Qur’an Yatapakaa Damu ya Watoto waliouliwa.

Quran ilitapakaa damu ya watoto ambao waliuliwa katika shambulio la anga linaloshukiwa kufanywa na Marekani katika shule ya kiislamu katika eneo la Sakow town, mkoa wa Juba nchini Somalia.

إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
“Sisi wote ni wa allah na kwake yeye tutarejea”

Allah awajaalie waipate pepo ya firdaus, na awape wapendwa wao subra na nguvu na kupambana na madhaalim Ameen.
Waharibifu wa leo na watawala wa kisekula katika nchi za waislamu hawajali Ummah na wala hawashughulishwi na jambo lolote kuhusu ummah. Wanasambaratisha na kutokomeza ummah katika kila eneo pindi wakihisi upinzani katika maslahi yao katika dunia. Wamekubali kutofanya haki na wamekubali ukafiri ili wawaridhishe mabwana zao.

Pamoja na hayo Allah (swt) anasema:

وَإِنْ حَكَمْتَ فَاحْكُمْ بَيْنَهُمْ بِالْقِسْطِ إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ
“Na ikiwa utatoa hukmu ,basi hukumu kwa uadilifu baina yao, kwani hakika Allah anawapenda wenye kufanya haki”
(Ma’idah 42)

Ummah wa kiislamu unahitajia viongozi kama wale tuliokua nao kama Amir wa waumini Umar Ibn Al-Khattab ambao walijali na kuheshimu haki za ummah huu sio tu kwa wanaume na wanawake bali hata ngamia wa ummah huu.
Hatuzikubali serikali za leo za kidemokrasia na viongozi katika ardhi za waislamu.
Tunatoa mwito wa mabadiliko, tunatoa mwito wa urejeshaji wa dola ya kiislamu ya Khilafah kwa kupitia njia ya Utume na kwa Allah tunategemea.

#UislamNiHadharaMbadala

Imetafsiriwa kwenye ukurasa wa AlKhilafah

https://www.facebook.com/646683775466624/posts/1422819587853035/

Maoni hayajaruhusiwa.