Pakistan Yaangamizwa na Demokrasia

16

Kwa hakika, nilazima tufanye kazi Nje ya Demokrasia kwa ajili ya mabadiliko ya kweli
Uchumi wa kibepari unaitumbukiza Pakistan katika madeni
Kudorora kwa sera msingi ni ishara ya kufilisika kiitikadi
Kwa hakika, ni lazima tufanye kazi nje ya Demokrasia kwa ajili ya mabadiliko ya kweli

Mwenyekiti wa Pakistan Tehreek-i-Insaf (PTI), Imran Khan, rasmi alizindua kampeni ya uchaguzi ya chama chake katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji anaotokea wa Mianwali mnamo 24 juni 2018. Ingawa, PTI wamepata mamlaka lakini bado hakuna matumaini ya Pakistani mpya au mabadiliko ya kihakika. Madai ya Imran Khan kwamba anahitajia uchaguzi ili apate mamlaka ni dhihirisho au ushahidi wa wazi kuanguka kwa ushawishi wa demokrasia na mfumo uliopo.
Mfumo wowote na vyama tawala hudai hilo kwa malengo ya kulinda mfumo uliopo. Hii humaanisha, kumshughulisha yoyote yule anaetaka kuuchosha au kuuondoa mfumo huu ulioopo. Au kumhonga na kumnunua baada ya kukubaliana kufata vigezo na masharti ya mfumo uliopo. Hivyo basi, mara baada ya kukubali kufata masharti na vigezo hivyo unakua ni sehemu ya mfumo na kuanzia hapo unakua ni sehemu ya tatizo.
Mifumo ya kisiasa hufanyakazi kwa mujibu wa sheria. Hii humaanisha kwamba, mwishowe hakuna mfumo wa kisiasa unaweza kudumu bila kuungwa mkono na watu.Hivyo, mifumo ya kisiasa na vyama tawala huangazia uungwaji mkono na watu kwa kutumia mbinu tofauti tofauti. Mnamo mwaka 2013 wakati ambapo Imran Khan alikua akiwashawishi wale waliojitenga na siasa na waliochukia mfumo ulioopo ili waweze kumuamini yeye kama chanzo cha mabadiliko.Wengi waliamini anasema kweli. Kumbe alichokua akitafuta ni ridhaa ya mfumo ambao unakufa. Ridhaa hii ililetwa katika mfumo na vijana hawa. Mfumo huu ulipata uhalalisho wake na ndipo sasa Imran khan akapata ushawishi na donge nono. Hivi sasa mfumo unalipa fadhila na kumpa zawadi ya uchaguzi bwana Imran ambao ni muhimu kwake ili apate nguvu kwa kubadilishana na juhudi alizochangia katika mfumo.
Hili ni somo tunalotakiwa kujifunza. Machaguo yetu kuhusu majaliwa ya siasa zetu yana athari kubwa mno. Hamasa zetu pekee hazitoshi; tunahitajia umakini wa kutosha wakati tukifanya machaguo ya kisiasa. Vinginevyo, hamasa zetu zitatumiwa na mfumo uliopo na watawala ili kuundeleza mfumo katika maisha yake.
Ingawa wengi wameondoa uungaji mkono wao kwa PTI ambao wanadhani ndio njia ya kukibadilisha chama, ambacho hakina tofauti na PML-N na PPP hatutakiwi kuruhusu hili au haya yaende bure bure na kuacha funzo hili ambalo lipo wazi. Hakuna mabadiliko kupitia mfumo uliopo. Hauwezi kurekebishika. Hauwezi kutiwa viraka na hauwezi kuboreshwa.
Demokrasia haijawahi kufanya kazi Pakistani. Na kwa uwazi, haijawahi kufanya kazi katika nchi za waislamu kwa mifano hai kwa sababu sio mfumo wetu. Ni mfumo wa kikoloni uliotabikishwa katika ardhi zetu na wakoloni wa kimagharibi. Kwa namna yoyote, masharti ya demokrasia ya kimagharibi hivi sasa ni dhihirisho la wazi kwa yoyote yule anaota ndoto ya kuuchukua na kuufanya ni mfumo tawala.

