Matokeo ya Mkutano wa Swiden
بسم الله الرحمن الرحيم
Baada ya miaka ya vita, umoja wa mataifa unaendeleza mipango yake nchini yemen, kwa kuyatumia mataifa ya kihalifu ya ukanda huo, na viongozi wajinga wa yemen, ambao wamekubali mipango hiyo na bila aibu wanadai wana uhuru na kujiamulia mambo yao!!!
Baada miaka minne ya vita kati ya pande zinazohasimiana nchini Yemen, vita ambavyo vimeangamiza mazao na mifugo vimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, huduma za kijamii, kuanguka kwa uchumi ,magonjwa ya mripuko, kupanda kwa bei za bidhaa pamoja na mashaka na majanga yasiyo na idadi, mashujaa hao majuha ambao wamekua wakijinadi katika vyombo vya habari kupigania na upande mwingine. Makundi ya kijihadi wote kila upande wamekua wakijinadi wapo sahihi kupambana na kundi lingine, wengine ni shia na upande mwingine ni sunni hivyo pande zote zimekua zikiwalaghai watu wa Yemen katika uhalisia wa sababu za kupigana. Jambo linaloumiza na baya zaidi ni kwamba pande zote zinazopigana hutumia maandiko ya aya za Allah kwa ajili ya kufanikisha malengo yao wakati ukweli ulivyo vita hivyo ni mgogoro kati ya uingereza na marekani nchini Yemen. Hivyo baada ya ulaghai wote, udanganyifu na vita vya kupiganishwa, wanarejea katika umoja wa mataifa kudai suluhu kutoka katika umoja huo utadhania kwamba huo umoja wa mataifa ni shirika la kujitolea linalofanya kazi bila malipo, huku ikifahamika vizuri historia mbaya ya kihalifu na dhulma ya shirika hilo tangu kuundwa kwake ; mfano mzuri ukiwa ni Palestina, Bosnia na Herzegovina, Iraq, somalia, na syria. Na hiyo ni mifano michache tu ya dhulma za shirika hilo dhidi ya waislamu. Je shirika hilo halijaanzishwa na nchi za kikristo ambazo zinauchukia zaidi uislamu na waislamu? Na hivyo, hupendelea zaidi dola kubwa za kikoloni, kama Marekani na Uingereza, ambazo ndio zinazoiongoza vita ya Yemen, kupigana kwa muda na kuweka silaha chini kwa muda pindi zikikubaliana katika masilahi na kadhalika. Hivyo basi, ukweli ambao Hizb ut Tahrir kwa muda mrefu wamekua wakiutafuta umepatikana, ambao unaonyesha uhalisia wa mgogoro wa Yemen, wachezaji wake na vibaraka wake haijalishi wawe ni wakimataifa au wenyeji.. na ni hasara ipi ya mtu kumuua ndugu yake muislamu kwa ajili ya madaraka na serikali uchwala na mwisho wake kuisalitisha nchi kwa wakoloni makafiri na umoja wa mataifa wao!
