Eid ul- Udh-Hiya na Jukumu la Muhanga Kwa ajili ya Uislam

45

فَلَمَّا بَلَغَ مَعَهُ السَّعْيَ قَالَ يَابُنَيَّ إِنِّي أَرَى فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَى قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ سَتَجِدُنِي إِنْ شَاءَ اللَّهُ مِنْ الصَّابِرِينَ

Basi alipofika makamu ya kutembea naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja.Basi angalia wewe waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyoamrishwa, utanikuta mimi Insha’Allah katika wanaosubiri.” [TMQ 37:102]

Hivi ndivyo Qur’an Al-Kareem inavyotusimulia tukio kubwa, tukufu la aina yake na la kihistoria ambalo katika masiku ya Sikukuu ya ‘Eid ul udh-hiya’ huwa tunalikumbuka. Tukio ambalo mafunzo, mawaidha na msimamo wake ni changamoto inayotukabili Umma wetu wa Kiislamu leo.

Ni tendo kubwa la kujitolea muhanga wa aina yake lililotendwa na Baba wa Mitume Ibrahim (AS) la kumtoa dhabihu [kumchinja] mwanawe Nabii Ismail (AS), licha ya kuwa aliruzukiwa mtoto katika umri wa uzeeni. Na wakati alipopewa agizo la kumchinja tayari mtoto huyo alikwishaanza kutembeatembea nae huku na kule jambo linalopelekea moja kwa moja mzazi kuihisi ladha tamu na manufaa ya mtoto wake. Lakini pamoja na yote hayo baba na mwana walinyenyekea kikamilifu kwa agizo kutoka kwa Allah Ta’ala kwa unyenyekevu usio na mfano bila ya kuhoji kwa hoja za kiakili ili kutafuta nyudhuru za kishetani kukwepa amri ya Mola wao . Yote hayo ni kwa sababu hiyo ni amri kutoka kwa  Mola wao Allah Ta’ala.

Kwa hakika, tukio hili litabakia kuwa ni mazingatio, fundisho na mawaidha ya milele yasiyokatika kwa Umma wetu na  ndio maana likasimuliwa ndani ya Qur’an Al-Kareem ili liwe Muongozo na dira thabiti katika maisha yetu ya kila siku. Allah Taala nasema:

 

وَكُلاًّ نَقُصُّ عَلَيْكَ مِنْ أَنْبَاءِ الرُّسُلِ مَا نُثَبِّتُ بِهِ فُؤَادَكَ وَجَاءَكَ فِي هَذِهِ الْحَقُّ وَمَوْعِظَةٌ وَذِكْرَى لِلْمُؤْمِنِينَ

Na yote Tunayokisimulia katika habari za Mitume ni kukupa nguvu moyo wako. Na katika haya imekujia haki na mawaidha na ukumbusho kwa waumini” [TMQ 11:120]

 

Wakati tukiliangalia tukio hili na kufaidika nalo kwa funzo kubwa la msimamo wa kujitolea muhanga kwa ajili ya  Allah Ta’ala, ni lazima pia kuifahamu fikra ya ‘kujitolea muhanga’ kwa kina kwa mujibu wa Uislamu.

Ni wajibu kuelewa tunapojitolea muhanga amma wa mali, nafsi, wakati au hata uhai katika njia ya Allah iwe ni kwa ajili Yake Allah Ta’ala  pekee. Na si kwa ajili ya kutaka sifa, umaarufu, kuonekana na watu au kupata maslahi fulani. Bali iwe kusudio letu lote na pekee kwa amali hiyo ya muhanga ni kutaka radhi Zake Allah Taala pekee na si zaidi ya hivyo. La sivyo, itakuwa amali ya kumshirikisha Mola na itaambulia patupu  kesho Akhera.