Njia kuu ya mabadiliko ni kufanya kazi nje ya mfumo huu kwa kutumia mfumo mpya. Sisi waislamu tumebarikiwa kwakua na hazina ya mfumo wetu wa utawala ambao ni Khilafah, mfumo ambao umedhihirisha wazi ustaarabu,ulinzi na usimamiaji wa ulimwengu kwa karne nyingi. Khilafah itasimamishwa Pakistan kwa kupitia msuguano wa kisiasa na kisomi nakuchukua nusra kupitia majeshi ya Pakistan ili kuweza kuondoa kabisa mfumo uliopo na nafasi yake kuchukuliwa na Khilafah.
Uchumi wa kibepari unaididimiza Pakistan katika dimbwi la madeni

Wakati wa ufunguzi wa uchaguzi mkuu 2018 kutoka Mianwali mnamo 24.06.2018, mwenyekiti wa Pakistan Tehreek-i-insaf (PTI), Imran Khan, alikishutumu chama kilichopita cha Pakistan Muslim league – Nawaz (pmL-N) kwa kufilisi nchi katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wake “Hakuna pesa iliobaki kwa ajili ya kuendeshea nchi pia deni la taifa linakua kwa kasi kiasi cha kutolipika” alisema, “Mkopo ya nje imefikia kutoka Rs 13,000 billion hadi Rs 27,000 bn kutoka mwaka 2013 hadi 2018”.

Hakuna shaka kwamba uchumi wa Pakistan unaanguka kutokana na madeni. Kwa hali yoyote, malalamiko yake hayawezi tupiwa serikali iliyopita ya PNM-N. Hii ni kwa sababu kila tawala iliyofanikiwa katika siasa au jeshi ilichangia katika kuongeza deni hilo.Sababu ni kwamba, ingawa Pakistani imeundwa katika jina la uislamu, bali ubepari ndo umekua ukitawalishwa.pia sio Pakistan pekee yenye tatizo la madeni ni nchi zote za kibepari zinatatizo hilo, na zipo nchi zenye madeni makubwa miongoni mwazo ni zile zilizopo katika G-7 mfano Japan,Italy,Canada,France, Britain na Ujerumani ambazo zina jumla ya 234.7,132.5,105.4, 98.8, 96.5, 92.9, 68% madeni kwa ulingano wa GDP.
Deni la Pakistani kwa ulingano wa Gdp ni zaidi ya 70%.
Katika uchumi wa kibepari, deni huongezeka kwa kupitia uharibifu wa mapato ya ummah na dola.
Rasilimali kama nishati na vyanzo vya madini ambavyo ni msingi wa mapato humilikiwa na watu binafsi hata hivyo uislamu umeweka wazi kwamba hizi ni mali za ummah. Pia muundo wa makampuni ya kibepari, akiba shikamano na kampuni za ubia unaruhusu umiliki binafsi kwa ajili ya kujirimbikizia mtaji kwa ajili ya kuendesha viwanda ambavyo pia ni mtaji unaozalisha utajiri mkubwa, mfano telecommunication, viwanda vizito, reli na bandari. Hivyo, katika ubepari, vyanzo kama ummah na dola huharibiwa kisha nchi huingia katika madeni mazito na msururu wa kodi.

Nidhamu ya kiuchumi ya kiislamu itahakikisha inaondoa Pakistan katika mzingiro wa madeni. Uislamu umeweka wazi kwamba oil, gas na vyanzo vya madini kuwa ni mali ya ummah ambazo husimamiwa na dola kwa niaba ya watu. Nidhamu maalum ya muundo wa sheria za makumpuni katika uislamu hauruhusu ubia wa hisa za makumpuni ya ummah hivyo dola haitaingiliwa katika uendeshaji wake, hivyo uislamu utahakikisha na kudhibiti matumizi ya vyanzo vyote vya ummah na dola kama allah (swt) anavyosema,

 ﻭَﻣَﻦْ ﺃَﻋْﺮَﺽَ ﻋَﻦ ﺫِﻛْﺮِﻯ ﻓَﺈِﻥَّ ﻟَﻪُ ﻣَﻌِﻴﺸَﺔً ﺿَﻨﻜﺎً 
“Na yoyote atakae kwenda kinyume na ukumbusho wangu (qur-an) kwa hakika,ataishi maisha magumu sana”

[Taha:124].

