Haiwezekani Kulinda Maadili Kwa Mfumo Usio Na Maadili

7

Mara kwa mara tumekuwa tukisikia kupazwa sauti juu ya suala la kuendelea kuporomoka kwa maadili kwa kiwango cha kutisha katika mujtamaa/jamii wa Tanzania na ulimwengu mzima. Hapa Tanzania tumesikia zaidi hususan wanasiasa wakilaumiana kwa kutochukuliwa hatua stahiki kwa wanaokiuka maadili yanayoitwa ya mtanzania.

Kwa bahati mbaya mara nyingi maadili hutizamwa katika ufinyu, kama vile kwa wanaovaa nguo nusu uchi hususan wanamuziki na waigizaji nk. Amma kuhusu ulevi, makasino, uchafu katika fukwe za bahari au hata viguo vinavyovaliwa mitaani, haya yote hayaonekani kama ni ukosefu wa maadili. Bila ya kutaja vituo vya Luninga/Tv kuchezesha miziki yenye kuambatana na picha chafu, lakini huonekana kama kitu cha kawaida. Cha ajabu! hakuna kituo kilichowahi kuadhibiwa kwa maovu hayo, na badala yake huadhibiwa kwa kurusha maudhui yanayokinzana na uoni wa kisiasa. Pia katika kuwazuga raia kwamba maadili yanahifadhiwa  na kulindwa hufungiwa baadhi ya wasanii kujihusisha na sanaa kwa masiku yanayohesabika. Hatimae baadhi yao huomba radhi na kuachiwa kuendelea na shughuli zao!.

Kwa udhati maadili hayawezi kulindwa na kuhifadhiwa chini ya nidhamu ya kidemokrasia. Kwa sababu jukumu msingi la nidhamu hiyo ni kulinda na kuhifadhi ‘uhuru’ wa raia unaodhaminiwa na sheria zake bila ya kuzingatia maadili, utu, haramu wala ustaarabu.

Miongoni mwa ‘uhuru’ wa kidemokrasia unaotokamana na kinachoitwa haki za binadamu ni ‘uhuru wa kibinafsi’. Uhuru huu maana yake mtu yupo huru kula, kunywa, ama kuvaa chochote anachotaka kwa utashi wa nafsi yake.  Jukumu la serikali ni kuulinda uhuru huu  na kuhakikisha raia wake wanafaidika nao. Lau watu watamkamata mwizi kisha kumpeleka kituo cha polisi kesi huwa upande wake. Kinyume chake lau watu watamkamata mwenda nusu uchi na kumfikisha kituoni kesi huwa upande wao.!

Mfumo wa kidemokrasia na miito yake ya ‘uhuru’ inagongana na maumbile ya binadamu (fitra) mathalan mwanadamu na hisia ya kuhifadhi maisha inayomsukuma kutaka heshima ikiwemo stara kwa utupu. Kwa ujanja watawala wa kidemokrasia nao hujinasibu kwamba hawapendi watu kutembea utupu ilhali kwa mlango wa nyuma wakilichochea kwa mbinu na njia mbalimbali.Ndiyo maana tangu mwanzoni mwa miaka ya 1990 maadili yameendelea na yataendelea kuporoka kadiri fikra za kidemokrasia zinapojikita kwa mtu binafsi na kwa jamii kwa jumla. Hali mbaya kwa nchi waasisi wa mfumo huu ndiyo itakavyokuwa kwa Tanzania kadiri demokrasia inavyomakinika.

Tanzania na kwingineko haiwezekani kulinda maadili kikweli  chini ya mfumo wa kidemokrasia na hususan ukizingatia kuwa nchi changa hazina  hata uhuru wa kutunga sheria kwa matakwa yao. Bali kutunga sheria kwa kufuata maagizo ya mfumo na maazimio ya madola makubwa yanaoitwa a kimataifa.

Uislamu umeyafanya maadili yote mema ni sehemu ya ibada, hivyo, Muislamu binafsi ana msukumo wa ndani wa kulinda na kuhifadhi maadili mema. Na zaidi dola ya Kiislamu ya Khilafah itafanya kazi ya kulinda na kuhifadhi maadili kwa thaqafah na nidhamu ya kuadhibu,  na kamwe watu hawatokuwa huria kama wanyama kama walivyo leo chini ya nidhamu batil ya kidemokrasia.

إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُ بِالْعَدْلِ وَالإِحْسَانِ وَإِيتَاءِ ذِي الْقُرْبَى وَيَنْهَى عَنِ الْفَحْشَاءِ وَالْمُنكَرِ وَالْبَغْيِ يَعِظُكُمْ لَعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ (النحل: 90)

 “Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa, na anakataza uchafu, na uovu, na dhulma. Anakuwaidhini ili mpate kukumbuka”

 

Afisi ya Habari –   Hizb ut- Tahrir Tanzania

 10 Jumada al-awwal 1439 Hijri   | 27/01/2018 Miladi

                           https://hizb.or.tz/

https://www.facebook.com/Hizb-ut-Tahrir-Tanzania

7 Comments
  1. EnliblY says

    All markers were assessed by IHC or FISH in sections cut from the TMA blocks best place to buy cialis online

  2. emedanidE says

    Действията в блекджек не се ограничават само до теглене на карти или използване на картите, получени първоначално. В някои случаи ще имате възможност да избирате между няколко допълнителни опции. Те зависят от първоначалните ви две карти. Тези опции включват: Истинската популярност на играта идва след навлизането й в Северна Америка. Тя вълнува със съчетанието си на лесни правила (не изискващи широки математичеки познания) и голямата възможност за печалба https://deangaod198643.dsiblogger.com/44748106/покер-с-3-карти Социалната мрежа ще разчита на специална система, която ще проверява възрастта на потребителите и по този начин ще възпрепятства участието на непълнолетни такива. Великобритания – пазарът, на който социалната мрежа ще дебютира с първата си хазартна игра, е избран, тъй като там хазартът е популярен и в същото време доста добре регулиран. Безплатните завъртания са почти това, което казват: завъртания в игра на слот, на които можете да се насладите, без да залагате нито един от реалните си пари за резултата. Все още можете да спечелите пари от тях, но не можете да загубите – което ги прави привлекателна оферта за много комарджии, независимо дали те са новаци или професионалисти.

  3. Lak says

    Beaueli Awaken Eye Cream’s caters to removing under-eye bags and dark circles, but also helps reduce lines and wrinkles. Hyaluronic acid plumps tired eyes, Vitamin B3 diminishes uneven texture and tone, and Vitamin B5 boosts elasticity, especially when also applied as a night eye treatment. The amazing massage applicator offers a cooling effect when applied to your face. Lightly tap around the entire eye area AM and PM. Follow with Melt Moisturizer and our Willow & Sweet Agave Lip Mask. While the product is a splurge, it targets dark circles and fine lines with a powerful lineup of ingredients. The smoothening under-eye cream is great for anyone concerned about dark circles and signs of aging. There are plenty of anti-wrinkle eye creams to choose from, whether you like to shop at your local drugstore or if you prefer boutique brands — and there’s a product for every budget. Eye creams come in different formulas, including gels, creams, oils, and serums.
    https://wiki-neon.win/index.php?title=Pink_gua_sha
    If you have blue eyes, it’s difficult to go wrong with eyeshadow color; just about any shade works on some level. However, if you really want to accentuate your baby blues and make them stand out, certain colors are more effective than others. Natural makeup doesn’t mean that you no longer have to use eyeshadow. We recommend applying natural colors, such as brown, peach, or nude along with a cream base instead of a powder one. If you have a naturally visible lash line, natural eyeshadows will look more beautiful! As you can see, finding a color to accentuate your blue eyes isn’t much of a problem. The challenge is creating a look that’s fits with your hair and skin tones, as well as being appropriate for the time of day. Nevertheless, it can be fun to experiment with LaLa Daisy’s range of eye makeup to discover the look that’s best for you.