Aidha, ieleweke kujitolea muhanga kuwe ni katika mambo ambayo Sheria ya Kiislamu imeyaruhusu pekee. Huo ndio huwa ni muhanga kwa mujibu wa Uislamu. Kwa hivyo, kupoteza mali, nafsi na muda katika masuala ya haramu kama kushiriki au kusaidia  katika mchakato wa siasa za demokrasia na mithili yake kamwe si muhanga, na si tu kuwa ni kupoteza rasilmali bila ya malipo yoyote, bali mambo kama hayo ni maangamizi mbele ya Allah Ta’ala kwa kuwa ni kuchangia mambo ya haramu.

Kujitolea muhanga pia hulazimu mtu asijifunge tu katika baadhi ya majukumu fulani ya kiSheria na kuyaepuka mengine, kana kwamba baadhi ya majukumu hayatuhusu na yanawahusu watu fulani. Kwa mfano, baadhi ya Waislamu huyafungamanisha maisha yao ya Kiislamu na baadhi tu ya amali kama ndio dini yote kwa kujihusisha nayo na kujitolea muhanga majukumu hayo fulani fulani ya kibinafsi pekee kama swala, saumu, hijja nk. huku wakiwacha majukumu mengine. Ilhali Uislamu ni dini kamili na pana inayobeba majukumu mengi ya kibinafsi pamoja na majukumu ya Umma mzima ambayo kamwe mtu binafsi pekee hawezi kuyatekeleza peke yake. Moja wapo ya jukumu kubwa la Umma mzima ni suala nyeti la kurejesha tena maisha ya Kiislamu katika ulimwengu kwa kupitia kusiamamisha tena Dola ya Kiislamu ya Khilafah Rashidah kwa kumpa ba’ya (ahadi ya kumtawaza au kumtii Amiri wa Waislamu wote). Jambo ambalo ni suala la kufa na kupona.

Amesema Mtukufu wa darja Mtume (SAAW) katika hadithi iliopokewa na Imamu Muslim:

Yoyote anayekufa bila ba’ya juu ya shingo yake amekufa kifo cha kijahiliha!

Changa moto hii ni nzito inayotukabili Waislamu sote na inayohitaji kujitolea muhanga kwa gharama yoyote ikiwa ni nafsi, mali na hata uhai wetu ikibidi, bila ya kuogopa vitisho, propaganda chafu, lawama ya mwenye kulaumu au vikwazo mbalimbali vinavyowekwa na makafiri na wakala wao katika kuzorotesha amali ambayo ndiyo ukombozi kwa Umma wa Kiislamu na wanaadamu wote.

Ikumbukwe kwamba muhanga katika suala la ulinganizi lazima uwe ndani ya kikundi/chama. Kwa sababu hata  Mtume (SAAW) licha ya kuwa ni kiumbe mtukufu aliyeruzukiwa kila aina ya kipawa lakini katika ulinganizi wa Uislamu alijumuika kwa kushirikiana  na maswahaba zake kama kundi la pamoja na sio kama amali ya kibinafsi binafsi.

Mwisho, ni muhimu kutupia macho Uislamu namna ilivyosheheni watu wema namna walivyojitolea muhanga katika kila chao ili kufanikisha amma katika kuusimamisha,kuilinda dola mara baada ya kusimamishwa kwake, kufanya fathi ulimwengu mzima nk. Mifano ni mingi kama  walivyojitolea  masahaba kama Ali bin Abi Twalib, Bi Khadija, Bi Sumayya, Suhaib Ar-Rumi, Ammar bin Yasir,  Abubakar As-Siddiq, Mus’ab bin Umayr, Umar bin Al-Khatwaab  (Radhi za Allah ziwafinike wote) na wengine wengi. Pia kuna waliokuja baada yao kama Tariq bin Ziyad, Salahuddin Al-Ayyubi nk. Pia kuna ndugu zetu wa leo sehemu mbalimbali duniani wanaojitolea kulinda, kutetea na kuilingania dini yao na heshima yao dhidi ya mikono katili ya makafiri na vibaraka wanaofanya kazi usiku na mchana kuzuiya kurudi tena dola tukufu ya Kiislamu ya Khilafah Rashidah.