Sasa basi, mwanasiasa yoyote anaedai kwamba ataondosha janga la madeni huku bado anaendelea kutawalisha mfumo uliopo wa kibepari huyo anadanganya. Waislamu lazima wawakatae wanasiasa wanamna hiyo na lazima wauondoe na kurejesha upya dola ya Khilafah kupitia njia ya utume. Allah (swt) ameaema,

ﻭَﻟَﻮْ ﺃَﻧَّﻬُﻢْ ﺃَﻗَﺎﻣُﻮﺍْ ﭐﻟﺘَّﻮْﺭَﺍﺓَ ﻭَﭐﻹِﻧْﺠِﻴﻞَ ﻭَﻣَﺂ ﺃُﻧﺰِﻝَ ﺇِﻟَﻴﻬِﻢْ ﻣِّﻦ ﺭَّﺑِّﻬِﻢْ ﻷَﻛَﻠُﻮﺍْ ﻣِﻦ ﻓَﻮْﻗِﻬِﻢْ ﻭَﻣِﻦ ﺗَﺤْﺖِ ﺃَﺭْﺟُﻠِﻬِﻢ 

“Na kama wangelisimamisha torati na injili na yale yalioteremshwa kwao kutoka kwa mola wao [qur-an], kwa yakini wangalikula vya juu yao na vya chini yao na vya chini ya miguu yao”

[Al-Maidah:66].

Uchelewashwaji wa sera msingi ni ishara ya kufilisika kisera
Wakati ambapo uchaguzi mkuu umepangwa kufanyika 25 july 2018, hakuna hata chama kimoja kikubwa cha siasa katika nchi ambacho kimeweka wazi sera msingi kama ilivyoripotiwa na gazeti la Dawn,mnamo 26 june 2018, likiweka wazi udhaifu wao wa kupambana na changamoto zinazoikabili nchi. Sera msingi za chama huchukuliwa kama sehemu muhimu ya kampeni za uchaguzi kwani kupitia hizo ndio vyama huweza kutoa mustakabali wao katika mambo muhimu
Chama tawala na vyama vya kisiasa vya upinzani vinatatizo la kufilisika kisera na ndomaaan havina uwezo wa kutoa suluhisho. Kwa muanguko huu, wakoloni ndio hutoa mustakbali wa sera zote muhimu katika nchi. Uchumi wetu umekamatwa na IMF na benki ya dunia kwa ajili ya kuteka utajrii wote. Sera zetu za nje zinaongozwa na US,pentagon na idara za nchi kwa ajili ya kuhakikisha kuendelea kwa ushawishi wa majeshi ya kimarekani. Sera zetu za kielimu huletwa na UNESCO kwa ajili ya kuharibu bongo za vijana wa kiislamu. Hata kama vyama hivyo vya kisiasa vitachapisha sera msingi bali hwataweza kutekeleza waliyochapisha. Hivyo, tunaona vyama vya kisiasa katika mfumo huu vilivyo katisha matumaini ya watu mara mara kwa kushindwa kuwa na maono angavu.
Katika uislamu, siasa hutizamia mambo ya watu kindani na kinnje kwa kutumia uislamu. Mnamo 25 may, mwezi uliopita, Hizb ut tahrir wilaya ya Pakistan imetoa toleo la tatu la sera zake msingj, kwa ajili ya 1439/2018, Iliyoitwa “Pakistan, khilafah na muungano mpya katika ulimwengu wa kiislamu” Ndani yake Hizb ut tahrir imewaletea waislamu wa Pakistani muundo na maelezo ya msingi kuhusu dola ya kiislamu hivyo basi wana muono wa Pakistani chini ya Khilafah kupitia njia ya utume. Inatoa muongozo katika utawala, uchumi, na nidhamu za kijamii kama vile elimu, mambo ya kigeni, sera za vyombo vya habari kulingana na uislamu. Inashajihisha waislamu wa Pakistan kuisoma , ili wasipigishwe sarakasi na vyama vya kisiasa vya kisekula na kuzidisha juhudi katika kutawaliwa na utawala ambao Allah (swt) ameuleta.
#UislamNiHadharaMbadala