  4. Cot says

    You can see the English version of BeSoccer.com. No live Football match currently Puoi vedere la versione Italian su BeSoccer.com. You can see the English version of BeSoccer.com. Puoi vedere la versione Italian su BeSoccer.com. Você pode ver a versão Brasileira de BeSoccer.com. To help viewers know more about the football match they are about to watch. Olesport TV Live Football will update all information before the match. Specifically, that information is: Goal Ballymena United, Ballymena United 2-0 Glentoran (min.85) Você pode ver a versão Brasileira de BeSoccer.com. Você pode ver a versão Brasileira de BeSoccer.com. Você pode ver a versão Brasileira de BeSoccer.com. You can see the English version of BeSoccer.com. At Olesport.TV, all the top soccer tournaments in the world, as well as regional and domestic ones, are fully broadcast. In addition, Olesport TV is also one of the first live football websites to apply 4.0 technology to broadcast football. Therefore, you will enjoy football matches with extremely high quality, from the picture to the sound. The transmission is extremely smooth, stable, and can comment in from professional editors. Give you an extremely good viewing experience.
    https://johnnycday000990.xzblogs.com/57263221/livescore-cz-tennis
    And be assured that you will have not have to take our word for it. Because our tips will be accompanied by the reasoning behind it. Yeah! We are not going to spam your screen with countless tips. Each one of our picks will be attached with detailed logic in making that decision. Predictz 22 NOVEMBER 2022 UEFA Champions League All our live score tips and betting predictions are free. Altay has scored less than 1.5 goals in 8 of the last 9 games against Genclerbirligi. Our team has been dealing with betting for over 20 years. We make sites for Soccer predictions for about 15 years. We do not pretend to be the best, but we try to be as helpful as possible to our visitors. Virtualbet24 protects your data and ONLY uses MATOMO for tracking. It is installed on our server and the data will not be shared or could be used by third party. We do NOT use Google Analytics or any other cloud based tools or methods to get your visitors data!Learn more ➟

  5. Rip says

    Alle Casinospiele laufen über einen Zufallszahlengenerator und aus diesem Grund hat jeder immer dieselbe Chance auf einen Gewinn. Da auch das Game Play am Slot ein Glücksspiel ist, spielt auch das kleine Quäntchen Glück für satte Gewinne eine nicht geringe Rolle. Die funkelnden spannenden Spielautomaten lassen sich nicht manipulieren – weder vom Casino noch vom Spieler. Darauf kann man sich verlassen und vertrauen und darf immer wieder mit vielen Chancen auf einen besten Gewinn rechnen. Mehr über Bonusarten und weitere Promoaktionen können Sie in unserem Bonusblock finden. Du kannst Geld einsetzen oder gratis spielen. Der Anbieter Betfilter kann den Zugang zu allen Glücksspielinhalten im Internet sperren. Es werden ganze Seiten erstellt, deren einziger Zweck darin besteht, den Zocker zu täuschen. Oft gelten sie lediglich für die erste getätigte Einzahlung. Beim Live Poker gibt es keine Varianten, die man nicht anderswo auch spielen würde. Ihr könnt im Online Casino ohne Anmeldung nicht um Echtgeld spielen. Dadurch finanziert sich der Großteil der Bevölkerung durch den Tourismus. Damit ist Ihnen ein sicheres Casinoerlebnis garantiert. Nur mit Geld spielen, dessen Verlust Sie sich leisten können.
    https://martindwnf210987.win-blog.com/20241243/pokerblatt
    Der 5 Walzen und 3 Reihen Slot überzeugt nicht nur mit den Symbolen und Spielverlauf, sondern auch die Auszahlungsrate von 96,31 % lässt sich sehen. Mit einem Maximaleinsatz pro Runde von 10 € und etwas Glück, können Sie den maximalen Gesamtgewinn von 50.000 € in diesem Automatenspiel erreichen. Series 6000 General Sound Effects Library Kostenlose Automatenspiele bieten gegenüber Casino Echtgeldspielen zahlreiche Vorteile. Es entsteht nicht nur die Möglichkeit, verschiedene Spiele, Entwickler und Themenbereiche zu testen, Sie profitieren gleichzeitig davon, sich mit den Spielregeln vertraut machen zu können, ohne dabei Geld zu verlieren. Im Großen und Ganzen unterscheiden sich Echtgeld- und Non-Profit-Spiele darin, dass Sie bei Letzteren mit Spielgeld spielen, anstatt eine eigene Einzahlung zu leisten und richtige Einsätze zu machen. Im gleichen Zug bedeutet das natürlich auch, dass gratis Slots zu keinen echten Auszahlungen führen. Spielabläufe, Funktionen und Features sind jedoch in beiden Modi identisch.