Tunamuomba Allah Taala katika masiku haya matukufu Aunusuru Umma wetu mashariki na magharibi na Atupe nusra yake kama alivyoabashiri Kipenzi chake SAAW kwa kurudi tena dola ya Khilafah kwa manhaj ya Utume     –

Amiin

Masoud Msellem

45 Comments
  1. For the reason that the admin of this site is working no uncertainty very quickly it will be renowned due to its quality contents.

  2. Live TV says

    I really like reading through a post that can make men and women think.<a href="https://www.toolbarqueries.google.ms/url?sa=t

  3. Loreal says

    I have been exploring for a little bit for any high-quality articles or blog posts
    in this kind of area . Exploring in Yahoo I
    at last stumbled upon this web site. Reading
    this information So i am glad to show that I’ve a very good
    uncanny feeling I came upon just what I needed.
    I most for sure will make certain to don?t overlook this
    site and provides it a glance on a continuing
    basis.

  4. Josie says

    Heya i’m for the first time here. I found this board and I find It
    truly useful & it helped me out much. I hope to give something back and aid
    others like you aided me.

  5. almanr live says

    There is definately a lot to find out about this subject. like all the points you made .-vox stream

  6. Danielle says

    I just couldn’t go away your website before suggesting
    that I extremely enjoyed the usual info a person provide in your visitors?
    Is gonna be again regularly in order to inspect new posts

  7. Wilhemina says

    I constantly spent my half an hour to read this weblog’s articles every day along
    with a mug of coffee.

  8. Jina says

    Have you ever considered writing an e-book or
    guest authoring on other websites? I have a blog centered on the same
    ideas you discuss and would love to have you share some stories/information. I know my visitors would appreciate your work.

    If you are even remotely interested, feel free to shoot me an e mail.

  9. Michel says

    Hello there! This post could not be written any better!
    Reading through this post reminds me of my previous roommate!

    He continually kept preaching about this. I’ll send this information to him.
    Fairly certain he’s going to have a great read. I appreciate you for sharing!

  10. 바카라사이트 says

    You can anticipate to spend a typical six% credit card deposit fee,
    and a $25 charge for all withdrawals created by
    check.

    Here is my website 바카라사이트

  11. Orval says

    I’m curious to find out what blog system you are utilizing?

    I’m having some minor security issues with my latest
    website and I’d like to find something more safeguarded.
    Do you have any suggestions?

  12. Stanton says

    You’ve made some good points there. I checked on the net for
    more information about the issue and found most
    individuals will go along with your views on this web site.

  13. Davis says

    Hello, the whole thing is going fine here and ofcourse every one is
    sharing facts, that’s actually fine, keep up writing.

  14. 到會公司 says

    Asking questions are actually good thing if you are not understanding something fully, except this paragraph provides nice understanding even.

  15. Kaeleigh says

    I take pleasure in, result in I discovered
    exactly what I used to be taking a look for. You’ve ended my 4 day long hunt!
    God Bless you man. Have a nice day. Bye

  16. Darl says

    Hello there! This is my first comment here so I just wanted to give a quick
    shout out and say I genuinely enjoy reading your articles.
    Can you suggest any other blogs/websites/forums that deal with the
    same topics? Thanks a ton!

  17. Craven says

    Good day! I know this is kinda off topic but I was wondering
    which blog platform are you using for this website? I’m getting tired of WordPress because I’ve had
    problems with hackers and I’m looking at options for
    another platform. I would be great if you could point me in the direction of a good platform.

  18. Chris says

    It is appropriate time to make some plans for the
    future and it’s time to be happy. I’ve read this post and if
    I could I desire to suggest you few interesting things or tips.
    Perhaps you could write next articles referring to
    this article. I wish to read even more things about it!

  19. Damali says

    Thanks a lot for sharing this with all folks you really recognize what you are speaking about!
    Bookmarked. Kindly also seek advice from my site =). We may have a link alternate arrangement between us

  20. Hipolito says

    Great weblog right here! Additionally your website rather a lot up very fast!
    What web host are you the use of? Can I am getting your associate link on your host?
    I want my site loaded up as quickly as yours lol

  21. Laterria says

    I pay a quick visit each day a few sites and information sites to read content, except this webpage provides quality based articles.