16 Comments
  1. Weweery says

    Inflammopharma 2008 Aug; 16 4 162 7 Ye et al Effect of polysaccharides from Angelica sinensis on gastric ulcer healing cialis 20mg for sale However, melatonin failed to enhance the apoptosis induced by Оі radiation due to the increment of intracellular glutathione

  2. emedanidE says

    За съжаление нашия сайт ви предлага демо версии на най-новите ротативки, на които може да се обучавате как се играе и да правите стратегии за залозите си. Ако искате да играете с реални пари – може да се регистрирате в онлайн казината, които препоръчваме. Бонусът може да бъде повторен по време на бонус игра, но това няма да промени множителя. Ако сте спечелили 15 безплатни завъртания с множител по 3 и повторите бонуса, то вие ще можете да избирате само нов брой безплатни завъртания, които ще се добавят към оставащите до момента. Играта ще се доиграе с множителя, който сте избрали при първото влизане в бонуса. https://future-wiki.win/index.php?title=Казино_сезам Подобно на казино промоцията в 8888 bg, и спортната такава може да ти донесе страхотна безплатна сума от 100% депозит бонус до 888 лв. За да разбереш максималната сума на твоя 8888 бонус, ще трябва да избереш една от четирите топки, които ще се появят при направата на твоя първи депозит. Например, ако изтеглиш топче със сумата 500 лв., изписана на него, това значи, че няма да получиш бонус надвишаващ тази цифра. Начален казино бонус: 1 200 лева и 120 безплатни завъртания

  3. Lak says

    Absolutely! These Fort Collins salon hair treatments are meant to restore the hair and improve its current condition. Recently dyed hair would especially benefit from the additional moisture, minerals, and shine. Give us a call at our hair salon in Fort Collins to discuss the details! Bloom Salon and Med Spa is proficient in providing IV hydration therapy to clients and helps to ensure that your body gets the right amount of hydration, vitamins, and nutrients it requires. Give Your Love: Conditioning treatments are one of the best ways to show our hair the love that it needs! We strain and pull our hair while tied up and brushed, coat our hair with product by giving us product buildup, and use hot tools and chemicals drying our cuticle out even more! We offer Olaplex, and other protein and hydrating treatments, which help improve the integrity of your hair.
    https://wiki-zine.win/index.php?title=Hard_candy_stroke_of_gorgeous_liquid_eyeliner
    “As the name says, this really gives smoky effect to lashes, making them look full but never clumpy and messy. It definitely creates a very long and separated lash effect. My other favourite part of this mascara is the shape of the brush. I can’t insist enough on right makeup tools, and this brush is one of them! It makes for easy application, from your inner corner lashes right to your lower lid lashes. If I’m using false eyelashes on my clients, this mascara is a saviour, as it helps blend natural lashes and falsies without clumping.” A must-try blue drugstore mascara? This is it! It’s a bright, electric blue that will add just the right amount of drama and color to your lashes. I like its formula – it’s so easy to use, and it coats my dark black lashes with enough color to last the day. It did not flake or clump, and neither did it weigh down my lashes – which is a problem I face with a lot of mascaras. I was highly impressed with its dark color pigment that just refused to come off – only an oil-based makeup remover did the trick!

  4. Hoito says

    Kasyno Online Gra Za Darmo – Kasyno Online za Darmo | powitalny do 50 EUR Naturalnie dodatkowo obowiązują Cię ewentualne limity depozytów, jakie może wprowadzić kasyno. Niektóre online kasyna mają dość restrykcyjne limity, dlatego zamian otworzysz konto w kasynie, sprawdź jakie limity wpłat w nim obowiązują. Każde kasyno online na prawdziwe pieniądze powinno mieć dobrą obsługę klienta. Jest to bardzo ważne, ponieważ w razie problemu będziesz musiał skontaktować się z kasynem w wybrany przez siebie sposób. Nie każde kasyno internetowe na prawdziwe pieniądze dba o interes swoich klientów, więc obsługa klientów również nie stoi na najwyższym poziomie. Na naszej liście nie znajdziesz jednak takich kasyn, wszystkie zostały sprawdzone pod tym kątem. Powiemy nawet więcej, strona znajdująca się na naszej liście musi mieć idealną obsługę klienta, w przeciwnym razie się na niej nie znajdzie.
    https://boje-kure.federatedjournals.com/ruletka-gdzie-najlepiej
    Jednak progresywne jackpoty The game awards są z pewnością tym, z charytatywnego bingo i gier lub z wszystkich powyższych. Sugerujemy przeczytanie następującego artykułu, ruletka wirtualna kasyna online bonus bez depozytu możesz zaangażować się w podróży dzięki transmisji na żywo i nie tylko. Kasyna online PlayTech oferują dużą liczbę slotów Marvel, które istnieją w prawdziwym świecie. Oto kilka wskazówek, zostaniesz poproszony o wprowadzenie kodu bonusowego. Teraz możesz grać w 3D slots gry online, więc jest to tylko kwestia wykonania instrukcji na ekranie. Jednym z najpopularniejszych narzędzi Blackjacka wśród graczy online jest kalkulator kursów, musimy wspomnieć również o sekcji Explore.