Kazi na mipango ya umoja wa mataifa ipo wazi kwa yule mwenye utambuzi, ambapo Marekani mwenye ushawishi mkubwa zaidi na anaetawala dunia hivi sasa, anavyoitumia kwa ajili ya maslahi yake na kuwaweka mawakala wake. Katika utofauti, Uingereza , pamoja na historia yake na uzoefu wake pamoja na watu wake kutoka utawala wa zamani wamejaribu kuzuia Yemen isitoke nje ya mikono ya mawakala wake . Hivyo, mgogoro wa kimataifa wa kiushawishi na kimaslahi ukachukua nafasi na Yemen ikafanywa ndio uwanja wa mapambano. Marekani inafanyakazi na ujumbe wa mwanzo wa jamal bin Omar ili kufanikisha wahuthi kufika mji mkuu wa sanaa. Na hapa ni matokeo ya Sweden ya tarehe 13/12/2018, wakati ambapo ujumbe kabla ya makubaliano katika mji wa Hodeidah yalinukuu kwamba “ulinzi wa jiji la Hodeidah na bandari yake ya Hodeida, Salif na Ras Issa, ndio watakao wajibikia kwa vikosi vya ulinzi vya ndani..” Katika maana kwamba jiji la Hodeidah linakabidhiwa kwa wahuthi baada ya kunusurika kuwa chini ya mawakala wa kiingereza, umoja wa wafalme za kiarabu, na wafuasi wake.. na mwanzoni, harakari za mawakala wa kiingereza zimekua zikishindwa mara nyingi kwa sababu ya msukumo kutoka Marekani. Mazungumzo haya yamelenga Hodeidah zaidi kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi
Na baadhi ya wahusika hawajali maumivu wanayopata watu wa Yemen na hii nikutokana na kutokulipwa mishahara yao haswa katika maeneo yanayoshikiliwa na wahuthi, au kutokana na mzingiro mfano katika eneo la Taiz au kutokana na damu inayomwagika mbele yao kwakuwa wao ni mabepari wenye uchu ambao hujali eneo lenye utajiri tu, Bandari ya Hodeidah na Salif na Bandari ya mafuta ya Ras issa. Huu ni mpango wa marekani ambao anautabikisha kupitia umoja wa mataifa. Kwa kipindi kilichopita umoja wa mataifa umekua na kazi hiyo kupiga watu wa Yemen kupitia vita vya kiuchumi kwa kipindi cha miaka yote ya vita kilichopita. Mataifa makubwa hususan Marekani wameendelea kuutumia umoja wa mataifa kama zana ya kuhalalishia maingilio yoyote katika nchi yoyote. Unatumika kusafirishia mafuta na gesi pia kutengeneza mazingira ya uhasama ili zipate kuingilia kati na kuondoa isichotaka na kuweka inachotaka .
O watu wenye imani na Hekma ! Mtu aweza kusema kwanini watu hawa hawahitaji kuacha kupambana? Sisi tunakwambia kwamba kuacha vita na kuacha mapigano kati ya waislamu ni jukumu la halali ambalo lazima lifikiwe kwa haraka iwezekenavyo. Tumeshaonyesha uharamu wa kupigana waislamu wenyewe kwa wenyewe, na hatuungi mkono mwendelezo huu wa kihalifu dhidi ya watu wa Yemen. Mioyo yetu inaumia sana kwa maumivu ya kile tunachokiona, Lakini suluhu sio kufanya nchi ni makao ya makafiri wa kikoloni na sio kuendelea kuwapa nguvu dhidi yenu, nchi yenu na utajiri wenu, hilo ni haramu na Allah amesema:
﴿وَلَن يَجْعَلَ اللَّهُ لِلْكَافِرِينَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ سَبِيلاً﴾
“Na Allah hatajaalia mamlaka kwenda kwa makafiri dhidi ya waumini ” [An-Nisa: 141].
Zaidi ya hayo, ni haramu Allah (swt) anasema:
﴿أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ يَزْعُمُونَ أَنَّهُمْ آمَنُوا بِمَا أُنزِلَ إِلَيْكَ وَمَا أُنزِلَ مِن قَبْلِكَ يُرِيدُونَ أَن يَتَحَاكَمُوا إِلَى الطَّاغُوتِ وَقَدْ أُمِرُوا أَن يَكْفُرُوا بِهِ وَيُرِيدُ الشَّيْطَانُ أَن يُضِلَّهُمْ ضَلَالاً بَعِيداً﴾
“Je huwaoni wale wanaodai kwamba wameamini kile ulichoteremshiwa, [O Muhammad], na kile kilichoteremshwa kabla yako? Na wanataka wakahukumiwe na twaghuti, na hali wameamrishwa kukataa njia hiyo,na shetani anataka kuwapoteza upotevu wa mbali. [An-Nisa: 60].