  22. Terriann says

    Thanks very nice blog!

  23. Monice says

    We’re a bunch of volunteers and starting a brand new scheme in our community.
    Your site offered us with useful information to work on. You’ve performed an impressive job and our entire
    community will be thankful to you.

  24. Quinnita says

    I will right away snatch your rss feed as I can’t in finding your e-mail subscription link or e-newsletter service.
    Do you have any? Please permit me recognise so that I may subscribe.
    Thanks.

  25. Marcel says

    Everything is very open with a clear explanation of the issues.
    It was definitely informative. Your site is extremely helpful.
    Thanks for sharing!

  26. 到會推介 says

    I enjoy, lead to I found exactly what I was taking
    a look for. You have ended my four day lengthy hunt!
    God Bless you man. Have a nice day. Bye

  27. Telly says

    Undeniably consider that which you stated. Your favourite reason appeared to be at the net the easiest factor to
    take into account of. I say to you, I definitely get annoyed
    whilst other folks think about worries that they just do not recognise about.
    You controlled to hit the nail upon the highest and also defined
    out the entire thing without having side effect
    , other people could take a signal. Will likely be back to get more.
    Thanks

  28. hey dude shoes women says

    This is my first time pay a quick visit at here and i am really happy to read everthing at one place . – hey dudes for women

  29. buy RX says

    Vehicles with higher fuel economy may produce less pollution over time than vehicles with
    lower fuel economy. Options such as all-wheel drive, automatic
    transmission, and even power windows can reduce your fuel efficiency.

  30. Emelia Parmer says

    The operator welcomes you with an out-of-this-globe cashback offer you of 20%.

    Also visit my blog – https://Rolandwintle733.varyblog.com/baccarat-web-site-the-ultimate-location-for-on-the-internet-baccarat-enthusiasts/

  31. Maurizio says

    What’s up, of course this piece of writing is actually good and I have
    learned lot of things from it concerning blogging.
    thanks.

  32. Tasty Dick Porn Videos says

    Ne rater pas cette occasion de les revoir en action.

  33. Hanna says

    Thanks for finally writing about > Eid ul- Udh-Hiya na Jukumu la
    Muhanga Kwa ajili ya Uislam – Hizb ut Tahrir Tanzania < Loved it!

  34. Marita says

    Magnificent beat ! I wish to apprentice even as you amend your website, how can i subscribe for a blog site?
    The account aided me a acceptable deal. I have been a little bit acquainted of this your
    broadcast offered brilliant transparent concept

  35. Leonora says

    Hello to every body, it’s my first pay a visit of this blog; this website consists of remarkable and actually
    good information for readers.

  36. Curtis says

    Excellent, what a web site it is! This website provides valuable
    data to us, keep it up.

  37. Danial says

    We are a group of volunteers and starting a new scheme in our community.
    Your website provided us with valuable info to work on. You’ve done a formidable job and
    our entire community will be thankful to you.

  38. Finley Collee says
  39. Cody says

    Do you have a spam problem on this site; I also am a blogger,
    and I was curious about your situation; we have developed some nice practices and we are looking to exchange
    strategies with other folks, why not shoot me an email if interested.

  40. nike air jordan 1 says

    You have noted very interesting details! ps decent web site.

  41. Learn More says

    The information you shared is very interesting, learning feels great! try here

  42. Call Girls in Vikash Puri says

    This is really interesting, You’re an overly
    skilled blogger. I’ve joined your rss feed and stay up for searching for more of your magnificent post.
    Additionally, I’ve shared your website in my social networks

  43. Many thanks! Lots of info.

  44. hardly porn says

    hello there and thank you for your information – I have certainly picked
    up something new from right here. I did however expertise several technical issues using this site, as
    I experienced to reload the website lots of times previous to I could get it to load correctly.
    I had been wondering if your web host is OK? Not that I am complaining, but sluggish loading instances times will often affect your placement
    in google and could damage your high quality score if
    ads and marketing with Adwords. Well I’m adding this RSS to my e-mail
    and could look out for a lot more of your respective fascinating
    content. Make sure you update this again very soon.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.