  5. objes says

    Omnivise Consulting is a professional service provider company headquartered in Melbourne, Victoria offering Information Technology Advisory, Consulting, Implementations and Application Managed Services. We specialise in Service Management solutions, having a diversified combined experience of more than 30 years in various industries. We pride ourselves on our transparent, committed and agile delivery approach to our clients and our ways of working that help us empower our clients to achieve higher performance. POSLOVNO SODELOVANJE Igralnica že ob registraciji ponuja dve vrsti različnih casino online free bonus no deposit promocij. In sicer brezplačne vrtljaje ter bonuse brez pologa. Odlična izbira so Free Spins No deposit. Zato z lahkoto rečemo, da igralnica ponuja najboljše No deposit bonuses promocije z zelo dobrimi možnostmi za dobitke. Poleg No deposit bonuses casino promocij, Spin Samurai ponuja tudi kopico različnih paketov bonusov dobrodošlice, ekskluzivne brezplačne vrtljaje in dodatne promocije, ki so na voljo z uporabo Bonus code kode.
    https://louisccxj925813.blog2news.com/18779055/brezplačna-spletna-igralnica
    Ne glede na to, vsa spletna mesta za igre na srečo v globalni mreži tega razvijalca so vredna zaupanja. Boste imeli veliko boljšo predstavo o tem, potem demo različica je Božji dar. Trenutno je ta skupina uporabljala 41 odstotkov svojih slotov, veliko progresivni jackpots. Do njega lahko dostopate v kateri koli igralnici z dobrim stanjem iz mobilnih naprav ali računalnika, kot tudi fantastično živo trgovec igre. Casino poslovni je razširjena z velikimi omrežji in spletnih mest, ki pogosto izgubljajo in jedo na banki. Zagotovljena je najvišja raven varnosti, tako da je pripravljen na nekaj časa igranja. Obstaja nekaj primerov ljudi, Harareju. Bonusi vam več možnosti za igranje in zmago, letovišču in igralnici v zalivu Carribea.

  6. Rip says

    Jeweils mittwochs und samstags werden die Lottozahlen gezogen. Wer an der Glücks-Lotterie teilnehmen möchte, muss seinen Tippschein für die Samstagsziehung am selben Tag bis 19 Uhr und für die Mittwochsziehung bis 18 Uhr abgegeben haben. Aber Achtung: In einigen Bundesländern endet die Frist bereits eher. Weitere interessante Lotto-News finden Sie auch auf unserer HNA-Themenseite. Gezogen werden die Gewinnzahlen immer samstags ab 19.25 und mittwochs ab 18.25 Uhr – die Ziehung kann per Live-Stream auf lotto.de mitverfolgt werden. Die Ziehung für Lotto Plus findet direkt im Anschluss an die Lotto-Hauptziehung am Mittwoch und Sonntag statt. Sechs Zahlen werden gezogen (ohne Zusatzzahl) und Preise gibt es bei zwischen drei und sechs Richtigen.
    https://jasperpqnl185180.gynoblog.com/17988846/online-casino-mit-hohem-willkommensbonus
    Wer sich nicht sicher ist, welcher Bonus für ihn infrage kommt, findet auf der Webseite unter dem Menüpunkt „Promotions“ den entsprechenden Unterpunkt, der sich mit Fragen und Erklärungen rund um den Sunmaker-Bonus befasst. Dort ist zum Beispiel genau aufgelistet, welcher Betrag eingezahlt werden muss, um welchen Bonus zu erhalten. Auch finden sich hier Angaben darüber, wie oft der Bonus umgesetzt werden muss. Außerdem sind unter dem Promotion-Punkt auch Hinweise zu weiteren Aktionen rund um Sunmaker aufgelistet. Sven Faltin, 1985, Berlin Das Einzige, was an bestimmten Tagen anders sein könnte, ist die Spielatmosphäre. Am Wochenende spielen Menschen am meisten, was eine besonders unterhaltsame Atmosphäre schafft. Jedoch bleiben die Gewinnwahrscheinlichkeiten unverändert. Achten Sie nur darauf, welche Auszahlungsraten die Slot-Maschinen haben, und wählen Sie Spiele mit den höchsten Quoten. Auf solche Weise werden Sie die besten Gewinnmöglichkeiten genießen.

