Mashindano ya Hijra Cup

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

Mashindano ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa na wanachama wa Hizb ut Tahrir Tanzania eneo la Mwanza.

(Kwa picha)

 

 

Matokeo ya mpira yalikuwa  4-0:

Mshindi wa kwanza ni Nileperch Fc, ilipata zawadi ya Mbuzi

Mshindi wa pili ni Khilafah Fc, ilipata zawadi pesa tasilim 20,000/=

 

 

 

Maoni hayajaruhusiwa.