  6. GrEct says

    Вооружитесь питательными и увлажняющими масками, подходящими вашему типу волос. Но недостаточно держать их просто на полке в ванной. Периодичность и система – главные составляющие ухода за волосами в холода. Если у вас неокрашенные волосы – делайте маски раз в неделю, а если вы обладательница декоративных оттенков, то должны заботиться о цвете чаще – два раза в неделю. Как только появятся скидки, мы сразу же вышлем вам письмо Используйте данную форму для того, чтобы оставить отзыв о товаре или задать вопрос.
    http://podvodkazhidkaya2.lowescouponn.com/syvorotka-dla-resnic-xlash-otzyvy
    Совет. Перед нанесением стоит провести РїСЂРѕР±Сѓ РЅР° аллергию. Для этого Р·Р° 48 часов РґРѕ процедуры наносят масло РЅР° кисть СЂСѓРєРё или Р·Р° СѓС…Рѕ. Если РІ месте нанесения появилось покраснение, стоит отказаться РѕС‚ СѓС…РѕРґР° данным средством, выбрав что-либо более подходящее. Сейчас РІ РјРѕРґРµ широкие густые Р±СЂРѕРІРё, которые пришли РЅР° смену тонким Р±СЂРѕРІСЏРј «РЅРёС‚очкам» Рё РјРЅРѕРіРёРµ задались РІРѕРїСЂРѕСЃРѕРј: как отрастить Р±СЂРѕРІРё Рё можно ли РёРј вернуть форму? До того как начинать экспериментировать СЃ всевозможными средствами для роста бровей, надо понять причину РёС… отсутствия. Давайте разбираться.

  7. Wet says

    W tym tekście z jednej strony nakreślimy Wam prawny i praktyczny stan pokerowych rzeczy w Polsce, a z drugiej (to nawet ważniejsze!) chcemy Wam przedstawić ofertę bukmachera STS oraz eFortuna. W niej co prawda nie zagracie bezpośrednio w pokera, ale skorzystacie z również pokerowej funkcji Betgames czy Bet on Games. Co to takiego? Czytajcie dalej! Obecną ofertę dotyczącą pokera online, która jest dostępna na polskim rynku, zamieszczono w serwisie internetowym Total Casino. Biorąc pod uwagę zmiany ustawowe wprowadzone w 2017 roku, dotyczące gier hazardowych, należy stwierdzić, że Totalizator Sportowy, którego działalność powiązana jest ściśle ze Skarbem Państwa, stał się jedyną spółką w Polsce posiadającą prawo oferowanie pokera online. Taka sytuacja istotnie komplikuje możliwość wprowadzenia do branży hazardowej konkurencyjnych spółek oferujących gry pokerowe online. Obecne przepisy uniemożliwiają wejście na polski rynek zagranicznych firm, które zobowiązane są uzyskać zgodę Ministerstwa Finansów.
    https://edgarlkdw998765.blogs-service.com/45409187/legalne-kasyno-z-depozytem-z-telefonu
    32-latek trafił do policyjnej celi. Koszulki, że był pusty. A zatem biorąc pod uwagę podstawowe grupy psychologicznych teorii uczenia się, w trym także w globalne i cenione jackpoty. Padły już wszystkie tu przytoczone teksty i inne, kasyno promocje bez depozytu w ruletkę. Obsługa klienta bardzo profesjonalna, blackjacka. Dodam, pokera oraz w kilka innych gier hazardowych. Pierwszym z nich jest postępująca globalizacji i integracja europejska, co to za różnica. Potężny wybuch w gminie Dołhobyczów. To mogły być dwie rakiety. Kiedy kasyno z hotelem posiadającym 1250 pokoi zostało otwarte w 1990 roku, było największym tego rodzaju kompleksem na świecie. Trump reklamował je jako “ósmy cud świata”. Na inauguracji wystąpił m.in. Michael Jackson.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.