  7. GrEct says

    РњС‹ РѕСЃСѓС‰РµСЃС‚вляем доставку товаров напрямую РёР· РљРѕСЂРµРё РІ Р»СЋР±СѓСЋ точку РјРёСЂР° как обычной почтой, так Рё экспресс-доставкой EMS. Тушь понравилась, классная, ресницы РЅРµ склеивает, деточка удобная…↑ Легендарная тушь Lash Sensational – настоящий бестселлер РѕС‚ Maybelline, который завоевал любовь покупательниц Рё тысячи восторженных отзывов, РѕРЅР° РІС…РѕРґРёС‚ Рё РІ рейтинг лучших тушей для ресниц 2022. Согласно исследованиям, РјРЅРѕРіРёРµ девушки покупают тушь Maybelline СЃРЅРѕРІР° Рё СЃРЅРѕРІР°, даже РЅРµ РїСЂРѕР±СѓСЏ РґСЂСѓРіРёРµ бренды. Lash Sensational – для тех, РєРѕРјСѓ нужен СЏСЂРєРёР№ Рё выразительный макияж РїСЂРё небольших вложениях.
    https://judahulyk138257.theideasblog.com/17378547/капиллярная-подводка
    Растительные масла для укрепления ресниц отлично подойдет. Уже через две недели будет виден первый положительный результат. Средства, используемые для укрепления ресниц в домашних условиях должны быть натуральными. Длинные густые ресницы – неотъемлемая составляющая женской красоты. Выразительные глаза в обрамлении пушистых ресничек всегда привлекают к себе внимание, очаровывают и завораживают. Поэтому представительницы прекрасного пола часто задаются вопросом – как укрепить ресницы и улучшить их рост?

  8. whino says

    “SPГ–-Urgestein” Franz KГ¶fel ist seit 50 Jahren Mitglied der Sozialdemokratischen Partei und wurde vor kurzem geehrt. Im November 1972 trat der junge Justizwachebeamte Franz KГ¶fel als Mitglied in die Tiroler SPГ– ein. Ein halbes Jahrhundert spГ¤ter feiert der in in Klagenfurt geborene und seit 1968 in Tirol lebende Franz KГ¶fel seine 50-jГ¤hrige ParteizugehГ¶rigkeit, die wohl nicht alltГ¤glich ist. “50 Jahre sind eine lange Zeit und Mitglieder mit einer so langen ZugehГ¶rigkeit kann wohl keine Partei… Гњblicherweise gilt Poker als ein Spiel fГјr 2 bis 7 Spieler, je mehr, desto besser – die ideale Spielerzahl ist 6 oder 7. Einige Varianten kГ¶nnen jedoch auch mit mehr als sieben Spielern gespielt werden, und einige sind auch fГјr weniger Spieler geeignet – sogar fГјr nur zwei (“Heads-up”). Das Austeilen und das Ausspielen der Karten erfolgt im Uhrzeigersinn.
    https://jasperjhzt876543.idblogmaker.com/17128805/pokerliga
    Nur wenige Tage nach dem Abzug russischer Truppen ist der ukrainische PrГ¤sident Wolodymyr Selenskyj in die befreite GroГџstadt Cherson gereist. Er wollte den Menschen seine persГ¶nliche UnterstГјtzung zeigen – und die Emotionen seiner Landsleute spГјren. Bitte gib eine Quittungsnummer ein. Gewinne unter € 1.000,10 kannst du auch ganz einfach in deiner Trafik und Annahmestelle gegen Vorlage bzw. Ausfolgung der Originalquittung abholen. Gib deine EuroMillionen Tipps im Team ab und vervielfache deine Chance auf einen gemeinsamen Millionengewinn! Beim Lotto 6 aus 45 zu gewinnen ist wahrscheinlicher als bei allen anderen groГџen europГ¤ischen Lotterien. Mit einer Wahrscheinlichkeit von 1 zu 8.145.060 liegen deine Chancen hГ¶her als beispielsweise bei der Lotterie Euromillionen, wo die Chance bei circa 1 zu 140 Millionen liegt. Einen „Dreier“ beim Zahlenlotto 6 aus 45 zu erzielen, ist mit einer Wahrscheinlichkeit von 2,2% mГ¶glich. Die Chance auf vier Richtige liegt bei 0,14 %, ein korrekter 5er-Tipp kommt mit einer Wahrscheinlichkeit von 0,0029% vor.

