Mashindano ya Hijra Cup
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
Mashindano ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa na wanachama wa Hizb ut Tahrir Tanzania eneo la Mwanza.
(Kwa picha)
Matokeo ya mpira yalikuwa 4-0:
Mshindi wa kwanza ni Nileperch Fc, ilipata zawadi ya Mbuzi
Mshindi wa pili ni Khilafah Fc, ilipata zawadi pesa tasilim 20,000/=
Maoni hayajaruhusiwa.