác miễn phí chính xác số #1 2024

  115. Free Local Classified Ads says

    bookmarked!!, I really like your site!

  116. mot chill says

    Motchilltv.fyi – Trang web xem phim Online chất lượng Full HD với giao diện thân thiện, trực quan cùng kho phim với hơn 15.000+ bộ phim mới và phim hot hiện nay.

  117. bóng đá lu says

    Bongdalu cập nhật tin tức bóng đá nóng hổi, thể thao sôi động và giải trí hấp dẫn.

  118. You made some good points there. I checked on the web for additional information about the issue and found most people will go along with your views on this web site.

  119. Symbol Records says

    This is a topic that’s near to my heart… Best wishes! Exactly where are your contact details though?

  120. Backpage Alternative says

    Very good info. Lucky me I discovered your blog by chance (stumbleupon). I’ve bookmarked it for later.

  121. redtextilia.org says

    Pretty! This has been an incredibly wonderful post. Many thanks for supplying this information.

  122. disposable weed pen says

    Can I just say what a comfort to find a person that actually knows what they are discussing over the internet. You definitely know how to bring an issue to light and make it important. A lot more people really need to check this out and understand this side of the story. It’s surprising you are not more popular because you definitely possess the gift.

  123. Saved as a favorite, I really like your site!

  124. This website was… how do I say it? Relevant!! Finally I have found something which helped me. Thanks!

  125. live sex says

    That is a good tip particularly to those fresh to the blogosphere. Simple but very precise information… Thanks for sharing this one. A must read post!

  126. Ho88 says

    Hi, There’s no doubt that your blog may be having browser compatibility problems. When I take a look at your web site in Safari, it looks fine however when opening in IE, it’s got some overlapping issues. I just wanted to give you a quick heads up! Aside from that, excellent blog!

  127. KON88 says

    bookmarked!!, I like your site.

  128. Dispensary Near Me says

    This web site certainly has all the information and facts I needed concerning this subject and didn’t know who to ask.

  129. why not check here says

    Fine way of explaining, and fastidious paragraph to take facts concerning my presentation topic, which i am going to convey in college.

  130. 헬로밤 says

    I love it when people come together and share opinions. Great site, stick with it.

  131. moved here says

    En sevdiğim slot oyunu Razor Shark, her zaman büyük kazançlar sağlıyor.

  132. Her hafta yeni slot oyunlarıyla eğlenceyi ve kazancı bir arada yaşıyorum.

  133. casino deneme bonus says

    Yüksek bahislerle Razor Shark’ta oynadığımda her zaman büyük ödüller kazanıyorum!

  134. hop over to this web-site says

    Her gün bu casino’daki slot oyunlarında büyük kazançlar elde ediyorum.

  135. bonus veren site yeni says

    Slot oyunlarının kazanç potansiyeli bu casino’da çok yüksek, şansınızı deneyin!

  136. denemebonusu2023 says

    Bu bahis sitesinin sunduğu deneme bonusu ile kazanmaya başlamak gerçekten harika bir fırsat!

  137. Casino’nun sunduğu promosyonlar futbol bahislerinde ekstra şans sağlıyor!

  138. en güvenilir slot siteleri says

    Casino’nun sunduğu turnuvalar ile ekstra kazançlar kazanmak çok kolay ve eğlenceli!

  139. Slot oyunlarının kazanç potansiyeli bu casino’da gerçekten yüksek.

  140. Bu casino’da oynadığım slot oyunları sayesinde her gün büyük jackpotlar kazanıyorum.

  141. click for more says

    Düşük bahislerle uzun süre oynayarak Jammin’ Jars’ta harika kazançlar elde ettim!

  142. 9 forum bahis deneme bonusu says

    Casino’da slot oynarken kazandığım büyük ödüller sayesinde mutluluğum tarif edilemez!

  143. tam bet giris says

    Futbol bahislerinde strateji yaparak büyük kazançlar elde etmek çok keyifli!

  144. güvenilir siteler says

    En sevdiğim slot oyunlarından biri Rise of Olympus, kazanç potansiyeli çok yüksek!

  145. deneme bonusu veren oyunlar says

    Casino’nun sunduğu bonuslar futbol bahislerinde ekstra kazanç sağlıyor!

  146. webpage says

    Deneme bonusu, bahis dünyasında yeni olanlar için harika bir başlangıç!

  147. bonus deneme says

    Casino’nun sunduğu turnuvalar ile slot oyunlarında ekstra ödüller kazanmak çok kolay.

  148. our site says

    Yeni eklenen slot oyunları sürekli deniyorum, kazanç şansım hiç bitmiyor.

  149. watch stories anonymously says

    I must thank you for the efforts you’ve put in penning this website. I am hoping to view the same high-grade blog posts from you later on as well. In fact, your creative writing abilities has encouraged me to get my own website now 😉

  150. 대구풀싸롱 says

    Hello there! This blog post could not be written any better! Looking at this article reminds me of my previous roommate! He constantly kept preaching about this. I will forward this post to him. Pretty sure he’ll have a good read. Thank you for sharing!

  151. Bahis siteleri deneme bonusu ile crash oyunlarında oynamak çok eğlenceli, özellikle Aviator oynarken!

  152. En sevdiğim slot oyunu Book of Ra, her spin büyük bir kazanç fırsatı sunuyor.

  153. En sevdiğim slot oyunu Big Bass Bonanza, grafikler harika, kazançlar büyük!

  154. kripto ile bahis says

    Deneme bonusu ile bahis yapmak hem kolay hem de kazançlı, herkese tavsiye ederim!

  155. investeren in startups says

    I love reading an article that can make people think. Also, many thanks for allowing for me to comment.

  156. Casino’nun sunduğu turnuvalar ile ekstra ödüller kazanmak çok keyifli.

  157. Viki Stump says

    This web site really has all of the information I needed concerning this subject and didn’t know who to ask.

  158. Casino’nun sunduğu slot turnuvaları sayesinde ekstra ödüller kazanmak çok kolay ve eğlenceli.

  159. deneme veren siteler giris says

    En sevdiğim slot oyunu Dead or Alive II, her spin büyük bir heyecan ve kazanç sağlıyor.

  160. Müşteri desteği 7/24 aktif, her zaman yardımcı oluyorlar.

  161. casino kumar oyunları says

    Bu sitenin sunduğu deneme bonusu ile risksiz bahis yaparak anında kazandım!

  162. freespin veren siteler 2023 says

    Daha önce böyle büyük bir jackpot kazanmamıştım, çok mutluyum!

  163. nakıt bahıs says

    Sitenin oyun seçenekleri inanılmaz geniş, her zaman yeni bir şeyler keşfediyorum.

  164. Deneme bonusu sayesinde para yatırmadan kazanç elde etmek çok kolay!

  165. toptan poşet baskı says

    I’d like to thank you for the efforts you’ve put in writing this website. I’m hoping to view the same high-grade blog posts by you later on as well. In truth, your creative writing abilities has encouraged me to get my own, personal website now 😉

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.