  9. Zef says

    Come vedere tutte partite del campionato Serie A di calcio in diretta TV? Giornata per giornata, ecco quali sono gli orari e le emittenti DAZN e Sky che in base alla programmazione in palinsesto trasmetteranno le partite di Serie A oggi in TV. Scegli l’abbonamento su misura per te Lo Spezia è rimasto imbattuto nelle ultime quattro partite di campionato (1V, 3N) e non ha mai fatto meglio in una singola stagione di Serie A (quattro risultati utili consecutivi anche nel febbraio 2022). Quotidiano telematico. Registrato al n.12/2015 del 21 gennaio 2015 Tribunale di Roma. Direttore Emanuela Valente. L’indennizzo per gli utenti che hanno subito il disservizio, ossia il rimborso del 25% dell’abbonamento sottoscritto come previsto dalle regole fissate da Agcom,  avverrà attraverso accredito dell’importo secondo le modalità di pagamento prescelte da ciascun cliente oppure mediante rilascio di voucher.
    https://mentor.unibuc.ro/forums/user/risultato-coppa-italia/
    Si ritorna in campo con la quindicesima giornata di Serie A: è tempo del match tra Milan e Fiorentina, orario e dove vederla in tv ÁREAS DE ATUAÇÃO I bookmakers hanno aperto il gioco su Milan-Fiorentina con una quota iniziale di 1.72 sulla favorita in casa, prezzo che non si è mossa nelle ora successive. Questa condizione di quota di apertura in Serie A ci riporta a 130 risultati salvati dall’algortimo di Sbostats. Si ritorna in campo con la quindicesima giornata di Serie A: è tempo del match tra Milan e Fiorentina, orario e dove vederla in tv Pur senza voler apparire direttamente, di sicuro l’idea non dispiacerebbe a Higuain, che evidentemente soffre il Milan e la sua mancanza di gioco. Per il momento, a parte qualche spiffero dall’entourage, non ha mai apertamente espresso la sua contrarità a proseguire l’avventura in rossonera. Ma è chiaro che, in queste situazioni, ci viuole chi muova il primo passo: a quel punto, di sicurto Higuain non si opporrebbe, anzi. Non può però essere lui a fare la prima mossa: se poi il trasferimento per qualche motivo non si concretizzasse, per luile porte del Milan sarebbero definitivamente chiuse anche a prescindere dalla titolarità del contratto.

  10. I truly appreciate your technique of writing a blog. I added it to my bookmark site list and will

  11. Live TV says

    I do not even understand how I ended up here but I assumed this publish used to be great .<a href="https://www.cse.google.ch/url?sa=t

  12. it’s awesome article. look forward to the continuation.-empfange nur hd sender keine normalen

  13. crazy hot deals says

    You’re so awesome! I don’t believe I have read a single thing like that before.AMD Ryzen 7 5700X3D 8-Core 16-Thread Desktop Processor – Hot Deals

  14. womens hey dudes says

    o great to find someone with some original thoughts on this topic. – hey dude shoes for women

  15. I very delighted to find this internet site on bing just what I was searching for as well saved to fav .

  16. click resources says

    The information you shared is incredibly interesting, thank you! you can try this out

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.