Ingelikua ni bora sana kwa wale waliokatika mgogoro kushusha mbawa zao na kushikamana na sheria za Allah zilifanya muumini kuwapenda ndugu zake, kulazimisha kufanya suluhu kati yao pindi wakipigana warudi katika uislamu kama asemavyo Allah :
﴿وَإِن طَائِفَتَانِ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ اقْتَتَلُوا فَأَصْلِحُوا بَيْنَهُمَا فَإِن بَغَتْ إِحْدَاهُمَا عَلَى الْأُخْرَىٰ فَقَاتِلُوا الَّتِي تَبْغِي حَتَّىٰ تَفِيءَ إِلَىٰ أَمْرِ اللَّهِ فَإِن فَاءَتْ فَأَصْلِحُوا بَيْنَهُمَا بِالْعَدْلِ وَأَقْسِطُوا إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ إِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ إِخْوَةٌ فَأَصْلِحُوا بَيْنَ أَخَوَيْكُمْ وَاتَّقُوا اللَّهَ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ﴾
“Na makundi mawili katika waislamu yakipigana, suluhisha baina yao. Na ikiwa moja litakengeuka basi lipigwe hadi lirejee katika hukmu ya Allah. Na likrudi basi yapatanisheni baina yao kwa uadilifu. Hakika Allah hwapend huwapenda wanaohukumu kwa uadilifu .” [Al-Hujurat: 9].
Aya yataka kwamba yule anaetakiwa kusuluhisha baina ya waislamu awe ni miongoni mwao sio kutoka kwa kafiri mkoloni, watu hawa wametajwa kama matwaghuti katika sheria na uadui walionao umevuka mipaka hivyo ni aibu kwa wanachokifanya!
Makubaliano haya hayataweza kuwasaidia watu wa Yemen,bali yatapelekea umoja wa mataifa unaoongozwa na Amerika na Uingereza,kuwatikisa na kushinikiza, na watu wa Yemen hawataona watoto wao wakiwa ndo walinzi wa mali zao na kuona mali hizo zikisafirishwa magharibi kwa makafiri, na watachopata kwa Allah pekee ni hasira zake kama ambavyo sheria imeeleza kwa wao kuelekea kwa twaghuti.
O watu wa Yemen! Hamtakua katika wema ikiwa mgogoro huu wa kijinga na wasimamiaji wake wataendelea kushika shingo zenu. Muda umefika wa kuwafuta watu hawa wajinga na kuwawajibisha na kushika mikono yao kabla uharibifu wao haujazidi zaid ya hapo. Suluhu ni jepesi na linalowezekana kwa wale wenye kuelewa: Kusitisha mapigano kwa haraka , kuwaondoa mawakala na ushawishi wa kimagharibi katikanchi, na kutabikisha hukmu ya kiislamu katika nyanja zote kwa kufanya kazi na wafanyakazi kwajili ya kusimamisha khilafah rashida ya pili kupitia njia ya utume, Hivyo fanyeni harakati ya kweli ambayo itawapatia ushindi na heshima ,na kuitikia wito wa Allah na Mtume wake wanaoowaita katika kile kinachowapa uhai. Khilafah rashida kupitia njia ya utume ni faradhi kubwa zaidi na ngao kwa waumini nyuma yao huwalinda na shetani na uadui wake.Na fahamu kwamba kila mpinzani amekua akitumia mfumo ambao wala hauendani na uislamu,mfano Jamhuri ,Demokrasia,usekula, na sheria zilizotungwa na binadamu, na wanaancha kila kitu kutoka katika dini ya Allah isipokua misemo tu kwaajili ya kufichia uovu wao kana kwamba uislmu ni mfumo wa kupigana na kuuwana tu na sio mfumo wa kutatua changamoto na matatizo mbali mbali katika maisha jumla. Hivyo basi wanaupaka matope uislamu kwa waislmu na mbele ya macho ya ulimwengu ikiwa wanajua au hawajui.
﴿هَذَا بَلَاغٌ لِّلنَّاسِ وَلِيُنذَرُوا بِهِ وَلِيَعْلَمُوا أَنَّمَا هُوَ إِلَهٌ وَاحِدٌ وَلِيَذَّكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ﴾
“Hii [Qur’an] inatosha inatosha kwa watu ili waonywe kwayo na wapate kujua kuwa yeye allah ni mungu mmoja na ili wenye akili wakumbuke . [Ibrahim: 52]
Hizb ut Tahrir
Wilayah Yemen
20/12/2018 CE
13th Rabii’ II 1440 AH
Maoni hayajaruhusiwa.